Search results

  1. Mahebe

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri la kwanza katika awamu ya tano yautawala wake Uteuzi huo ni kama ifuatavyo...
  2. Mahebe

    Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Muhimbili

    Kamuulize Mrema wa TANROADS aling'olewa siku mbili tu alipoingia ofsini.
  3. Mahebe

    Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    Magufuli amewapiga marufuku Makatibu Wakuu wa Serikali kusafriri nje ya nchi akiwataka wakae wafanye kazi na hasa kuokoa fedha kiasi kikubwa kinatumika ktk sfari za nje. Vile vile ameelekeza mabalozi walioko nje waiwakilishe serikali lakini kama kuna ulazima itabidi kibali kitolewe na Katibu...
  4. Mahebe

    Chenge aandaa chakula Bariadi, Magufuli akacha kukila

    Mdau keshasema, alienda kula kwa Deo Filipokunjombe, haikuishia hapo tu, hata alilala nyumbani kwa Mbunge huyo.
  5. Mahebe

    Chenge aandaa chakula Bariadi, Magufuli akacha kukila

    Mbulula mkubwa, Bariadi alipita jana mchana tulikuwepo kama ni picha imekosewa hapo nitakuelewa.
  6. Mahebe

    Nani atakuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa endapo Dr. Magufuli atashindwa Urais wa Tanzania?

    Thread zingine zinasikitisha sana. Huna kingine cha kufanya?
  7. Mahebe

    Magufuli alia kwa wananchi kuikataa CCM aomba msaada kwa maofisa wa CCM

    Ukiangalia video ya youtube na kilichoandikwa na muanzisha mada, ni irrelevance - haviendani, labda mtu kaamua tu kuandika kwa kujisikia.
  8. Mahebe

    Elections 2015 Dr. John Magufuli halisi usiyemjua na yule unayemjua kupitia CCM! Ni HATARI kwa Taifa!

    Hili boga maji kabisa, nani kakwamhia Magufuli aliwahi kuwa Waziri kusimamia TPA? au unaandika tu!
  9. Mahebe

    Wizara ya Ujenzi yamuaga Rais Kikwete rasmi, yamzawadia trekta

    Kikwete na Magufuli Leo pale Mnazi mmoja wamejumuika ambapo wahandisi na Wakandarasi wamemuaga Raisi Kikwete.
  10. Mahebe

    Je, Raila Odinga atamsaidia kampeni John Pombe Magufuli?

    Nani atakuwa Rais ili tukujibu vizuri pia.
  11. Mahebe

    Shigongo unajidhalilisha sana mdogo wangu

    dilemma Shigongo fanya kazi kwa unachokiamini achana na wahuni wa mitandao, wasikupangie uhuru wa kutoa mawazo yako.
  12. Mahebe

    Ni mmoja wao Dkt. Magufuli, Membe na jaji Ramadhani

    Kwa Magufuli, nalala usingizi mnonooo!
  13. Mahebe

    Dkt. Magufuli akagua ujenzi nyumba za Serikali

    Sumaye aliwakata ngebe wapuliza zumari!
  14. Mahebe

    Dkt. Magufuli akagua ujenzi nyumba za Serikali

    Hakuna cha dalali ni TBA wataziuza
  15. Mahebe

    Dkt. Magufuli akagua ujenzi nyumba za Serikali

    Sera ni kujenga na kuwauzia wafanyakazi wa serikali kwa nini zisiuzwe.
  16. Mahebe

    Dkt. Magufuli akagua ujenzi nyumba za Serikali

    Ubongo umeshirikishwa, msamehe alipokosea. Ila kazi ni nzuri.
  17. Mahebe

    Dkt. Magufuli akagua ujenzi nyumba za Serikali

    Huyu siyo mwizi, mwizi maisha yake ni jela
  18. Mahebe

    Edward Lowassa atoa ya moyoni, awataka wanaomtuhumu walete ushahidi

    CCM kazi mnayo kitendo cha M/kiti CCM mkoa wa Geita kutoa kauli kavu pindi wakimsindiza Ndugu Edward Lowassa alipokuwa anarudisha fomu kuwa " Hakatwi Mtu Hapa " ni dalili tosha Chama kimekosa maadili, kauli hiyo ni ya mabavu kushinikiza maamuzi ya vikao halali. lakini pia wasiwasi wote huo wa...
  19. Mahebe

    CCM ivunjike tu

    Na ivunjike tu! by Mizengo Pinda.
Back
Top Bottom