Search results

  1. azzurre

    INAUZWA Spare mpya za Magari ya Kijapani

    Nahitaji bearing za ist, vitz, noah, alphard na Rav 4 bei gani? Ziwe mpya
  2. azzurre

    Uliza chochote kuhusu spare za magari

    Nahitaji bearing za ist, noah, vitz, alpphard na Rav 4 bei gani?
  3. azzurre

    Ukweli kuhusu Kanisa Katoliki kuanzisha Dini ya Kiislamu

    Sasa kama wamaandika wakatoliki basi na wakatoliki wa muda huu wanaweza kuiandika Quran, lakini ndani ya Qur an inatowa challengi kwamba ikiwa watu wanahisi Qur an haikutoka kwa Allah basi wao washirikiane watu wote wa ulimwenguni pamoja na majini (wanasciance, wanasiasa, wataalamu wa fedha na...
  4. azzurre

    Ukweli kuhusu Kanisa Katoliki kuanzisha Dini ya Kiislamu

    Wayahudi wametajwa sana kwenye Quran kwa kuwa wanasifa zifuatazo: 1.nijamii ambayo imepewa elimu kwani asilimia zaidi ya 90 ya mitume wa muungu waliokuwa wanatoka kwenye jamii ya uyahudi. 2. Kutokaana elimu waliopewa walitarajia kuwa mtume wa mwisho pia atatoka kwenye jamii yao, lakini Allah...
  5. azzurre

    Ukweli kuhusu Kanisa Katoliki kuanzisha Dini ya Kiislamu

    Habar? Kwanza tuangalie history tunazoziita dini na mitume yao (kwa kuzingatia mafundisho ya kiislamu) 1. Uyahudi, mtume wanaemfuata ni Mussa A. W (Jesus) ambae utume wake ulikuja kabla ya Masihi Issa A. W, 2. Christian, mtume wake ni Issa (Jesus) ambae utume wake ulikuja baada ya Mussa na...
  6. azzurre

    Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

    Mimi simjuzi sana ila uchache wangu wa elimu jibu lako ni kuwa: 1. Shahada hutumiwa kwa mtu aletoka kwenye dini nyengine kuingia kwenye uislam, kwa mfano wa Abraham yeye hakuwa katika dini nyengine kwa hio hakusilimu. 2. Kwa kilamtume kutoka Adam wanaposilimu huwa wanatoa shahada kwa kukubali...
  7. azzurre

    Elimu ya Tanzania haichangii chochote kwenye global science and technology kwasababu inahabiribiwa na mwingiliano wa lugha mbili

    Point yako I naweza kuwa na ukweli Kwa asilimia isizidi 40%. Kwa sababu lugha ni tools inayotumika kuchukuwa Au kutafuta elimu. Lakini elimu na lugha ni vitu viwili tofauti, Unaweza kujua lugha lakini ukawa huna elimu na Unaweza kuwa na elimu ukawa huna lugha, Ila haitokuzuia kuifanyia kazi...
  8. azzurre

    3RD JULY 1988 IRAN FLIGHT 655 ILIANGUSHWA NA WAMAREKANI HUKO GHUBA YA UAJEMI

    Waliuluwa wameshakufa, walioua nawao watakufa na baadhi yao wameshakufa, na sisi pia tutakufa. Kwahivyo chuki au tamaa yakulipingiza mali (maslahi ya kiuchumi) au utukufu (vyeo vya madaraka) tutaviacha na kitakachobakia nikulipwa kwa kila mtu alichokifanya na nia iliompelekea kufanya hicho...
  9. azzurre

    USA yaja na madai mapya dhidi ya Iran

    Watu wengi wanafikiria kuwa vita nijambo baya sana lakini katika dunia ya leo na iliopita vita ndo vinaleta kuheshimiana katika jamii mbali mbali ijapokuwa sijambo zuri lkn kuna wakati uonevu, dhulma na maasi yanapozidi katika dunia Muungu huwapambanisha baina ya watu kwa watu ili kupatikane kwa...
  10. azzurre

    Kuna sayari zaidi ya Billioni 100 katika Universe, Je Viumbe hai tupo peke yetu ?

    Hee. Viumbe wenye akili hapa duniani/ulimwenguni ni viwili tu ambavyo ni binaadamu na majini tu asikudanganye mtu wowote awe msomi au hakusoma. Malaika wapo kama roboti na viumbe wengine wamepewa maarifa tu kama vile kuku, mbwa nk kwa ajili ya kumtumikia binaadamu (ambae ndie mtawala wa dunia na...
  11. azzurre

    Binadamu tunaishi ili iweje? Au tupo duniani kufanya nini? Why Do We Live?

    "Kama Muungu Pekee ndo anajua" lengo a kumuumba binaadamu. siutakuwa umeshapeta jibu? jibu lake nenda katika vitabu vya Muungu (Biblia, Quran, nk) haina haja kuumizwa kichwa bila ya kupata faida yeyote.
  12. azzurre

    Kenya yazidi kujidhatiti katika sekta ya Anga na Utalii

    What is the source of the source of the news. Tanzania tunauwezo wa kucompete na Kenya ktk sekta hii
  13. azzurre

    Kati ya sayansi na imani za dini ipi imejibu masuala muhimu kwa ufasaha?

    Unasema dini haina nafasi? Jee hujiulizi kabla ya kuzaliwa ulikuwa kiti gani/kiumbe gani? na umefanyika vipi? na kwanini maisha yako yamekuwa kama kuku anaefugwa bandani kwani kuku huwa anaekewa maji, chakula, dawa nk na wewe umekuja hapa umekuta vitu vyote ambavyo just natumia tu kama mfano wa...
  14. azzurre

    Ni nini kinachoamua uwezo wa akili wa binadamu?

    Hatuwezi kulinganganisha akilili za jamii tofauti bila ya kuweka vigezo ni sawa na kusema gari na ndege ndege bora kisa ndege inaruka angani, inatatakiwa tuweke vigezo km vile cost, flexibility, speed,nk. kwangu ningependa kulinganisha akili kwa mambo yafuatayo; 1. Kujua majukumu yako hapa...
  15. azzurre

    Nafasi ya Artificial creation ( uumbaji bandia)kama kazi ya Mungu.

    Mtoa maada mimi naona hujathibitisha hoja yako. kwanini? chukulia mfano muungu kaumba ardhi na katika ardhi akaweka viumbe vingii ikiwemo matunda na mimea mbalimbali, jee km mtu atachukuwa mchanga akaweka kwenye kontena la cchuma au mbao akaweka na mbegu akazalisha mfano mpunga, jee...
  16. azzurre

    Kati ya sayansi na imani za dini ipi imejibu masuala muhimu kwa ufasaha?

    Hello Memba Nipo nafikiria sana ila nashindwa kupata jibu nategemea memba wa JF watakuja zaidi na majibu mazuri yatakayo nisaidia kupata mwanga wa thinking pengine ikapelekea kudevelop theory. Kwa kawaida wasomi wengi wa elimu hapa uimwenguni hutegemea majibu ya sayansi katika kujenga hoja...
  17. azzurre

    Mmiliki halali wa mtoto ni mama au ni baba?

    Kwa kuwa tumeubwa (kwa wale wanao amini hivyo tu), kulijibu suala lako lazima tufanye marejeo kwake (muumba mbingu na ardhi. Kabla tuangalia viumbe wengine, viumbe vyote vilivyobakia vilivyo kuwa na sifa ya kuzaa, mtoto anakuwa ni wa mwanamke, mfano kuku (ukiwa na jogoo pekee yake na mtaani...
  18. azzurre

    Mtoto wa kike kutoka taka ukeni

    ana umri wa miaka 3
  19. azzurre

    Mtoto wa kike kutoka taka ukeni

    IIgwee JF, Nina mtoto wangu anapotumia dawa ya kusaidia kupumua kama vile amoxcilin huwa akivua chupi huwa imejaa uchafu. Je, hili linatokana na nini na nini nifanye kuondosha tatizo lakutoka taka?
Back
Top Bottom