Search results

  1. K

    HP Pavillion dv6700 powered on and off frequently

    does your laptop goes to log on screen and hangs or when bios system load
  2. K

    Jinsi ya kuhesabu m-cycle kwa couple

    Mheshimiwa mganga how many days does egg take from ovary to uterus. Three days of which iam talking is inclusive of from ovary via fallopian tube to the uterus. As you are aware that sperm ya kiume inaweza kutoka kwa haraka sana na huwa haiwezi kusafiri umbali...
  3. K

    Jinsi ya kuhesabu m-cycle kwa couple

    HI ALL, Sisi wakatoliki kabla ya kwenda kanisani huwa tunapewa angalau kwa ufupi semina ya siku mbili na baada ya hapo huwa tunashauriwa kuhudhuria semina zozote zile zinazo endesha kuhusu familia. Suala la kujuana kimwili ni moja ya mada kuu ambayo huwa wanapewa...
  4. K

    Nini maana ya nationa security wajameni

    Hi Team na watanzania wengine kwa ujumla, nini maana neno nililolisema hapo juu. na kwenye katiba ni wapi limeandikwa na sheria inalitafsiri vipi. Kwa maana kila Wabunge wakiuliza KAGODA WANAAMBIWA HATURUHUSIWI KUONGEA KWANI NI INAHATARISHA NATIONAL SECURITY...
  5. K

    Tabora School: Kichwa cha Tanzania

    Wanaume wa mirambo utawajua haihitaji hata kuuliza.yaani hata ukimweka kwenye chupa atataka kunyoosha kidole. usijali mirambo na boys ni watani wa jadi. nakumbuka siku moja walisusia misa eti kwa sababu katika maombi nilitamka neno la specila school wakasema...
  6. K

    Tabora School: Kichwa cha Tanzania

    Kuna wengi sana wamesoma boys. Ukitaka ujue boys ni noma nenda pale udsm uone walivyo wasongo kwenye kupiga msuli wameshazoea msuli maiti. Form one huwa hawaruhusiwi kulala mpaka saa saba usiku lazima wapelekwe dining wakapigishwe msuli na kaka zao wa form...
  7. K

    Tabora School: Kichwa cha Tanzania

    Tabora school kichwa cha tanzania jinalo we kote lina tajika hapa twakusanyika, tupate kuelimika tabora school kichwa cha tanzania haya tena vijana wote mliomaliza tabora boys mnafahamu makeke na mambo mbali mbali ya pale shuleni. nambani mmezimiss sana nyangara, redo...
  8. K

    Wanawake wengi hawajui menstrual cycle inafanyaje kazi

    Kanisa katoliki huwa linaaandaa semina maalumu kwa ajili ya wachumba kabla ya kufunga ndoa na moja wapo ya mada ni siku gani na wakati gani mwanamke anaweza kupata mimba. as Dr shayo ambavyo anachambua na kutaja majina ya via vya uzazi bila kificho. nilirudi kwenye mada...
  9. K

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Wakuu wa kazi habari naomba mchukue hii kama joke maana hamkawii watu kuanza kupeana madua mabaya. CCM stand for = CATHOLICS CHURCH MOVEMENT hivyo watuwote ndani ya chama hicho bila kujijua ni wakristo tena wa dhehebu la KATOLIKI. kama unaduku duku...
  10. K

    Kama ningekuwa kova ningewapanga polisi wa doria hivi

    habari za uchovu wa kupigania shillingi wadanganyika wenzangu. hivi uozo huu utaisha lini wa mtu kusafiri kilo mita 100 kufuata huduma ya afya, maji ya visima , na umeme wa kibatari, ukiwauliza wanajibu enzi za mwalimu nilikuwa nakaa bunju lakini nasoma pugu na ili nibidi...
  11. K

    Hawa wazee wa tigo wana kazi gani( polisi maendensha piki piki)

    Ndugu wadanganyika wenzangu Kwa mara ya kwanza napenda kujitokeza rasmi na kuweza kutoa maduku duku mengi huwezi kuamini kuwa kuna kampuni linaweza kuweka mpaka dhahabu zenye samani ya dola milioni tatu kwa ajili ya kuuza wakati makazi wa kipawa wanalala kwenye shule. Naomba...
  12. K

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hey wazee vipi mambo ya arshavin naona man wameanza kumuota timu inatia moyo kwa sasa mazee lakini huku gomsi ni issue mechi kubwa tunaaangalia mpaka kwa mia nane na mimi karibu nitafunga ungo wangu nahisi klabu bingwa kati ya arsenal na man itakuwa book "it is...
Back
Top Bottom