Search results

  1. K

    Mpango mzima wa kuihusisha CHADEMA na ugaidi mpya huu hapa

    zitto uwe mwangalifu sana.ccm unaowatetea wanaweza wakakurudi ile mbaya.unawajua vizuri ccm??
  2. K

    Mnyika asisitiza uamuzi wa Kamati Kuu dhidi ya Zitto, awakumbusha viongozi, wanachama

    nilimshtukia zitto 2010.aliongozana na mhe dr.slaa jimboni kwake.katika mkutano mmoja akasema atagombea urais 2015.nilishtuka.nikaanza kumfuatilia kwa karibu nikagundua kuwa huyu mtu hakuwa mwanasiasa.ni mchumia tumbo.kuna habari zinasambaa sasa hivi kuwa alipewa magari na mhe mkono kwa...
  3. K

    Picha: Tundu Lissu akiwa Mahakamani pamoja na Zitto Kabwe, Zitto aishinda CHADEMA

    ni udongo wao.na nsanzu?na wale wabunge wengine wa nccr?ni watu hatari!INASEMEKANA M1 SASA HIVI MULTIBILLIONEA.
  4. K

    Picha: Tundu Lissu akiwa Mahakamani pamoja na Zitto Kabwe, Zitto aishinda CHADEMA

    zitto ni mwanachama wa ccm au cdm??jiulize.dadavua.
  5. K

    Hongera HALIMA MDEE umeonyesha ukomavu

    zitto alishaondoka chadema siku nyingi.sijui kwa nini watu hawajaelewa hili.huyu ni ccm mwanzo mwisho!watu walikuwa wanashangaa kwa nini cdm walimvumilia hivyo!maswali makubwa ya kujiuliza sasa hivi na kuyapatia majibu ni kwa nini watu wakigoma wanafanya mambo namna hii?ni kwa nini ccm inafanya...
  6. K

    Hongera HALIMA MDEE umeonyesha ukomavu

    huyu msaliti alikuwa anajaribu kuwachanganya wahe.halima na nassary.aliwapeleka na kuwafanyia pati ukingoni mwa ziwa tanganyika.nikamtonya halima.nilianza kumshtukia wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2010.akiwa na dr. Slaa alisikika akisema huko kigoma atagombea urais 2015.kumbe alishakuwa...
  7. K

    Hongera HALIMA MDEE umeonyesha ukomavu

    mimi ningekuwa huko baraza kuu ningemlamba bakora kishenzi!!!halafu ningemtupa dirishani.shenzy kabisa.amekidhalilisha sana chuo kikuu alichosoma.UDSM inaonekana sasa ni mafi kabisa.inatoa wasomi aina ya zitto??udsm ianzishe utaratibu wa kuwafuatilia wahitimu wake.WANAKIAIBISHA...
  8. K

    Mtela Mwampamba ni mzushi wa kawaida, Apuuzwe!!.

    hivi hakuna sheria ya kuwakamata hawa watu ambao wanazunguka nchi nzima kukichafua cmd na kwafunga jela.?chadema ni chama kikubwa kushinda hata ccm kwa maana kupendwa.ifike wakati sheria zitumike.itatokea siku wanacdm wakachua sheria mkononi.
  9. K

    CHADEMA, tumsamehe Zitto tusonge mbele; awe mtu asiye na madhara kama Shibuda!

    kwa makosa aliyofanya alipashwa kuvuliwa nguo na kucharazwa bakora.halafu afunguliwe mbwa.eti huyu ni msomi wa chuo kikuu cha daressalaam anafanya mambo ya aibu namna hii.prof.mukandala anajisikiaje?
  10. K

    CHADEMA, tumsamehe Zitto tusonge mbele; awe mtu asiye na madhara kama Shibuda!

    tumsamehe zitto?ngoja nikajisaidie kwanza halafu nirudi hapa!
  11. K

    Kauli ya Diwani Henry Matata wa Kata ya Kitangiri Ilemela leo 14/12/2013 Mchana

    ni kweli mkuu!!!!!hawa jamaa ni hatari
  12. K

    Yaliyojiri Jijini Mwanza: Freeman Mbowe akutana na vijana vyuo vikuu!

    mbona mambo ya zitto yameshagonga ukuta??
  13. K

    Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

    VUTA-NKUVUTE Zitto alishtukiwa siku nyingi na watanzania.hata kwenye daladala wanamsema vibaya sana huyu mtu.nawashangaa wahariri wanavyomwandika kwenye kurasa za mbele za magazeti yao kila uchao.hii inaonyesha ni kwa kiasi gani uandishi wa habari ulivyo chini hapa tanzania.uandishi kabila hii...
  14. K

    Zitto Kabwe Adai kwa Kiapo Hana Majina ya Wenye Akaunti Uswisi - AG

    huyu alikuwa chadema mwanzoni lakini alikimbilia umagambani miaka kadhaa iliyopita.inasemekana anavuta pesa ndefu huko.kwa wazee wa vijisenti.
  15. K

    Zitto Kabwe Adai kwa Kiapo Hana Majina ya Wenye Akaunti Uswisi - AG

    nilianza kumshtukia zitto tangu 2010.wewe unamjua leo mkuu.?ukitaka kuwajua wanasiasa bogus uwe na tabia ya kuchunguza sana kauli zao na matendo yao.tunasubiri kauli ya viongozi wa chadema sababu za kumvumilia kwa kipindi kirefu hivi bila kumchukulia hatua!
  16. K

    Zitto Kabwe Adai kwa Kiapo Hana Majina ya Wenye Akaunti Uswisi - AG

    kwani ya kapuya mmefikia wapi.?
  17. K

    Zitto Kabwe Adai kwa Kiapo Hana Majina ya Wenye Akaunti Uswisi - AG

    nadhani alitumwa na magamba wenzake na labda na uwt atoke na single ya mabilioni ya uswiss ili wamwongezee umaarufu aweze kuwapindua viongozi wa chadema.
  18. K

    Wakili Albert Msando kulikuwa na haja kweli?

    kama ni kweli amechukua pesa ccm ili kuidhoofisha chadema ili ccm isiondoke madarakani hawezi kuacha kutumia mitandao ya kijamii na waandishi wachumia tumbo kuwananga viongozi wa chadema.si amepewa kazi na analipwa?
  19. K

    Asanteni sana Kigoma-Dr Slaa.

    sure,umaarufu wa zitto aliotengenezewa na mbowe is now history.i pitty him.alikuwa amejengewa politcal capital kubwa sana na chadema.sasa najiuliza nini kilimsukuma mpaka akajidhalilisha to that extent mbele ya jamii ya tanzania.na kwa ufahamu wangu kuact kama double agent ni mchezo hatari...
  20. K

    Asanteni sana Kigoma-Dr Slaa.

    haya magazeti radio tv ambayo hayatangazi mambo ya chadema au yanapotosha yanajitakia mema?inaweza kabisa kutabiriwa kuwa itafika siku wanachadema hawatasoma haya magazeti.vyombo hivi vya habari vinatangaza sana ulaghai na uongo wa ccm na wamefanya hivyo kwa muda mrefu!wasipojirekebisha time...
Back
Top Bottom