Search results

  1. S

    Msaada, kiswahili kwenda kiingereza

    Nawasalimu wana JF. Mwanajamii nimetatizwa na hili lifuatalo: Naomba wana JF wanisaidie jinsi ya kumuuliza kwa kiingereza Baba yangu Mzazi kuwa mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa kwake au kwenye familia yetu! Lakini kwa Kimombo. Mfano: Unaita Baba, anaitika Naam. Swali Linaanza Hivi. Baba, mimi...
Back
Top Bottom