Search results

  1. GP

    Sam Mahela leo dakika 45 umeshindwa kabisa kuongoza kipindi

    Yupo ikulu ni mwandishi wa habari ikulu. Jikombe Ukombolewe.
  2. GP

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kuchi unawauzaje wa umri wa wiki moja?
  3. GP

    Kuna uhusiano gani wa CC za gari na ulaji mafuta?

    Mkuu naomba kuuliza, je hiyo TURBO inaweza "kufungwa" kwenye gari yangu Mark II bila shida??
  4. GP

    BMW Series 1, 3, 5

    Hivi mkuu nimeona umegusia jamaa anunue M-Sport model, what is so special about this model? Ya kawaida na hii m-sport model ni nini??
  5. GP

    Msaada: Ipi bora kati ya samsung na sony home theater

    Hivi wapwa mnaongelea SAMSUNG au SUMSUNG?? Msisahau kuna SINGSUNG pia :D
  6. GP

    Wataalam wa Ujenzi: Naomba Ushauri Paa langu linavuja

    Baada ya mvua kubwa kuunguruma juzi jijini dar, kibanda changu nilichoozeka bati ya "msouth" kina vuja sana, (nafikiri mafundi walifanya mchezo mchafu kujifunzia kwenye paa langu wakati wa kuezeka). kibanda changu nimeezeka lakini bado sijakipiga dari, hivyo naomba wajuvi wa mambo ya ujenzi...
  7. GP

    Wekeza katika miti ya mbao uwe milionea kwa muda mfupi

    Watu wengi hudhani uwekezaji wa mashamba ya miti unalipa kirahisi, sio kweli. Ni kazi ngumu na risk kubwa ni MOTO, yaani omba moto usiingie kwenye shamba lako la miti maana utakufa kwa presha ile miti ya pines inawaka kama imetiwa petroli.
  8. GP

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Mkuu MalafyaleP naomba kuulizwa swali moja, kwamfano ninafuga shambani na mteja anataka kununua nguruwe kutoka kwenye zizi wakiwa wazima kwa ajili ya kupeleka machinjioni, je gharama ya nguruwe unaipima namna gani, kwa makadirio tu kwa kila nguruwe, ama kwa flat rate, ama kwa liveweight? Na...
  9. GP

    Msaada wa New Whatsapp Version

    Mkuu una tatizo kama langu, na mimi napata ujumbe huo huo Mkuu mi natumia iPad Air, niliichakachua kwasababu iPad haisupport whatsap, lakini kila nikijaribu ujanja niliotumia kuchakachua inagoma. Vipi una maujanja yoyote ambayo unafahamu mkuu?
  10. GP

    Nauza mayai ya kuku wa kienyeji

    AHMED KULHAJI, Mkuu hayo mayai yako ya 'kienyeji' yametagwa na kuku wa kienyeji asili au chotara??
  11. GP

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Vipi mayai ya kienyeji ya kula tu huitaji??
  12. GP

    CCM wanapenda namba lakini hawajui hesabu

    Great thinker!
  13. GP

    Bei za Vifaa vya ujenzi wa nyumba

    Mkuu naona umevitundika hapo kwenye avatar yako, naomba tafadhali unipe mchanganuo wa vifaa na gharama ya ufundi wa plumbinh, kibanda changu kipo katika hatua za kuingiza maji ndani
  14. GP

    Vifaa vya ujenzi

  15. GP

    Hali Ya Askofu Gwajima Kwa Sasa

    Bora mkuu, Kigwajima hakina adabu kabisa, bora Kipigwe Tu mpaka kife nyambaaaf
  16. GP

    Magari tunayonunua ni yale yaliyokwishatumika na Wajapani

    Watu wengine kwa ubishi wa vijiweni hamjambo, nakwambia gari tumeliona na ZERO point ZERO kilometa mnabishabisha ovyo ovyo mmekalia google google, mie nimeliona kwa macho nyie mliyaona google (inamaana google mnaiamini kuliko akili zenu). Basi ni sawa
  17. GP

    Magari tunayonunua ni yale yaliyokwishatumika na Wajapani

    Mkuu testing hazifanywi kwa gari zooote kila moja, isipokua inafanyika kwa sampling ya kila production batch, na kumbuka gari inatengenezwa kwa mitambo sio mkono wa mwanadamu zero kilometa zipo mkuu hata ukienda DT Dobie au CFAO unapata! Ukitaka gari ya 0 kilometa basi haitatembezwa barabarani...
  18. GP

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Mkuu Amoeba tunaomba uje utupe ilimu zaidi ya mradi huu
  19. GP

    Kushirikiana shambani

    Ndugu yangu miaka yote hiyo umekomaa kupanda na kutunza miti leo kuvuna peke yako imekushinda? Aloo.
  20. GP

    Mayai ya kware yanapatikana kwa wingi sasa

    Sawa mkuu, kwahiyo nikitaka kumla pamoja na familia yangu mezani itabidi kila mwana familia ale kware wake peke yake! Hahahahaaa kware kumbe ni kitoweo cha kitajiri kumbe.
Back
Top Bottom