Search results

  1. A

    Form 5 wa mwaka huu ni vichwamaji

    sikia mkuu, alichokosea huyo mtoa hyo mada ni kitendo chake cha kusema 'form five mwaka huu vichwa maji' wakati kuna watu wamejipatia one zao kihalali kabisa, ameongea point ,ingawa amekurupuka kwenye kutoa hyo point yake.
  2. A

    Form 5 wa mwaka huu ni vichwamaji

    Sijakuelewa mkuu ,kwahyo unachomaanisha hata ambao walifaulu tangu matokeo ya kwanza nao ni vilaza? Manake kwnye title umeandika form 'five mwaka huu ni vichwa maji' dizaini kama umekurupuka mkuu, next time fikiri kwanza kabla ya kuropoka ,ila siyo mbaya na ww umetekeleza haki yako ya kikatiba...
  3. A

    Matokeo mapya kidato cha nne 2012 kutangazwa kesho jumatatu

    Sio wote waliofaulishwa mkuu, sababu kuna mtu unakuta alikuwa ana div iv ya 26, xaxa akipata div iii ya 24 unafikiri kabebwa huyo?
  4. A

    Xbox one mpinzani wa playstation 4

    Haya ndo shilingi ngapi hayo makolokocho?
  5. A

    Waliofeli kidato cha nne waula, ufaulu sasa waongezeka

    Teh teh tunashukuru sana serikali yetu tukufu, tunaomba hao wanafunzi wakifika form six muwabebe tena!
  6. A

    Matokeo mapya kidato cha nne 2012 kutangazwa kesho jumatatu

    Hamna ki2 kama hicho coz kesho wanatoa bajeti yao ya elimu so hawawezi kuchanganya mambo hayo yote kwa siku moja.
  7. A

    Ukimwi ni nouma, unaweza ukafa kwa hofu.

    Dah ni kweli kabisa uyasemayo mkuu, shukrani kwa ushauri wa bure.
  8. A

    Ukimwi ni nouma, unaweza ukafa kwa hofu.

    siku hizi tunawahi kubalehee.
  9. A

    Ukimwi ni nouma, unaweza ukafa kwa hofu.

    yah but ni true story!
  10. A

    Ukimwi ni nouma, unaweza ukafa kwa hofu.

    Ni kweli kabisa ndugu yangu.
  11. A

    Ukimwi ni nouma, unaweza ukafa kwa hofu.

    dah yan we acha kabisa mkuu!
  12. A

    Ukimwi ni nouma, unaweza ukafa kwa hofu.

    Nishajitambua ndugu yangu.
  13. A

    Ukimwi ni nouma, unaweza ukafa kwa hofu.

    Mimi ni kijana muhitimu wa kidato cha nne, kiukweli tangu nipo shule, kubadili wasichana (playboy) ilikuwa tabia yangu, sikujali ki2, na kwa kuwa nilikuwa mzuri darasani wasichana hawakuacha kujipendekeza, na mimi sikufanya hiyana, niliwala kisawasawa, mwaka jana wakati tunasubiria majibu ya...
  14. A

    Msaada wa mawazo wakuu.

    Shukrani kwa mawazo yako mkuu, kuna jamaa ndo walinambia hyo inshu kuwa ukibuma math, hautatakiwa kusoma masomo ya science A-Level, by da way pamoja sana mkuu!
  15. A

    Msaada wa mawazo wakuu.

    Hahaha mkuu sipo huko, ninachowaza kma hyo F ya math haitabadilika, je nitaweza kusoma combs za science? Shukran kwa ushaur wako!
  16. A

    Msaada wa mawazo wakuu.

    Salaam wakuu, mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012, matokeo yangu ya mwanzo nilipata div III ya 23 phy-C chem-C bios-B, Na nlikuwa nampango wa kwenda kuchukua Comb ya PCB ,A-level, tatizo math nlilamba F totaly na sijui kma itabadilika hata wakfanya standrzation, Na nasikia kama umepata...
  17. A

    Matokeo kidato cha nne 2013

    Jamani mbona mnamzingua kijana huyo, presha ndo inamsumbua xo acheni kutema pumba kama huna cha kujibu, piga kimya.
  18. A

    Ubovu wa combination mpya ya CBM

    Kwahiyo jomba, inamaana wanaochukua CBG, nao hawahitajiki muhimbili???
  19. A

    Opera mini mpya inafail kuconnect kwenye internet ya simu yangu.

    Habari wanaJF ,Kwa wale wanaofaham, natumia simu ya nokia 2330c 2B, kwa internet tatizo ni kwamba, opera mini niliyokuwa natumia inasumbua sana hususan katika kuapload pictures facebook, na mitandao mengine ya kijamii, nahisi hii opera ni old version, tatizo limekuja baada ya kudownload opera...
Back
Top Bottom