Search results

  1. G

    Tanzania ni miongoni mwa nchi chache zilizohudhuria kuhamishwa ubalozi wa marekani Jerusalem

    Waziri alienda kufungua ubalozi wa tanzania nchini [emoji1134] Israel na siyo kuhudhuria kuhamishwa kwa ubalozi wa USA [emoji631] -kama nilimsikia waziri Mahiga akisema ivo (over and out
  2. G

    Nauza Kiwanja Bunju Bei Chee

    Zipo kwenye mfuko wa shati
  3. G

    Nauza Kiwanja Bunju Bei Chee

    Milioni tatu kama kina hati nikupe
  4. G

    DRC: Majaji wawili wajiuzulu wa mahakama ya Katiba wajiuzulu

    Sijaelewa hapo kwenye mwaka au
  5. G

    Mnaosema kwamba mke hachunguzwi piteni hapa

    Ukiandika kwa. Lugha ya Mzee Julias wa Butiama utanishtua mkuu
  6. G

    Kiwanda cha madawa cha Shellys kina ugomvi gani na Serikali?

    Najaribu kuwaza tu inawezekana anatengeneza dawa hapa nchini lakini anauza kwa bei kama umeagiza nje..kwa hali hii serikali haiwezi kukupa ushirikiano ,,,,najaribu kuwaza izo material zilizozuiwa bandarini (kama zipo) labda hawataki kulipa kodi (wanataka msamaha) ili hali dawa wanauza ghali...
  7. G

    Kioo cha simu Samsung J7 kinahitajika

    Nenda kwa mafundi wa simu acha ubahili
  8. G

    Huyu mkuu wetu wa shule vipi?

    Mkuu wa shule akijichimbia ofisini maneno,akisema hataki mwaliko/safari mnasema mkuu anaogopa kwenda kwenye shule Za jirani kwa sababu ya hajui lugha ya malkia. Mwalimu mkuu akisafiri mnasema anazurura tu bora amtume mwalimu wa taalum. Ebu tumuache...
  9. G

    Nahitaji kununua kasuku

    Wapo pale osterbay kuna jamaa wanauza mauwa pale nimewahi kuwaona wakiuzwa (kanisani sant Peter)
  10. G

    Yanga SC yapangwa dhidi ya Woilatta Dicha ya Ethiopia

    Vipi tumepangiwa nani tena
  11. G

    Goli la toa pisto!!

    Offside iyo
  12. G

    Goli la toa pisto!!

    Nimewahi tayari
  13. G

    Angalizo: Baadhi ya dalili za vidonda vya tumbo hufanana na dalili za magonjwa ya moyo

    Hongera kwa dr maana mi ninateseka Mpaka leo hii na tumbo linajaa gest mnoo nimetumia dawa Mpaka nimechoka
  14. G

    Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi aliyeripotiwa kupotea, Abdul Nondo apatikana Mafinga mkoani Iringa

    Unaushahidi lakini??? Ulishawahi kutemwa na hao jamaa?? Au unatuingiza kingi
  15. G

    Jamaa ni kama kaishiwa pumzi.

    Nikama tunamuonea bure maana wale jamaa wanajua ata tungetengeneza combine ya tanzania nzima sidhani kama tungeweza kuwafunga kirahisi
  16. G

    TANZIA: Diwani wa CHADEMA Kata ya Namwawala mkoani Morogoro auawa kwa kukatwakatwa mapanga

    Hapa ndo pakuanzia maana wengine mmeanza kumlaumu Rais na ccm siku ikibainika ni ugomvi binafsi sijui mtazificha wapi Nyuso zenu
  17. G

    iPhone 6 Plus Gold, 64 GB TZS 500,000 for Sale.

    Unanihakikishiaje kuwa siyo ya wizi??? Usalama wake ukoje?? Je uko tayari kuandikishiana/kufanya biashara mbele ya mwanasheria au polisi??? Njoo tufanye biashara baada ya majibu
  18. G

    Nape: Usalama wa Taifa hausaidii nchi, wamekalia kusikiliza simu za watu

    Kazi kubwa ya hizi taasisi ni kuligundua jambo kabla halijatokea na kilizuia lisitokee au likitokea lisilete madhara kwa Jamii ..ie jambo likishatokea kazi inakuwa ya polisi
  19. G

    Nape: Usalama wa Taifa hausaidii nchi, wamekalia kusikiliza simu za watu

    Waziri kasema nikutafuta taarifa na kishauri.. unaweza kushauri/kutolea jambo taarifa lakini unaowashauri wanaweza wasilitilie maanani hilo uliloshauri
Back
Top Bottom