Search results

  1. Mr. Marangu

    Wafanyabiashara na wakulima wa Tanzania Usafi ni muhimu

    Kuna jambo moja haliko sawakwenye biashara za mazao ya kilimo, Bidhaa mbalimbali zinazotoka kwa wakulima kwenda sokoni/mlaji, zinawafikia walaji zikiwa katika hali ya uchafu kwa mfano Tangawizi unkuta ina udongo ... Udongo mpaka inapoteza mvuto, ndizi mbivu zina uchafu ulioshikamana, Maharagwe...
  2. Mr. Marangu

    Vituo vya Chapati na Mihogo ya kukaanga ndiyo uchumi mpya wa Dar es Salaam?

    Kuna watu mnaleta utani na wakulima shamba lipo unapata mihogo ndoo kwa elfu moja Acheni stori za kusimuliana
  3. Mr. Marangu

    Naombeni mbinu jinsi ya kuwa bahili, kubana bajeti

    Kiukweli sio kama najisifu lakini kuipata hela yangu ukiwa ww sio mzazi wangu uache kazi ufanye kazi Hua si hongi hovyo Na kuepuka helo natafutaga partner wakueleweka ( hii kwa ambao hatujaoa), kumhudumia mchumba nitofauti na kudeal na variety of girls Pili kwenye mavazi unatakiwa uwe na break...
  4. Mr. Marangu

    Nina shida na Mtumishi wa THPS (Tanzania Health Promotion Support)

    Kuna mtu anapigwa soon [emoji28][emoji28]
  5. Mr. Marangu

    Fiesta ya Clouds iwapi 2023?

    Mbona zilifanyika iaka iliyopota ila miezi tofauti
  6. Mr. Marangu

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Code zinaanza kufunguka Kumbe jina la Iryn ni Geneviv
  7. Mr. Marangu

    Fiesta ya Clouds iwapi 2023?

    Hawa jamaa mwaka huu wapo kimya, Kwa kawaida harakati zamsimu wao wa fiesta huanza mwezi wa saba mpaka sada tumeifikia october ambapo huwa fiesta inakua inakaribia kuhitimishwa Bila shaka huenda biashara hiyo imeanza kuwashinda. Wasanii wamejitambua wanataka malipo makubwa. Hivyo wameona...
  8. Mr. Marangu

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Nimependa haso zako na nimependa namna unavyo jidhibiti kwenye matumizi ndio maana nimevutiwa kuona kam ulimudu kulipa liledeni make una njaa ya hela [emoji28][emoji28] na hela zinapit amikononi mwako ilakulipa deni ndio sikujua
  9. Mr. Marangu

    Wasanii wakubwa walionyimwa heshima waliostahuki

    Mkuu asee list yako imejaa watu Kama Mb dogg kutokumtaja nimefanya kosa one of the artist Tz blessed by then
  10. Mr. Marangu

    Wasanii wakubwa walionyimwa heshima waliostahuki

    Nafikiri kwenye singeli jamaa ni founder
  11. Mr. Marangu

    Wasanii wakubwa walionyimwa heshima waliostahuki

    1. Jay Mo moja ya msanii bora wa hiphop kwa 2010 kurudi nyuma, alikua mbaya sana haswa kwenye featuring moja ya feallturing kali ni baina yake na Ngwair 2. Sugu ni Legend na Godfather wa Bongflave na hiphop alichira njia lakini heshima yake wamekua wakipewa wasanii wengine kama Profesa Jay N.k...
  12. Mr. Marangu

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mkuu, ulipopewa hela na jane kipindi ametoka msibani ulisema utalipa deni lako kwa mama wawili, ila hujagusia kama ulilipa deni Vipi kuhusu ujenzi wako pia
  13. Mr. Marangu

    Wasanii waliokuwa mbele ya muda

    Hapo namaanisha Style ya uimbaji Swags Na mistari Vyote kwa ujumla ukijatibu kutizama unaona vinakua sawa na muda tulionao
  14. Mr. Marangu

    Wasanii waliokuwa mbele ya muda

    Kichwa cha uzi juu kinajieleza 1. Noorah a.k.a Baba Starz 2. Albert Mangwair "Ngwair" Kama wapo na wengine ongezea ila hawa ni koma kabisa [emoji28]
  15. Mr. Marangu

    Naombeni kazi kwa yeyote anayeweza niona nafaa

    Mungu akujalie na kukufungulia fursa
  16. Mr. Marangu

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kuweni wapole Tukae tukijua Insider nae anafamilia akija online mayb tomorow anajua namna gani ya kutufidia Natambua story ina ka alost flani hivi, ila isifike mahala tukajikuta tuna haki sana mpaka yakuzuia dharura zinazompata ama kuingilia harakati zake za kutafuta mkate wa watoto Tuwe wapole
  17. Mr. Marangu

    Natafuta Mchumba/Mume

    Awe engineer?
  18. Mr. Marangu

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Umefungua kode, nafikiri hiyo ndio real name [emoji28]
Back
Top Bottom