Search results

  1. K

    Garage nzuri ya Nissan Engine

    Wakuu naomba msaada, Garage ipi nzuri inafaa kufanyia engine overall Nissan Civilian kwa hapa Dar?
  2. K

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Swala hapa linalojadiliwa ni fulani kapata fulani kakosa, aliyekosa ndo anaanza kutafuta sababu za kwanini huyu apate na mimi nikose. Kuna vijana wangu kibao ninaowajua wapo TRA na wote ni makabila tofauti, tulipomaliza chuo wao waliomba na kupata na mimi nilikosa. Baadae nilipata BoT bila ya...
  3. K

    Bango lenye lugha ya Ki-mandarin Dar

    Sioni ubaya wa kuwa na Bango limeandikwa kwa lugha yao. Ila nakushangaa kwanini ujawahi kulalamika kuwa kuna mabango mengi yameandikwa kwa lugha ya kiingereza, kiarabu na nyinginezo au unadhani hizi ni lugha zetu? Kama utakuwa ni wa umri wangu, utakumbuka mwaka 1972 Tanzania ilipigana vita...
  4. K

    Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

    Website ya zeutamu bado ipo hewani, ila imekuwa slow. Kama ni kui-blocknaomba ukaze nut ziadi kwani bado inapenya.
  5. K

    CRDB Visa Card: Utata wa matumizi yake mtandaoni

    Tunashukuru kwa kutufungua macho sisi tulioachwa na technologia
Back
Top Bottom