Search results

  1. kivava

    Rais Shein amwakilisha Rais Magufuli kwenye kongamano la kimataifa la Blue Economy linalofanyika Kenya

    Zaidi ya Dreamliner,SGR, na Stieglers Gorge hana la kuzungumzia.
  2. kivava

    Rais Magufuli ni Nyerere na Nkrumah mpya

    Raslimali bila ujuzi na elimu ni kazi bure. Venezuela wana mafuta mengi sana lakini leo theluthi ya raia wake wamekimbia nchi yao kutokana na umaskini uliokithiri. Raslimali za Tanzania zinatusaidia nini wakati bajeti ni trillion 33 makusanyo ya TRA ni wastani wa trillion 17.5?
  3. kivava

    Rais Magufuli ni Nyerere na Nkrumah mpya

    Kwa nini mtu anachafua majina ya Nyerere na Nkrumah?
  4. kivava

    Kwa wimbi hili la Watanganyika kuhamia Zanzibar, tujiandae wazanzibar kupoteza utambulisho wetu ndani ya miaka kumi ijayo

    Waaulize CCM na Shein wao huu muungano mnalazimishwa? Kama koti linabana si mlivue kama alivyosema marehemu Karume
  5. kivava

    UDSM: Rais Magufuli kuzindua Maktaba ya kisasa,kuzungumza na Taifa

    Zaidi ya ndege, SGR, korosho na Stieglers Gorge hana lolote la ziada atakalozungumza. Zero
  6. kivava

    Watanzania wana uelewa mdogo kuhusu Pension Fund, 25% ni maamuzi sahihi

    Kusema mtu ataishi miaka mingi hivyo atalipwa muda mrefu zaidi ni ujuha uliopitiliza.Kanuni zinasema ni kwa miaka kumi na mbili tuu,je akiishi zaidi ya hapo?
  7. kivava

    Hii sasa ni pupa, ni papara

    Zinakuja Airbus 200 mbili ili kuzipa nguvu Dreamliner na Bombardier katika safari zake za Dar -KIA- MWANZA. CRIPES nani katuroga?
  8. kivava

    Wafanyakazi wa Sahara Media Group wagoma wakidai stahiki zao

    Kwa kuwa siku hizi Kichaa anagawa hela atakavyo basi na ampe swahiba wake aliyechangia sana "ushindi"🤔 wake msaada
  9. kivava

    Picha:Kangi Lugola akiwa na viongozi waandamizi wa Zanzibar

    Utadhani kuna mashindano ya nani hajui kuvaa vizuri zaidi.
  10. kivava

    Hivi kwanini Bakwata mnatumika sana na CCM?

    Bakwata ilianzishwa na serikali na kwa sasa ni kama jumuia ya CCM sawa na UWT au UVCCM. Sio kwamba Waislamu wanaipenda la hash's bali nguvu kubwa ya dola inayotumika kulinda. Masheikh wote waliojaribu kuipinga walipata matatizo makubwa ikiwemo shs Takadir kufukuzwa Dar es salaam kuwa sio raia na...
  11. kivava

    Military Politics: Is Magufuli in danger?

    Teknolojia ya mambo ya kijeshi inabadilika kila kuacha hivyo wanajeshi wetu wanatakiwa wawe mafunzoni na mazoezini kila uchao. Sio kubeba na kubangua korosho huku ikiuwa sekta binafsi Hata yanayotufika huko Beni DRC,tungeweza kuepukwa nao kama mbinu na teknolojia mpya ingekua ndio kazi kubwa ya...
  12. kivava

    Watengenezaji (repairs) wote iwe wa radio, tv, simu,computer na wa vifaa vya mawasiliano lazima wawe na leseni toka TCRA

    Nasikiliza Magic FM kipindi cha Sundowner jioni hii mara wanarusha tamshi la TCRA Kuanzia sasa wauzaji na watengenezaji (repairs) wote iwe wa radio,tv,simu,computer nk wa vifaa vya mawasiliano lazima pamoja na leseni ya biashara lazima wawe pia na leseni toka kwao. Haijalishi ni Machinga,au...
  13. kivava

    Je, Tanzania ni masikini hivi kuendelea kupokea mikopo na misaada yenye masharti kinyume cha uhuru wetu?, au tukatae kama Nyerere?.

    Paschal Kuambiwa mtoto aliyepata mimba shule ni asi adhibiwe milele ni kudhalilishwa? Afanalek watu waliowalawiti watoto wa kiume wamesamehewa na kufanyia dhifa Ikulu ni sawa lakini mtoto aliyetelezeshwa sio sawa kumsamehe Cattle hearder mentality Kwenye nchi ambayo bajeti ni trillion 33 ambayo...
  14. kivava

    Ni miezi minne sasa tangu sindano yenye damu yenye maambukizi ya VVU inichome. ARV is not a picnic jamani

    colin_morgan Mkuu dada yangu anatumia mwaka wa 22 sasa anasema baada ya muda hizo side effects zinapotea. Nimesoma kwenye jarida la kitabibu la Lancet kuwa kuna new generation ya ARV's wanaitia sokoni karibuni ya kidonge kimoja kwa siku na side effects kidogo sana.
  15. kivava

    Nimekuta mahali wanamjadili, wanasema "he is not in the right frame of mind to lead a country"

    Unsophisticated village cattle header,after all he has admitted he is a frustrated mad man
  16. kivava

    Mzee Mboro na kiu yake kutoka kwa Nanyaro

    Kongole👏 Ndio comment ya kwanza inayojadili mada. Wajerumani walichukua mafuvu mengi toka Tanganyika,Namibia na Cameron kufanyia utafiti wa kisayansi kuthibitisha watu weusi ni wa daraja la chini.Tafiti hizo ziltaka kuonyesha ubongo wa weusi ni mdogo usio na uwezo kama wa kwao. Tafiti hizo...
  17. kivava

    Benki ya Dunia: Masharti ya Mkopo tuliotoa ni kutolewa elimu kwa wasichana wote; Sheria ya Takwimu iangaliwe upya...

    Jiwe ni so ignorant and unsophisticated katika masuala na mahusiano ya kimataifa. Ujima wake unaonekana pale anapoomba 1) S Africa imuombee mikopo ya kujenga reli 2)Kumuomba Mfalme wa Morocco atujeengee uwanja wa michezo 3)Kumuomba Kagame wataalamu wa IT Kumuomba W/Mkuu wa Ethiopia utaalamu wa...
  18. kivava

    Mpango wa kuichafua Serikali ya awamu ya tano wafichuka

    Nini walichosema gazeti la Economist ni uongo? Mwambie aache kujiona yeye pekee yake ni jogoo na sisi wengine ni kuku jike tuu.
Back
Top Bottom