Search results

  1. E

    Mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi.

    Mwalimu Agapitho J. Anney anamtafuta mwalimu wa shule msingi kutoka Manyara ambaye angependa kuhamia Simiyu ili waweze kubadilishana. Kwa mawasiliano namba yake hii hapa. 0763264240
  2. E

    live: Mkutano wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga

    Kauli mbiu ile ile, hakuna kulala mpaka kieleweke. Hawa gambaz ikiwachekea tu hawatakubakiza.
  3. E

    Red Brigade: Kikundi cha mauaji, watekaji, wamwagia sumu na "nchi kutotawalika"

    Gentleman hii single imeshachuja tafuta nyingine.
  4. E

    SERIOUS DISCUSSION: Red Brigade ingekuwa ni lengo baya,CHADEMA wangeiweka wazi?

    Ndugu yangu Makala Jr, kawaida Rais wetu anapoalikwa popote huwa anaandaa cha kuzungumza. Ikitokea akachomekewa jambo ambalo hakuwa nalo kwenye program yake siku hiyo lazima tu atachemsha. Nikupe mfano; Rais Kikwete Katika moja ya sherehe za CCM alisema hawafahamu wamiliki wa Richmond. Lakini...
  5. E

    Mzee Farijala wa CCM Amshambulia Dkt. Charles Kitima

    Hivi ndugu yangu, naomba nikuulize huwa unajua unachoandika au unakurupuka tu usingizini na kukimbilia kwenye keyboard.
  6. E

    Walimu mmmmmmmmmmmmpo?

    Failure ni wewe mwenyewe na ukoo wote ndiyo maana hata umeangukia kwenye fallacy ya generalization.
  7. E

    CUF yaomba kuongoza kambi rasmi ya upinzani bungeni

    Ufanisi upi huo, hebu kuwa specific.
  8. E

    Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

    Wewe roho yako ni mbaya kuliko mnyama wa mwituni.Maana kuweka mambo ya itikadi kwenye suala linalogusa maisha ya mtu ni ulimbukeni,ujinga, upumbavu, upuuzi na ukali uliopitiliza. Come to your sense you beast.
  9. E

    Namtafuta Emmanuel Magesa Malima

    Huyu ni rafiki yangu mpendwa sana. Tumeachana mara mwisho mwaka 1997 tulipomaliza form four Kolila Sec. School . Anayemfahamu ua kama yeye mwenyewe atapata ujumbe huu anie PM tafadhali.
  10. E

    Hawa watangazaji wako wapi?

    Blandina Mungezi ni Afisa Uhusiano (Public Relation Officer) wa kampuni ya Barrick
  11. E

    Kazi ya Mungu tuu, ndio kazi iliokamilika

    Ndugu yangu Mwenyezi Mungu amempa binadamu vitu vitatu kumtofautisha na mnyama; akili/utashi, aibu na huruma. Binadamu akikosa hivyo anakuwa mbaya kuliko hayawani wa mwituni. Lakini hata ni nafasi ya CCM kutafakari kama watachukua hatua juu ya hilo jambo au watakaa kimya.
  12. E

    Kazi ya Mungu tuu, ndio kazi iliokamilika

    Ndugu yangu Mwenyezi Mungu amempa binadamu vitu vitatu kumtofautisha na mnyama; akili/utashi, aibu na huruma. Binadamu akikosa hivyo anakuwa mbaya kuliko hayawani wa mwituni. Lakini hata ni nafasi ya CCM kutafakari kama watachukua hatua juu ya hilo jambo au watakaa kimya.
  13. E

    Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare apata dhamana...

    Nyie ndiyo wale mnaopost utambo mkijibiwa utambo mnaanza kung'aka. Hivi ukiitwa uthibitishe haya unayoandika utaweza. Narudia tena tumia ubongo wako kufikiri na pia si dhambi kutulia kama huna cha kuchangia
  14. E

    mawaziri hawa wako wapi.

    Don't insult people please. Your post has nothing special that needs time to think about.
  15. E

    NCCR Kuizima CCM na Chadema 2015

    Hivi wewe most stupid creature on the World ukiambiwa uthibitishe huo ugaidi utaweza. Please mods uwe unachuja hizi threads kwani ni kweli hili ni jukwaa huru lakini uhuru bila nidhamu ni fujo.
  16. E

    Sakata la Kafulila na wenzake CHADEMA

    Hivi wewe mbona leo umeamka na CHADEMA, au umeiota usiku nini. Ok tuachane na hayo, labdala ungemuuliza huyo Kafulila wako hakufukuzwa CHADEMA alihama mwenyewe, alifukuzwa NCCR akaangua kilio na kupiga magoti. Mbona hiyo hayajatoa comment yoyote. Please change that name. Huyo unayetumia jina...
  17. E

    Capt. Komba: CHADEMA inachangia kufeli na kushuka kwa elimu Tanzania!

    Tumia ubongo kufikiri si makalio watu wanadai haki zao CHADEMA wanahusika vipi. Kama huna cha kuchangia bora ulale.
  18. E

    Wako wapi waliodai Tume ya Katiba haina weledi na wala si huru!??

    Acha porojo zako kwenye suala la katiba rubbish
Back
Top Bottom