Search results

  1. Swiper

    Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    wakuu kwenye updates tuweke na matokeo ya udiwani
  2. Swiper

    Chonde Chonde Mh. Lowassa!

    hahahaha te te te
  3. Swiper

    Elections 2015 Lowassa: Je, alikosea wapi? Akiamua kuendelea, arekebishe wapi?

    Wakuu salam Mchambuzi asante kwa maswali mazuri. Naomba nami kuongezea maswali mawili 1. Je huu ndo mwisho wa EL kwenye majukwaa ya siasa? 2. Endapo EL atabaki ndani ya CCM na akafanikiwa kuingia kwenye vikao, Ni madhara gani yataendelea ndani ya chama? Wapi EL atapeleka mchango chamani...
  4. Swiper

    Mkapa na Lowassa walivyomzunguka JK na kumtupa Membe

    Mkuu weka hizo details SP
  5. Swiper

    Team Lowassa walikuwa disorganised!

    naisubiri mkuu. Note: weka paragraph utakapo kuja tena
  6. Swiper

    Nyumba inauzwa Dar, Kitunda Kivule

    Mkuu hiyo bei ipo juu. kama upo serious PM unipe bei ninanahitaji nyumba SP
  7. Swiper

    CCM Kigamboni kwachafuka, Diwani wa Kata ya Kigamboni afungiwa miezi sita

    Mr Doto kutojihusisha na siasa nchini na duniani .................​khaaaaaaaaa
  8. Swiper

    Punguza au ongeza uzito

    we ndo unataka kufanya nini vilee??
  9. Swiper

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Falcao atakuja darajani, na atafanya mengi hakika aminini wadau.....CFC na Mou haifanyi makosa! SP
  10. Swiper

    Hakuna cha bahati, Mwanaume anaefaa wala Mwanaume asie faa! inategeme tu umevaa jezi no ngapi

    Lara 1 katika ubora wako............"Men might be weak but are not stupid" ........hhahaaaah SP
  11. Swiper

    Nitasema: Viingilio midahalo ya Wagombea nao ni wizi tu

    Mkuu nashukuru unajua kuwepo kwa monetary na non monetary ( monetary in Kind) siye hiyo ni monetary kwa kutumia 'Opportunity cost theorem'. Hongera kwa mfanyabiashara kufikia level ya kuacha kupiga deal ya hela kidogo na kujenga popularity..... akasubiria deal kubwa!. By the way hela kidogo ni...
  12. Swiper

    Sehemu ya Hotuba Yangu ya Jana..."Fikiri Tofauti, Amua Mabadiliko Sasa"

    Kigwa hayo umeelezea vizuri sana, nimeelewa visioni yako, na hakika yanafanyika. Japo nina maswali machache 1. umepeleka hoja ngapi, kwa kipindi chako kuiomba serikali ya CCM kumpatia kila raia BIMA ya afya?, we ni mtunga sheria 2. Ulichangia nini kwenye hoja ya Binafsi ya Elimu iliyoletwa...
  13. Swiper

    Nitasema: Viingilio midahalo ya Wagombea nao ni wizi tu

    Mkuu deal hapo siyo kiingilio tu, udhamini, matangazo n.k...... "once you are entrepreneur you take every opportunity" hivyo amini hakuna ka deal ( kubwa/ndogo) kwa mfabiashara..... principle ni inaleta faida? Yes fanya (kiwango siyo factor) SP
  14. Swiper

    Hii ndio Dunia

    hapajakamilika hadi umpate Vadmir Putin, na Xi jinping, ndo unakamilisha! hiyo ni 65% Sp
  15. Swiper

    Kutoka ukumbi wa BoT Mwanza: Wassira atangaza nia kugombea Urais

    mbona kimya, au kamaliza?
  16. Swiper

    Nini hasa tumaini la UKAWA?

    Kuna swali Post #4 swali la nyongeza kwanini unameandika UKAWA wanarudisha walewale walioshindwa? Note: Nilitegemea uje na Kura za majimbo yalikuwa na upinzani, kura za chama kilichoshinda, namba au asilimia na walioshindwa kisha onyesha kwa namba kwamba hata wakiunganisha kwa jimbo hawawezi...
  17. Swiper

    Software hii inahitajika haraka-msaada

    Wana jf naomba mwenye kuweza kusaidia kupatikana kwa Data Envolopment Analysis software (DEA) nitashukuru sana, maana inahitajika very urgent kwenye efficiency analysis. Hata kama ya free au ya kununua tuwasiliane. wenu kwenye shida SP
Back
Top Bottom