Search results

  1. M

    Elections 2010 Chadema watumie rangi nyeupe pe kwenye mikutano yao!

    Mkuu kwetui sisi ni combat kwenda mbele hamtuelezi kitu, huu sio wakati wa kuremba
  2. M

    Elections 2010 CCM waanza rasmi?

    Wakuu ilikua ni janja ya kuzuia makombora ya Chadema yaliorushwa Jangwani, lakini haikuwa dawa moto uliwaka na ujumbe ulifika
  3. M

    Saed Kubenea na gazeti la MwanaHalisi

    Big up Kubenea kaza buti tuko pamoja
  4. M

    hiiiii

    Karibu jamvini, halwa, tende na kahwa ndio ada kwa mgeni, wakaribishwa neema, Vigezo na masharti kuzingatiwa
  5. M

    Ajali Kazini

    Wapo miongoni mwetu wanavaa vyupi za wake zao? sijawahi sikia hii naomba maelezo zaidi inakuwaje?
  6. M

    Wako wapi hawa siku hizi?

    Umekuwa Sheikh Yahya unapiga ramli?
  7. M

    Eti ni kwanini? Hebu tuambie...

    Kazi na dawa daaa
  8. M

    Nimepata msiba wa Mama yangu mzazi

    Pole sana, kazi ya Mungu haina makosa, Mungu akupe nguvu na aiweke roho ya marehemu peponi Amina
  9. M

    Mshtakiwa akimbia uchi mahakamani

    Mkuu pengine kabambikiwa kesi si unajua kama hauna chapaa huwezi kuwa huru wewe cheka tu
  10. M

    Tunda nimelitungua!

    Bila shaka ni tunda ambalo halina yoboyebo ndani yake,
  11. M

    Uzinduzi rasmi wa JF Aprili 2010

    Mungu awabariki tupo pamoja,
  12. M

    Was Gaddafi right to call for Nigeria to split?

    Nimekupata unahitaji taarifa sahihi tafuta njia nyengine badala ya kutegemea vyombo vya kimagharibi vikupe taarifa,
  13. M

    Was Gaddafi right to call for Nigeria to split?

    Nafikiri bado hujapata nafasi na muda ukasoma falsafa za huyu Mzee, au ukapata nafasi ya kutembelea katika nchi yake, katika bara la Afrika Libya iko juu sana katika huduma za kijamii, Unaweza ukakosoa na ukaonesha kwamba Gadafi hana maana lakini kumbe ukawa umekosa hoja kwa sababu tu huna...
  14. M

    Dar es salaam: Wanaume na supu ya pweza!

    Juzi mamlaka ya chakula na dawa Zanzibar, yalifanya msako katika maeneyo mbali mbali ya mjini Unguja waligundua wauzaji wa supu ya pweza huongeza ndani yalke dawa aina ya viagra, inawezekana tukaona supu ya pweza inaongeza nguvu za kiume kumbe kuna vitu vimeongezwa ndani yake, Haya mambo sio...
  15. M

    Tandale si mchezo

    Wakuu heshima kwenu, Nilifika Tandale Sokoni majira ya saa 11, jioni nikiwa na ndugu zangu niliotoka nao Zanzibar, ambapo kesho yake alfajiri walitakiwa kuondoka kwenda nje ya nchi, sasa tulikwenda huko kwa ajili ya kununua angalau vijizawadi kidogo, tulifika pale tukiwa na Tax driver ambaye...
  16. M

    Nisaidieni niokoe maisha ya kijana huyu

    Kwa Tanzania Rehab ya uhakika sijui iko wapi, najua Kenya ipo Rehabilitation Centre, Malindi inaitwa The Omari Project hawa jamaa ni wajuzi sana wa mambo haya, kwa Tanzania utapelekwa kwenye jela za Vichaa tu, hatuna Rehabitation ya uhakika kwa watumiaji wa madawa ya kulevya, si kushauri...
  17. M

    HOTUBA ya Seif Sharrif na Majibu yake kuhusu Maridhiano Zanzibar!

    Wakati Baraza la Wawakilishi likiwa limeanza kikao chake leo asubuhi, waandishi wa habari,wametimuliwa ndani ya ukumbi wa Baraza la wawakilishi, si jambo la kawaida kutokea na tuseme hii ni mara ya kwanza halijawahi kutokea suala hili hapa ndani ya ukumbi wa BAraza la Wawakilishi.
  18. M

    HOTUBA ya Seif Sharrif na Majibu yake kuhusu Maridhiano Zanzibar!

    Nadhani kama wanaona yapo mabadiliko ya msingi wanahitaji kuyafanya, Amani anao muda wa kufanya mabadiliko hayo kupitia BAraza la Wawakilishi la JAnuary 20 na April na pia muda wa kutekeleza maazimio ya Mkutano wa REDET kuhusu hali ya siasa Zanzibar, wakati wake wa kuondoka madarakani ukifika...
Back
Top Bottom