Search results

  1. T

    Nape asema Edward Siyo msafi

    Wanaompinga Lowasa wanasema anawalipa watu kuhudhuria/kumpokea kila aendapo. Kwanza nilitaka kuamini hivyo, lakini baada ya kufuatilia kwa makini kwenye TV, inaonyesha wazi kuwa jamaa ni kweli kabisa anamvuto mkubwa kwa watu na anapendwa. Naona itakuwa marudio ya Afrika Kusini. Zuma alipigwa...
  2. T

    CCM amueni kati ya hawa wawili

    Kama sijakosea, hivi si huyu Muongo, sorry Muhongo, wakati watanzania wenye uwezo walipimuomba washirikishwe katika biashara ya gesi akakataa na kuwakejeli kuwa watanzania wanauwezo tu wa kushiriki katika biashara za kuuza juice na njugu. Baadae akakimbilia Canada kusaini mikataba na wazungu...
  3. T

    DOWANS wawasha Mitambo yao

    Ndugu Mkeshaji, Hii ni habari nzuri sana. Jee ni lini watawasha hiyo mingine iliyobaki ili tuondokane kabisa na mgao huu. Wanaolalamikia hili mimi nawashangaa sana. Kwa nini tukae gizani na wakati uwezo upo hapa hapa nchini? Tena kwa bei nafuu? Naona cheche za mwenyeiti Januari Makamba...
  4. T

    Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

    Kama Tido Muhamdo angekuwa bado yupo kama Mkurugenzi wa TBC, tayari tungekwisha onyeshwa LIVE tukio hili.
  5. T

    Uapishaji wa mawaziri

    Kwani imekuwaje? Kuna tofauti gani this time? Wengine hatuoni..
  6. T

    Wizara ya Africa Mashariki...

    Hongera ndugu yangu kwa majibu yako. Moja ya matumizi bora ya elimu ni kuwaelimisha wengine katika lile unalolijua wewe. Pia katika vitu vichache ambavyo havipungui ukivitoa moja wapo ni elimu. Kila unapoitumia badala ya kupungua inaongezeka. Pia kuna methali inayosema " kuuliza si...
  7. T

    Mishahara sekta binafsi: TUCTA yashtukia danganya toto ya serikali

    Hivi ni jipi limebadilika mpaka Serikali ikatangaza hivyo. Kumbuka kuwa wakati Chiligati alipotangaza mishahara hiyo, makampuni na waajiri walishindwa kuilipa kutokana na mapato ya makapuni hayo kutoweza kumudu uongezeko kubwa kama hilo. Waajiri wote nao wakagoma. Sasa itakuwaje maana sioni kama...
  8. T

    Nyumba ya Dr. Dau yavamiwa; vitu vyaibwa, vingine vyarudishwa kiana

    Mimi kweli nashangaa what all this fuss is about. Labda kwa vile mnazungumzia fedha za Kitanzania ndio maana watu wanashtuka kusikia milioni 4 au 5. Fedha hizo zilizoibiwa kwa Dr. Dau ni sawa na US$ 2,900.- au sawa na Euro 2,100. Sasa jamani mtu kama Dau kuwa na Euro 2,000 basi imekuwa ni...
  9. T

    Nyumba ya Dr. Dau yavamiwa; vitu vyaibwa, vingine vyarudishwa kiana

    Hebu jamani acheni udini. Mwenzenu huyu kaokoka kifo. Huwezi kujua wangemkuta ndani wangemfanya nini yeye na familia yake. Hivi kivazi tu kinaonyesha imani ya mtu? Hizi hijab za NSSF ni ofisi moja tu. Jee hizo ofisi zilizojaa watu waliovaa misalaba nazo utasemaje? Haya ndio mambo ya chuki za...
  10. T

    Mradi wa nyumba za kupanga wa Dr. Hussein Mwinyi Dar

    Jamani hivi huyu Hussein si ninasikia anataka kugombea Urais wa Zanzibar? Jee itakuwaje ile sera ya kutenganisha biashara na siasa?
  11. T

    Dr.Milton Mahanga afungua kesi dhidi ya Msemakweli

    Hivi huyo jamaa mwenyewe ana pesa kweli za kulipa fidia kwa kuwavunjia watu heshima? Naunga mkono kabisa akishindwa aadabishwe. Kama akishindwa kulipa fidia basi Mahanga amtie kwenye civilian Jail, yaani amfunge na amlipie chakula chake na malazi hata kwa mwezi mmoja.
  12. T

    Kauli za Samwel Sitta ni za kisiasa zaidi

    Third Protocol -Ambao ni combination ya:- 1. Wahindi Matajiri wanao wa control wanasiasa wote wenye nguvu pamoja na maofisa wa serikali wa ngazi za juu. 2. Wawekezaji wakubwa toka nje ambao wanatoa hongo kubwa kubwa kwa viongozi hao waliotajwa hapo juu ili sheria na...
  13. T

    Mtoto wa Kikwete ashinda kwa kishindo

    Majibu magumu kupatikana. Si rahisi..
  14. T

    Mtoto wa Kikwete ashinda kwa kishindo

    Hebu anaglia hii ripoti ya Mwananchi.. " Mtoto wa Kikwete aula UVCCM" By Samuel Msuya - Morogoro. ".......Wajumbe wa chipukizi wa nchini kote wakiongozwaa Makatibu wa Mkoa wa UVCCM walimchagua Halfani huku wengi wao wakiwa hawajawahi kumuona na hata kumsikia akiwaomba kura. Wagombea wengine...
  15. T

    Tido anahama TBC anakwenda kwa Lowassa

    Huenda Mkataba wake umekwisha. Kwani tatizo ni nini? Mtu yuko huru kwenda anapotaka. Ana option pia ya kumjoin Mzee Mengi, maana wamependeza kweli kwenye hiyo picha. Kusema kwamba hakuleta mabadidiliko TBC 1 hiyo sio sahihi. Kajitahidi sana hasa chini ya mazingira magumu ya kufanya kazi...
  16. T

    Sitaki tena, sipendi wampime Rais akili!?

    Ndugu yangu, na mimi kama wewe nilikumbwa na mkasa huo huo siku hiyo. Nilikaa ndani ya gari na joto la siku hiyo kwa masaa matatu. Nikajuta kuzaliwa. Napendekeza waheshimiwa hawa wanunuliwe Helicopter maalum ya kuwapeleka huku na huko hasa katika miji hususan Dar es Salaam.
  17. T

    Sitaki tena, sipendi wampime Rais akili!?

    Nadhani hapa ni tatizo la msamiati. Nijuavyo mimi, katika viungo vya binaadamu hakuna kiungo kinachoitwa akili. Kujua mtu ana akili au hana utamjua kwa matendo yake. Na moja ya kujua uwezo, kiakili, wa mtu ni kumpima kwa kumuhoji na kuangalia majibu yake yanaingia akilini au la. Baada ya...
  18. T

    Mwakyembe Ataka Mdahalo na akina Rostam

    Midahalo ya nini? Facts si zimekwisha julikana. Nadhani way forward ni serikali kupitia DPP kuona kama kuna charges ambazo zinweza kusimama kisheria mbele ya mahakama. Unajua, ni rasihi kuwazuga wananchi kwa kuleta longolongo nyingi lakini ukiziweka katika vipimo vya kisheria ukaambulia...
  19. T

    Gazeti la Mtanzania: Utetezi wa kikabila wa Lowassa haukubaliki

    Hata Mwanachi lenyewe wakati mwingine huandika ujinga mtupu. Lakini nakubali kuwa ni afadhali kidogo. Lakini magazeti yafuatayo hayafai kuuzwa kwa bei zao za sasa. 1. Mtanzania 2. Rai 3. Nipashe 4. Majira 5. Mwanahalisi Magazeti haya yanaandika habari za watu wale wale kila siku. Kwa vile nia...
Back
Top Bottom