Search results

  1. B

    Employment Opportunities From ''WORLD VISION''

    Bora wameweka sanduku la posta
  2. B

    Msaada plz, mwenye taarifa LAPF - COMPLIANCE OFFICERS posts, wameshaita interview?

    inaonekana hujui unachosema,lapf walitoa nafasi 6 za compliance officers-kama hujui basi
  3. B

    Masogange awataja wamiliki wa mzigo aliokamatwa nao SA

    Habari zilizopatikana kutoka afrika kusini,zilizosemwa na agnes masogange,zinawataja wafuatao kuwa vigogo wa kubebesha watu madawa ya kulevya: 1. Juma Pinto-mmiliki wa jambo leo 2.Kinjekitile Ngombale Mwiru-mtoto wa kada...
  4. B

    Masogange awataja wamiliki wa mzigo aliokamatwa nao SA

    Habari zilizopatikana kutoka afrika kusini,zilizosemwa na agnes masogange,zinawataja wafuatao kuwa vigogo wa kubebesha watu madawa ya kulevya: 1. Juma Pinto-mmiliki wa jambo leo 2.Kinjekitile Ngombale Mwiru-mtoto wa kada...
  5. B

    Msaada plz, mwenye taarifa LAPF - COMPLIANCE OFFICERS posts, wameshaita interview?

    Huwezi kushangaa ukikuta tayar nafasi zishachukuliwa
  6. B

    Career Opportunities World Vision Tanzania-192 Positions:

    Yaani kama we ni muislam hata usipoteze muda,huwa wanaangalia majina ya muombaje na siku ya interview wataomba vyeti vya ubatizo,komunio,kipaimara au vyeti vya tycs,casfeta--wanawapa uzito wa roman catholic
  7. B

    Terios-ina uwezo kusafiri mwendo mrefu mtwara-- musoma?

    Jamii forum imekuwa msaada mkubwa sana,ngoja nijiandae kulipia hii terios niwe natinga nayo mpaka kijijini kwetu
  8. B

    Terios-ina uwezo kusafiri mwendo mrefu mtwara-- musoma?

    ni mara mbili kwa mwaka likizo,nakwenda na kurudi
  9. B

    Terios-ina uwezo kusafiri mwendo mrefu mtwara-- musoma?

    Nimepata gari aina ya terios jamaa ananiuzia,ina mwaka mmoja tangu ainunue na ameniuzia kwa milioni 6,napenda kuuliza kwa wafahamuo ubora wa gari hizi,binafsi ninategemea kuwa naitumia kwenda likizo nyumbani musoma kutoka hapa mtwara--naomba mnishauri
  10. B

    Azzan: Nitajiuzulu ikibainika nauza dawa za kulevya

    Kujiuzuru haitoshi-ni sheria iseme
  11. B

    Umewahi kutafuta kazi ukakutana na kitu kama hiki???

    Umejieleza vizuri sana,ningekuwa mwajiri ningekutafuta
  12. B

    Wassira: Atibua mitandao Urais 2015

    Kanda ya ziwa lipi unakosema wasira ana nguvu?
  13. B

    Chuo cha kilimo cha ilonga

    Ni pm namba yako nikupigie nikueleze mambo yote ya pale...nakifahamu sana hiki chuo kipo morogoro
  14. B

    Wananchi wa DSM ni waoga wa kufanya mageuzi

    Mijitu ya dar hujifanya iko bize ,wakati maisha yanawapiga bao
  15. B

    CHAMA MAKINI HUKUBALI KUKOSOLEWA( CCM v CDM)

    Fafanua tafadhali
  16. B

    CHAMA MAKINI HUKUBALI KUKOSOLEWA( CCM v CDM)

    Kimsingi ili jambo lolote lifanikiwe ni lazima ukubali kukosolewa,maana kukosolewa hujenga uwezo mpya wa kubadili pale panapolalamikiwa na kuleta muonekano mpya,vilevile unapokubali kukosolewa unaweza kuona taswira ya muonekano wako mbele ya hadhira,: Hoja yangu ni kutoa masikitiko makubwa kwa...
  17. B

    CHADEMA: Anguko kanda ya ziwa mashariki

    kwa namna hii ya kutulazimisha kusifu chadema hata kama wanafanya madudu basi mimi nitakihama chama hiki!
  18. B

    CHADEMA: Anguko kanda ya ziwa mashariki

    wameunda kanda ya ziwa mashariki,mkoa wa shinyanga,simiyu na musoma,wakatangaza nafasi ya katibu wa kanda,mratibu na dreva wa kanda kwa ajili ya M4C wakasema lazima wawe wakazi wa maeneo hayo wonderful enough wachaga walikuwa washapewa nafasi zamaniii,ndo maana kanda hii imekufa kabisa
Back
Top Bottom