Search results

  1. manning

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Pata hii habari mpya , adui nambamoja wa Russia inasemekana kauwawa. 💢 Budanov dead? Ukraine loses multiple high ranking officers in the recent major strike on the decision making center, according to reports. Information has been received that during missile strikes the Russians managed to...
  2. manning

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    😂😂😂Mwaka huu tutaona mengi. Ukraine wameanza kutumia nguvu ya Giza (uchawi) kutungua mabomu ya Urusi . Meanwhile, in Odessa, the use of the latest air defense system was recorded - a combat Ukrainian witch who is trying to shoot down Russian missiles with magical passes.
  3. manning

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Maoni ya Wamarekani wanapendelea Putin kuwa rais wao kuliko Biden. U.S. Voter Favors Putin Over Biden in Hypothetical Match-Up "For our country? That's a hard question. Probably it's Putin." "I don't think Putin is as bad as people want you to think." "I would. Over Biden? Hellja!"...
  4. manning

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wamarekani wakikuchokani shida. Ona wanayoonyesha kwenye mitandao yao kuhusu Ukraine. Mkuu KIPANYA aione hii 😂😂😂⁉️
  5. manning

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mzee Putin karudishwa ofsini usiku huu sijui Kuna nini , kesho kaeni chonjo Kuna jambo kubwa linatarajiwa A number of telegram channels reported that on Sunday at 22.45 Putin urgently arrived in the Kremlin
  6. manning

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Waukreani wenyewe wakiri . Kiev Post is noting the target was a SBU office and "the missiles were aimed at the premises where high-ranking SBU officials are located." Still a mystery as to what was used but it certainly caught Ukraine and NATO off guard given the lack of warning. #Source...
  7. manning

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Waturkey wamethibitisha kuwa Urusi imefanya kazi kamilifu leo. 🇷🇺🇺🇦 Turkish media write that today, as a result of a sudden strike by the Russian Armed Forces on Kiev, the buildings of the Security Service of Ukraine and the Main Intelligence Directorate in Kiev, as well as the headquarters of...
  8. manning

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mrusi huwa Hana lelemama. Leo Kiv muda si mrefu uliopita zimeshambuliwa sehemu muhimu ukiwemo uwanja wa ndege ambapo patriot mbili za mmarekani zimelambwa. Pia ameshambulia makao makuu ya SBU na GUR na mabosi wake hawaonekani popote. Usikae mbali taarifa kamili inakuja. The SBU in Kyiv...
  9. manning

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Leo kiev inatwangwa kama ngoma. Ndege zaidi ya 12 za Tu 95 zinafanya mambo tangu alfajiri na 31K nne wazee wa kinzahal . Waulizeni akina kipanya wamesalimika huko😂😂😂
  10. manning

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ngoma ya Urusi hiyo inayodungua mpaka setilaiti ikifanya mambo , na ina speed ya ajabu.
  11. manning

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu alikoswakoswa ni kama walikuwa wanampa onyo kuwa Hana ulinzi wa kuaminika hawapendi tu kummaliza. Kilichonifurahisha ni kwenda kutafutiwa suruwali na chupi mpya yeye na mgeni wake kwani waliziharibu Kwa kujiharishia😂😂😂
  12. manning

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mmesikia yaliyompata Zelle huko Odesa ? Endeleeni kufuatilia anaweza kuwa katangulia mbeleya haki.
  13. manning

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wabongo bwana. Hii nimeipenda nimeikuta kwenye majukwaa ya Urusi
  14. manning

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Urusi imejaribu kitu kipya The Russian Armed Forces tested the S-500 Prometheus air defense system: they shot down everything they could come up with to test the capabilities of the combat
  15. manning

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Angalia kazi iliyofanywa na wanaume wa Urusi ndani ya siku 28, wamechukua maeneo kama yote tu.
  16. manning

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Jionee mwenyewe upandaji wa ngazi za ndege Putin dhidi ya Biden
  17. manning

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Putin siyo kiumbe wa kawaida anaendesha mpaka ndege za kijeshi za kisasa kabisa TU-160-M
  18. manning

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kumbe wazungu wa west wanawaogopa Warusi kiasi hiki.
  19. manning

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wahindi bwana kwa mikwara , unaweza kudhani ni jeshi Bora kabisa duniani
Back
Top Bottom