Search results

  1. M

    Wakuu tumepata ajali ya treni mjini Morogoro muda huu!

    Poleni sana na mungu awajalie safari njema.
  2. M

    Tanzania 'Best Safari Destination in Africa'

    Halafu nchi bado masikini tu!
  3. M

    Tambiko Kubwa lafanyika Mtwara Gas isitoke

    Mbele ya mzungu gesi itatoka tu hata kama wametambika,fikiria kwenye migodi wanasemaga mpaka ufanye tambiko ndio mgodi uteme,lakini wakija wazungu na machine zao wanasomba wanavyotaka.
  4. M

    Majambazi yauwa

    Poleni sana wote!
  5. M

    Tanzania inahitaji hili ili iwe na mabadiliko ya kweli.

    True kabisa kwani Education the Great Equalizer!
  6. M

    Wote;NCHI IMEFIKIA HAPA..

    Umesahau na taifa la usanii na ushirikina kila kona!
  7. M

    CCNA(Cisco Certified Network Associate)

    Check na UCC pale posta mpya au headquaters pale mlimani.
  8. M

    Unga Wa Ngano Ya Kahawia

    Hiyo rangi ya kahawia imetokana na mbegu zake au ndio genetically modifies? tueleweshe maana usije ukawa na madhara.
  9. M

    Hii ndiyo familia inayotawala ulimwengu!!

    Kama Hitler alikuwa mmoja wa familia hii kwa nini alitaka kuwaangamiza wayahudi wote ujerumani enzi hizo?
  10. M

    Star TV yarudi Star Times baada ya Maridhiano

    Hongera kwa kusikiliza kilio cha wateja wenu!
  11. M

    Tunauza milango ya mbao Dar

    Poa umesomeka ngoja wajenzi waje.
  12. M

    NAITAJI KUWA mkulima Na nina MTAJI.ILA SIJAJUA PA KUANZIA.

    Nenda mkuranga kodisha eneo ulime matikiti maji huu ndio msimu wake mvua zimekwisha,mpm mkuu malila kwa maelezo zaidi.
Back
Top Bottom