Search results

  1. B

    Dr. Mwakyembe na Powerpool: Kuna mgongano wa maslahi na Dowans/Richmond?

    wazee nimerudi baada ya kimya kwa muda, unajua tena mahangaiko ya dunia hii. kuhusu hoja ya hii kinachoangaliwa hapa si kingine bali watanzania tunataka kuona sheria na kanuni za manunuzi ya umma inafuatwa kikamilifu na kwa umakini mkubwa.
  2. B

    Hapa kikwete katupiga bao!

    serikali ya chama tawala siku zozote inasimamia vyema ilani ya uchaguzi isipokuwa watu binafsi kwa ubinfsi wao wanafanya makosa wanakosa maadili wasiona vyema wanajumuisha chama na mtu binafs . hata jambazi anaweza kuwa na kadi ya ccm lakini ccm si jambazi!!!! tuelewe hili. Rais anafanya...
  3. B

    Who influenced Nyerere: His Ujamaa Philosophy and Azimio Principles?

    come back and lets share constructive ideas and develop our country and better future for our nation.
  4. B

    DC Bukoba aamuru walimu wachapwe mboko!

    Kitendo cha kumfukuza kazi mkuu huyu wa wilaya ni kitendo cha uonevu. Mkuu huyu aliamua kuwatandika viboko kwa nia njema kabisa ya kuwatisha walimu ili wasirudie tena tabia ya kuchelewa na kutowapa huduma muhimu sana ya elimu bora watoto ambao wamekuwa wakiikosa kwa muda mrefu kutokana na tabia...
  5. B

    Uwanja Mpya Taifa na Jina Jipya

    ilani ya chama tawala imesimamiwa vyema kwa hili.
  6. B

    Crazy things you did in secondary school

    ilikuwa saa mbili asubuhi mwaka 1989 pale Tambaza boys, basi likatushusha muhimbili enzi hizo UDA, Tukawa kundi kubwa tunaelekea shule, kufika viwanja vya muhimbili walimu na wanafunzi wengine wako mstalini, mwalimu mmoja mnoko pamoja s.master wakatusimamisha wote wakitutenganisha na waliowahi...
  7. B

    Zombe kuachiwa...

    Wakuu ksei ipo mahakamani,na mahakam ni moja ya miimili ya dola Tanzania, ni chombo huru katika utendaji wake na maamuzi. Na mahakama inafuata na kutekeleza kanuni,sheria na taratibu za nchi yetu kwa dhana ya kutekeleza utawala bora na utawala wa sheria ambapo Tanzania iko juu katika...
  8. B

    Naibu spika aahirisha kikao cha Bunge saa 11 leo jioni.

    if this is the case this is serious now!? hainiingii akili mawaziri ambao ni wabunge na wapo chini ya bunge wanapokuwa kwenye shughuli za bunge the watendaji wakuu wa bunge hawajui walipo?! na kwanini kama walikuwa na ermengecy za kazi ambazo ni muhimu inawezekana wote ikawa siku moja, kuna...
  9. B

    You wish You Weren't Married?

    marriage is how you take it. no training on it. but to me i enjoying being married, more respect in the society and things like that, i can't opt to be single anymore though wife akinitibua some feelings of getting out are lingering in my mind
  10. B

    Dr. Slaa Akamatwe, ahojiwe na ikiwezekana achukuliwe hatua

    hivi nini maana ya serikali wakuu?
  11. B

    Naibu spika aahirisha kikao cha Bunge saa 11 leo jioni.

    sababu ulipelekea waahirishi bunge inajulikana? lets know the reassons then we can judge the person respectively
  12. B

    Bongo Tambarare?

    kwa hili mkuu hakuna haja ya pesa ya kigeni,uzembe wa mamlaka husika ,wanapeana tenda za kusafisha jiji kiujanjaujanja .kampuni haina uwezo wowote ule matokeo yake ndio hay sasa, kututia aibu,kuaribu mazingira kwa hewa isiyo salama, maradhi kibao ya mlipuko. utakuta kampuni iliyopewa tenda...
  13. B

    Wabunge Dr. Slaa na Dr. Tarab wafanyiwa umafia!

    kwahiyoo unahalalisha mauaji ya albino,ili kila mbunge apate macho ya albino. Naomba ufute kauli yako hiyo na ilaaniwa sana, tuko katika kutokomeza mauaji ya ndgu zetu walemavu wa ngozi wewe unataka tuwapatie wabunge macho ya ndugu zetu hao ili waone vizuri?!!!!! waombe radhi maalbino wote...
  14. B

    Bongo Tambarare?

    hii inatia aibu nchi yetu,mamlaka zinazohusika ziwajibishwa kwa ili
  15. B

    Huu tuuite Ufisadi2

    hasa baadhi ya vijana wakija toka ulaya, ndio inakuwa hivyo pombe .totozi kwa kwenda mbele. tubadilike kwa kweli kwa haya tuwe na kiasi
  16. B

    Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

    alisema pinda mwana wa mizengo mkaona anatetea uovu,mh.waziri mkuu alisema Dr,Slaa umewahi sana kuileta hii issue,ungesubiri mambo yaisha kwanza then tungehukumu vyema sasa kama kweli imekufa sijui waliokurupuka itakuwaje? tusubiri tuone? I always emphasize that speed in worung direction...
  17. B

    Who influenced Nyerere: His Ujamaa Philosophy and Azimio Principles?

    kweli kabisa ni maneno mazito ni wakati muafaka kufikiria kwa makini na kuyafanyia kazi.
  18. B

    Who influenced Nyerere: His Ujamaa Philosophy and Azimio Principles?

    mwachine mzee watu apumzike. tujaribu kuendeleza utamaduni wetu wa kutokuwachonoa viongozi wakuu yaani state leaders wanapomaliza muda wao,hii ndio ya Tanzania iliyojijengea tangu zamani. thx
Back
Top Bottom