Bado nasisitiza Mungu na dini ni vitu viwili tofauti. Tulianza kumuabudu Mungu kabla hata dini hazijaja. Wanyakyusa Mungu wanamwita Kyala, Wasukuma wanamwita Seba, Wanyihaa wanamwita Mulungu.
Wazee wetu walimwomba Mungu naye akawajibu kabla hata dini hazijaja.
Dini zimeleta uongo mwingi na...
Mmeonjana tayari?
Usijali. Sikiliza moyo wako mama. Moyo ukigoma, usiulazimishe.
Kama jamaa amesha onja, ingia kwenye maombi ya toba na kujitakasa. Mungu wetu aliye mwingi wa rehema atakusamehe, nawe utapata amani ya moyo wako.
Crazy GK- Kosa langu
Mwana FA- Wakati umelala
Sugu- Hayakuwa mapenzi
Uswahilini Matola- Kosa la Marehemu
Jay Mo- Mawazo
Adili Chapakazi- Peke yangu
Fid Q- Sihitaji Marafiki
Solo Thang- Homa ya Dunia
Kikosi cha Mizinga- Tunasonga
Juma Nature- Jinsi kijana
Mungu ni asili, yeye ndiyo chanzo cha vyote vinavyoonekana na visivyo onekana.
Ili Mungu akure maarifa, hana haja ya kukuandikia kiatabu.
Jiulize maarifa makubwa waliyonayo wanyama mbalimbali, wameyasoma kwenye kitabu gani kitakatifu?
Mungu yupo, hasomi, haandiki, wala hana dini. Dini ni...
Anaweza hata kukusingizia unaficha bunduki na meno ya tembo ndani, alipoona uhalifu wako ndipo ukampiga na kuvihamisha hivyo vitu huku ukimtisha kwamba akifichua siri ndio mwisho wa maisha yake!
Wanajua sheria, wana uzoefu na viapo. Kwanini wanakubali kanisani kuapa kwamba tutaishi pamoja kwenye shida na raha, nitakuwa mtiifu hadi kifo kitutenganishe?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.