Search results

  1. Superbrand

    Sakata la CAG: Wabunge watano kufungua kesi kuitaka mahakama itafsiri mipaka ya CAG, mamlaka ya Spika

    Unataka kusema katiba na kanuni ipi ni sheria mama?
  2. Superbrand

    Wenye magari: Mnaibiwa sana kwenye petrol station

    Wewe itakuwa gari lako tank limetoboka au ina kunywa mafuta mengi mno, anza kutumia Bajaji tu. Uza hilo gari
  3. Superbrand

    Hivi kuna watoto wa kishua ambao wapo JF?

    Hahaha ila nawe ni mkongwe bado upo Active Jf?
  4. Superbrand

    Waziri Mahiga: Serikali ya Uturuki imetuambia wamiliki wa shule za Feza ni magaidi

    Kama njia za kigaidi ndo zinafanya wafaulu nafikiri njia hizi ni nzuri sana
  5. Superbrand

    Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

    Hakuna tatizo mara nyingi sana katika maisha hutokea,, unafikiri unaweza kuota huko kukoje? Kuna Tajiri mmoja aliwahi nambia najuta kuwa tajiri, unaweza ukadhani anatamania kila jambo lina faida zake na hasara zake, Ukizingatia Raisi huyu alikuja na moyo tofauti na mfumo uliopo. Mfumo ulikuwa...
  6. Superbrand

    Rais kapotoshwa na wasaidizi wake utenguzi wa Kairuki?

    Wahaya kwa sifa na hili pia alikuwa anajisifia kuwa hawezi kupewa kamshahara ka mil 5 kwanza amaeolewa na super bilionea sasa JPM kasema ukatumikie ndoa yako yeye anataka wazalendo wanaochukua hata hako kadogo, na bora katumbuliwa tu TAASIS ya uwekezaji ndo imeuza nchi hii
  7. Superbrand

    Kambi ya Upinzani yasusia Bunge, watoka nje ya ukumbi

    Kweli wewe wa ileje hapo umeongea nini
  8. Superbrand

    Kambi ya Upinzani yasusia Bunge, watoka nje ya ukumbi

    Nimekuuliza walipo susia bunge la katiba je tulipata katiba bora? Waliposusia uchaguzi wa Marudio Zanzibar je uchaguzi ulisimama? Tunafaidikaje na kususia hebu nieleze faida zake boss na sio kuunga mkono kila kitu tuache maslahi ya kisiasa tuangalie tunafaidikaje na siasa hizo.
  9. Superbrand

    Kambi ya Upinzani yasusia Bunge, watoka nje ya ukumbi

    Wakomae kwa hoja na wapigwee hii kali UKAWA nakuambia siwaelewi labda wewe kwa kuwa umeelewa utaniwakilisha ngoja nipate zero katika hilo
  10. Superbrand

    Kambi ya Upinzani yasusia Bunge, watoka nje ya ukumbi

    Sasa wewe mzungu mambo ya Tanzania yanakuhusu nini? Unafurahia ukoloni eeh
  11. Superbrand

    Kambi ya Upinzani yasusia Bunge, watoka nje ya ukumbi

    Kutoka nje suluhu au?? Ukawa mimi mnaiudhi hapo tu kususa susa mmesusa bunge la katiba wenzenu wakapitisha, mmesusa wakati wa uchaguzi wa Marudio Zanzibar wenzenu wameshinda na hadi leo kuna raisi leo mmesusa tena. Sijui tatizo nini jengeni hoja na mkomae tu hakuna kususa hadi speaker ampishe...
  12. Superbrand

    Infosys IPS (T) LTD wakanusha kuhusika na LUGUMI katika kashfa ya ubadhirifu

    Kwa hiyo nani alitakiwa kufunga hizo fingerprint na wao Infosys walipewa tenda ipi na hiyo kampuni je waliifanya? Nashauri fika kwa Lugumi maana anatupa headache mitandaoni
  13. Superbrand

    Matokeo ya kidato cha sita ya mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka

    Mtihani ulikuwa mgumu kipindi kile ila jamaa ana Akili sana yaani genius
  14. Superbrand

    Mashirika yanayolipana Mishahara Minono kwa mwezi

    Naomba kujua Athari zake zaidi kwani mishahara hiyo hawajipangia walipangiwa na Bodi, naamini kulikuwa na tija ya wao kulipwa hivyo
  15. Superbrand

    Mwantumu Mahiza alistahili kuteuliwa Mkuu wa Mkoa

    Huyu ana tuhuma ya kuifilisi ASA (Agricultural seeds Agency)ana opal mikopo harejeshi
Back
Top Bottom