Search results

  1. P

    Chadema CUF TLP NCCR - LIVE from Urafiki Social Hall

    Mtu wa Pwani, si ndo wee ulikuja na shairi hili... Leo Ni mie nakosea kuelewa au ushabadili mwelekeo? Hao ulowaulizia "kwa kali zao kauli bungeni wakizitoa sioni hata kivuli wapi wametokomea" ndo hao wanatoa data za ufisadi!
  2. P

    Lazima tuwekane sawa kuhusu UKIMWI

    Wabunge wametaka Sheria ya Kazi na Ajira kuangaliwa upya, hususan suala la uhamisho wa kazi kwa watumishi wake, kwa kuwa linaongeza wimbi la nyumba ndogo pamoja na maambukizi ya Ukimwi. http://www.ippmedia.com/ipp/nipashe/2007/07/31/95477.html Ndani ya hiyo link jambo kuu lilozungumziwa...
  3. P

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Huu ndo unaitwa ukoloni wa kidini, dini moja kutaka kuitawala ingine. Hiyo ilani kama ipo na ina uhai ife kifo cha mende!
  4. P

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Tuwe fair hapa; Lowassa alikutana na jopo lililohusisha wataalam, polisi na wawekezeja katika usafirishaji; ni jopo hilo ndilo lilifikia maamuzi haya, siyo maamuzi ya Lowassa binafsi! hao wahusika wote wanatakiwa kukaa tena kwa upya kuangalia kama hilo zoezi walilopa muda wa majaribio linafaa au...
  5. P

    Uchaguzi Mkuu wa CCM Mwaka 2007

    Kutimuliwa kwa hao jamaa kama ni kwa ubadhirifu mi nawapa tano kamati kuu. Wakianza kamati Kuu kusafisha maovu tuna hakika kuwa polepole tutakuwa na viongozi wenye ahueni katika utendaji na uwajibikaji wao.Ni wazi kuwa viongozi tunowapigia kelele hivi sasa ni wana ccm walopitishwa na kamati yao...
  6. P

    Lazima tuwekane sawa kuhusu UKIMWI

    swali ni: Je, wewe Kuntakinte ushapima ukimwi?
  7. P

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    Wenzio tushalia tukachoka na wala hasikii huyo, kauli mbiu yake ni 'kelele za mpangaji hazimtishi mwenye nyumba'
  8. P

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    Kitombi, careful there my brother!
  9. P

    Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

    Kada; hii ni dangerous path kwelikweli; kwa mfano, ni habari za kuaminika kuwa wengi wa vijana wasafirishaji huwa wanapitia VIP lounge watokapo huko kuzimuni na hayo madawa; hii yatosha kukuonyesha namna mtandao wake ulivyo. Tizama yule jamaa jirani yake marehemu Amina alokufa majuzi akiwa na...
  10. P

    Buriani Amina Chifupa!

    naunga mkono hoja, ingawa nakiri kuwa haitokuwa kazi rahisi kuchuja yote. Nimefungua thread yangu ya rambirambi kwa hishma ya marehemu nayo ishawekwa katika ile ingine japo nlijua kuwa ipo, ila yangu niliiona tofauti; sioni vibaya kama moderator kwa hekma yake kaona ziunganishwe
  11. P

    Buriani Amina Chifupa!

    And so she died. She was so young. She was so charming. She was so loved. But they couldn’t let her live. She was a threat to them. She was a thorn in their midst. She HAD to go. She had a daring heart. She had a great love for her country. She had the guts to tell them off. She...
  12. P

    Wanene kuongezewa marupurupu

    Mswahili unakuwa kero; mwiba; kadhia; balaa; aibu na mambo yote unoweza yatamka yanayofanana na hayo. U mtu gani wewe usie na haya unathubutu kuongelea mambo ya mama za watu? wataka ya mama yako na dada zako nayo yawekwe hapa? we mwenyewe file lako chafu! hiyo kazi unofanya ya kupiga chabo...
  13. P

    Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

    Whatever the reason, kumshangilia huko kumefunga mijadala yote inayomuhusu amabyo ingeweza ibuka huko bungeni, make ndo keshavuka vikwazo. hongera mzee!
  14. P

    Tanzania National Identities

    Ukistaajabu ya Mussa utaona ya Farao! Huyo fred kaingia ubia na the famous bwana Albawadi wa Kempiski kwenye kampuni moja ya madini ya Tanzanite na sasa wako mbioni kujenga bonge la hoteli kwenye maeneo nyeti Arusha(usichanganye na 77)!
  15. P

    Serikali yawatelekeza wanafunzi 29 Ukraine

    Mzee Mjj. Mpaka sasa hivi hawa vijana wanahitaji fedha kiasi gani ili waweze kuendelea? Kuna uwezekano wa kuwapatia wafadhili, ila wataka kujua in total watahitaji kiasi gani ili wasirudi majumbani, na je, ufadhili huo ni wa muda gani; yani, ni kwa mwaka huu tu au miaka miwili au mitatu ijayo?
  16. P

    East African Federation (EAF) public Views

    Aiii! Ati utaoa mukenya? tehe tehe tehe bora asiwe mkikuyu, wafwa!
  17. P

    Mkapa above the law?: Allegations

    Niliambiwa wakati sakata la kampeni ya kurudisha nyumba za serikali lilipopamba moto alishauriwa kurudisha nyumba; akarudisha baadhi, zile ambao 'wanoko' walizijua; ila ziko nyingi hadi mikoani bado kashikilia; alidiriki hata kuchukua share ya mfanyakazi halali wa serikali huko kusini; mwivi mkubwa!
  18. P

    Mkapa above the law?: Allegations

    Mie sishangai watu wanaomtetea Ben, nae ana wapambe wake, na pengine nae yumo humu kajisajili. sheria au sio sheria, hatuhitaji kwenda shule kujua kuwa raisi wa nchi kuomba mkopo na kununua mali akiwa bado katika ofisi yake ya uraisi huko ni kutumia madaraka yake vibaya: aa; wanaotoa mikopo...
  19. P

    East African Federation (EAF) public Views

    Let us see how the court will decide. It is a good sign
  20. P

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    Well, the poor innocent guy was playing it Western style; bado kujua yeye kuwa ukienda Roma unaishi kama waroma....kazi kweli kweli!
Back
Top Bottom