Search results

  1. G

    Azam ya bhakresa na nembo ovyo

    Mimi ni mkrito na ninanunua bidhaa za azam sana na nitaendelea kununua. Kama imeandikwa kiarabu haijamaanisha ni udini, hata bidhaa za kichina zina maandishi ya kichina na tunanunua. Kiarabu ni lugha kama ilivyo kiswahili na zinginezo. Miaka yote tumekua tukitumia bidhaa toka mataifa yote bila...
  2. G

    Wake za watu

    Nadhani waume za watu ni zaidi.
  3. G

    Wasichana IFM Dar wanajiuza laivu...

    Sasa unashangaa nini? we inaonekana mgeni mjini. unapowaona hao masista duu wanang'aa unashoboka ukidhani wa maana? hiyo ni kawaida sana wala si ajabu kwa mzoefu wa town. ndo ujue sasa uache kushoboka.
  4. G

    Kupenda kupita mipaka (SINGS & SYMPTOMS)

    Huo utumwa, na ni rahisi kuumia sana. Siwezi. 50/50 ndo mpango, wote tupendane sawa.
  5. G

    Dr Slaa aporomosha matusi kuhusu suala la njama la kumuua Zitto

    Story haina ukweli, we uteke kumuua mtu uanze kuonyesha sumu? unajipenda? nnachokiona ni watu wanaojaribu kuichafua chadema kwa kila jinsi. na kwa hakika watawapata wa kuwadanganya. wasiojua kusoma kati ya mstari.
  6. G

    Dating your best friend, how good/bad can it be?

    I dated my best friend, tukaachana, urafiki nao ukaisha. ni nzuri kama mahusiano hayatovunjika, but kama urafiki wenu ni wa thamani kubwa, best stay that way.
  7. G

    naomba ushauri

    Sijapenda hivyo vifupisho ulivyotumia, vinakosesha hamu ya kusoma mada. je, ulikuwa na haraka sana?mbina nafasi ya kuandika ni kubwa?
  8. G

    mhh nimechoka wala sijafika mbali?

    Watu wa aina yako huwa siwapendi, Kwanini usimuambie mtu ukweli? kama distance inakushinda unasema, au humpendi tena,unasema. Si kumfanyia action wakati mwenzako anakupenda. Action ni nzuri kwa mambo mengine but si hayo. its best kufunguka,
Back
Top Bottom