Search results

  1. B

    Kikwete afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa: Mulongo ahamishiwa Mwanza; Masawe wa Kagera aondolewa!

    Lema ndo kiboko ya Mulongo mkuu wa mkoa mpya wa Mwanza. Sasa Wenje na Kiwia kaeni na ndugu yenu awape semina jinsi ya kuishi na huyo jamaa, la sivyo atawasumbua sana. Bwana Magesa ni mtata na asiyetaka kushaurika na mwenye maamuzi ya pekee ya hovyo. Hapatani na makada wenzake kwa kuwa na...
  2. B

    Fiesta DSM yamaliza ubishi wa nani mkali Ally Kiba na Diamond.

    Kwanza salute kwako Ally K, hakika ulijipanga na kuteka umati wa maelfu kwa shangwe zile, na pole sana Diamond kwa kuzomewa. Alianza Aly k kupanda stejini, alishangiliwa sana kupita maelezo muda wote, watu waliimba jina lake, hata kabla hajapanda stejin, watu walisikika wakiwaambia wasanii...
  3. B

    Alama za ufaulu wa show ya fiesta 2014

    hakika aly kiba kwa kile nilichokishuhudia alimkalisha diamond. Pamoja na back up ya chege na ney bdo hakufua dafu kwa aly kiba na hatimaye diamond aliishia kuzomewa.
  4. B

    Salute Nigeria, tuna la kujifunza wasanii wa Tanzania.

    Sisi tunawaza kuwashirikisha wao kwenye nyimbo zetu, ila wao hawafikirii hlo kabsa.. Wao wanafanya album na zinauzika kwa bei nzuri za kuwanufaisha sana kulingana na misingi ya hakimiliki nchini kwao, sisi huku album hazitolewi tena kwa kuwa haziwalipi. Matarajio ya wasanii wa bongo kama ally...
  5. B

    Barua ya Waislamu kwa Katibu Mkuu wa CCM Kupinga Mahakama ya Kadhi...

    Ndugu wana JF hasa wale walio waislam, hebu tufikiri kwa kina na tupanuane mawazo kidogo. Ni kweli tunataka mahakama ya kadhi, lakini uendeshaji wake utategemea hasa kodi zinazotozwa kwenye vile vitu tunavyovipiga vita ambavyo ni pamoja na sigara, pombe na nguruwe. Hapa Tanzania kwa takwimu za...
  6. B

    Rasimu itapita, chama kitakwama

    Kaka unaona mbali sana. Ni wanaKIJANI wachache sana wenye hyo akili.
  7. B

    Staa Lil Wayne kutoka YMCMB ni HIV Positive

    Haijajulikana kama ni stunt au ni ukweli wa moyo wake katika vipimo. Ila staa kutoka group ya wanamuziki wa Marekani wanaojitanaibaisha kuwa wana 'mtonyo' wa kufa mtu YMCMB, Lil Wayne ameujulisha ulimwengu kuwa yeye ni muathirika wa ugonjwa hatari wa Ukimwi. Lil wayne ameweka ujumbe huwa katika...
  8. B

    Makamba Jr subiri 2025 uchuane na RK, Nchimbi au Mwinyi Jr. 2015 ni maveterani tu.

    Mchaka mchaka wa mwakani utumie kujitangaza tu na kuchukua uzoefu. Ila wewe bado sana kupewa dola bwana mdogo.. Mwakani ni mchakamchaka wa maveterani watupu, hata utengeneze kambi gani huwezi kupita. Ni vyema ukasubiri 2025 uchuane na vijana wenzako wanaoandaliwa kama RK, Nchimbi na Mwinyi Jr...
  9. B

    Diamond amka, Mkongomani anakumegea Wema anavyotaka

    Bwana mdogo nadhani una maskauti wanaopeperusha newz zako humu, hao wakufkshie taarifa.. Kuna Mkongomani anamburuza nyapu Wema Sepetu. Amka bro mali yako inaliwa. Mkongo huyo ana pesa ndefu, ndiye aliyekuwa anamnyembua Jack Wolper kule Nairobi. Wahudumu wa Regency Park pale Mikocheni wanajua...
  10. B

    Kumchagua Mr Mtama kushika Dola 2015, ni kumuongezea Mfalme muhula wa Utawala.

    Katika mahojiano ya mwaka 2013 na gazeti flani linalotoka kwa wiki mara moja, RK aliwahi kuulizwa kuwa ikitokea anamuunga mkono mgombea urais 2015, kati ya Mr Mtama na Mmasai atamuunga yupi mkono. Bila kuchelewa RK akajibu nitamuunga Mr Mtama, aliendelea kudai kuwa Mr Mtama anakuja kwetu mara...
  11. B

    Dk. Mengi aingia fainali za tuzo za AABLA ya 2014

    Mwenyekiti Mtendaji wa Makapuni ya IPP ndugu Dr R. Mengi ametinga fainali ya tuzo za Mfanyafabiashara bora kategori ya East Africa.. Waandaaji wa Tuzo hzo ni chaneli ya television ya Masuala ya Fedha na biashara Africa iitwayo CNBC Africa. AABLA ni tuzo kubwa zaidi ya biashara barani Africa...
  12. B

    Dk. Mengi aingia fainali za tuzo za AABLA ya 2014

    Mwenyekiti Mtendaji wa Makapuni ya IPP ndugu Dr R. Mengi ametinga fainali ya tuzo za Mfanyafabiashara bora kategori ya East Africa.. Waandaaji wa Tuzo hzo ni chaneli ya television ya Masuala ya Fedha na biashara Africa iitwayo CNBC Africa. AABLA ni tuzo kubwa zaidi ya biashara barani Africa...
  13. B

    Wito wa Mbowe kwa vyama vya Upinzani usipuuzwe!

    thread zngne urojo mtupu..
  14. B

    Salute Jux Vuitton, sasa naanza kukuelewa

    Kwenye Zouk Rhumba huko Diamond na Ally Kiba hawana mpinzani anayewafuata. Ila kwa RnB basi Jux anatoa upinzani mkubwa kwa Rama Dee kwa sasa. Ametambulisha nyimbo mpya iitwayo sisikii, ni shida kuanzia beat na mpangilio wa sauti. Nyimbo imefanyika AM Rec na Maneke amehusika kwny mdundo...
  15. B

    Baada ya kulikoroga, Sitta atafuta huruma ya Waislamu 'Mahakama ya Kadhi'

    Baada ya kupoteza mvuto na heshima yake ya 'mikono safi' mbele ya jamii kupitia usimamizi mbovu wa 'kinazi' wa BMK, Mh Sitta anatafuta angalau huruma ya waislamu kwa kukonga nyonyo zao kwa kuiingiza mahakama ya kadhi ndani ya katiba kwny kamati ya uandishi tena bila kujadiliwa na kamati ya...
  16. B

    Tibaijuka: Nimepokea Bilioni ya Mbia wa IPTL! Malipo yalisimamiwa na BoT

    Jamaa ni muhaya wa Muleba, professionally ni Mshauri wa Kimataifa wa masuala ya biashara.. Jamaa ana pesa nyingi na ndiye anayehusishwa na "mtonyo" wa IPTL kupitia kampuni yake ya VIP Engeneering and Marketing Co. Ltd ambayo ilikuwa na hisa kwny IPTL ya asilimia 30, na zingne 70 zilimilikiwa na...
  17. B

    Nipo Regency Hotel chumbani muda huu na mtoto mzuri sana maarufu wa MMU ya JF

    Wakuu nawasalimia, wengne muda huu mpo nyumbani, wengne mpo viwanjani tayari kula bata. Leo nitaufurahia ucku huu na mtoto mzur sana na maarufu mno ktk jukwaa la MMU ndani ya JF. Wengi wenu mnamfahamu sana tena sana kwa ID yake na post zake na weng mnataman kumuona na mmesham-PM sana mktaka...
  18. B

    CCM Arusha: Lema amelipotosha bunge kuhusu Arusha

    na wewe unalipotosha jukwaa. Arusha na Lema wetu msituambie lolote.. wameshndwa akina mwigulu, mkapa, kinana na makamu wa rais. Watakuwa hao vifaranga uvccm ndo uwaweke washndane na lema?
  19. B

    CCM wanakataaje serikali 3? Soma hapa ucheke..

    Mungu yupo katika nafsi 3, Petro alimkana Yesu mara 3, jogoo aliwika mara 3 Yesu alipokuwa anasulubiwa, Yesu alifufuka siku ya 3, serikali yoyote ina mihimili mi3, Tanzania ina makamu wa rais wa3, ili upike unahtaji mafiga ma3, kondom kwenye pakti zipo 3, Taifa star kafungwa na burundi goli 3...
  20. B

    Yaliyojiri kwenye Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards

    Sio siri jamaa katoka kama vle wale modern hiphop artists wa marekani wanavyovaa kama 2chainz, Big Sean na Kanye West. Jamaa amevaa kuendana na sanaa ya hiphop ya kisasa. Hongera brother..
Back
Top Bottom