Search results

  1. M

    David Kafulila: Tume inataka kunihujumu Kigoma Kusini

    Kafulila kavuna alichopanda, nani alimwambia atukane wapiga kura wake?
  2. M

    Muda Hip Hop: Michano pamoja na vina

    Kama ku battle na battle, Usinione underground, Hasira kwenye msoto, Na idea zinazosound, Hii verse imeenda shule wala haitaki, mizani, Uzi to wangu ni soo haupimiki kwa mizani, Na ryms zangu ni hoo t ikuingiapo sikion,
  3. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nahitaji kubadilisha gear box ya gari(TOYOTA hiace engine 1tR) kuIfanya manual. Haina tatizo ila ni kwamba ulaji wa mafuta wa auto uko juu sana. Nahitaji ushauri kwanza ni vifaa gani vitahitajika na vinaweza kugharim kiasi gani? Vilevile je hii gear box nitayotoa naweza kupata mteja?
  4. M

    Kipindi Maalum: ITV kuonesha historia ya maisha Dr. John Magufuli

    Bora huyu kuliko yule asiyeweza hata kugeuza shingo
  5. M

    Wanavyuo wampongeza Lowassa

    Mleta mada hujielewi
  6. M

    Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Ali K hajajitambua bado, hivyo akijitambua ataweza
  7. M

    Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Kili music awards
  8. M

    Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Uking mwisho ktma
  9. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Vipi kwa ajili ya biashara ya daladala maana mie nipo Mwanza na huku mafundi wanadai 3l na 5l ndo zinastahimili. Vilevile ndo zipo nyingi ktk biashara hii. Pia nikiangalia bei naona 1kz zina bei nafuu kuliko 3l na 5l lkn hazitumiwi sana kwenye biashara.
  10. M

    Bado Simuamini kabisa Lowassa. UKAWA Naombeni Mnishawishi nimpe kura yangu

    Pesa za Lowasa anazozitumia kuwalaghai wapiga kura unajua zatoka kwa nani?
  11. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari zenu, msaada tafadhali........ Naomba kufahamishwa juu ya tofauti ya ubora wa toyota hiace yenye engine ya 3l na toyota hiace yenye engine ya 1kz.
  12. M

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Chukua carina, japo cna hakika kama iyo bajet itatosha
  13. M

    Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Tatizo unaleta utimu sasa, Dai kaingiaje hapo?
  14. M

    Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Huyu atakuwa king wa kariakoo tuu
  15. M

    Mkuu wa Mkoa Dodoma, asimamia kura za maoni CCM, amekiuka Maadili ya Utumishi wa Umma

    Unayajua majukumu ya Mkuu wa Mkoa kwa majibu wa sheria? Na je wajua kiapo chake kabla ya kuanza majukumu yake?
  16. M

    Mkuu wa Mkoa Dodoma, asimamia kura za maoni CCM, amekiuka Maadili ya Utumishi wa Umma

    Tumia akili wewe, Kwani wanateuliwa na nani? Na anatoka chama gani? Unategemea wafanye majukumu yao kwa manufaa ya nani?
  17. M

    Mkuu wa Mkoa Dodoma, asimamia kura za maoni CCM, amekiuka Maadili ya Utumishi wa Umma

    Jibuni swali la Masonjo? Alisimamia kama nani?
Back
Top Bottom