Hivi akili hizi watanzania mnazitoa wapi. Hivi kazi ya chama cha Upinzani ni nini? Kazi ya chama cha Upinzani ni kuichokonoa serikali pale wanapoona kuna mapungufu.
Ni haki yao na ndiyo wajibu wao namba moja katika mfumo wa kidemokrasia wa vyama vingi. Tatizo watanznia wengi sio tu kuzaliwa...
Hicho chuo ni confrimed fake na kazi yake ni kuuzia watu sampuli ya Msukuma fake honorary degrees
Rejea hizi links.
https://www.chubmagazine.com/2018/07/28/busted-rogue-college-selling-honorary-doctorate-to-africans-in-london/...
Umeongea kitu cha maana sana mzee. Nimekuwa nikishangaa sana kuhusu hili jambo. Huwezi kumpa mtoto pipi halafu umwambie asilambe hiyo pipi. Lazima kuwepo na KPIs and benchmarks otherwise maelekrxo sijuhi ni ni useless
Kama hufaham kuwa mambo ya kuzimana internet especially twitter yalianza kipindi cha Kampeni mwaka jana chini ya serikali ya dikteta Magu basi achana na hii mada endelea na issue zingine.
Sasa fikiria kwa nini watu wafikirie ni TCRA na si vinginevyo? Upuuzi aliouanza Magu wa kuzimana na mitandao mambo ya giza sana na kuyaacha yanaendelea ndiyo sababu…Hakuna ambaye angewaza hivyo kwenye utawala wa kikwete
Hivi huyu mwamba amebadili gia lini maana kumbukumbu zangu za kipindi cha uchaguzi mwaka jana yeye ndo alikuwa anajaza threads hapa kumponda Magu na kumtetea Lissu? Huyu jamaa kama sio Kigogo mwenyewe sijuhi!!Sio kwa hii U-turn.
Kuna upungufu mkubwa. Rais hafanyi na hawezi kufanya kila kitu yeye kama yeye. Ni sahihi kusema serikali imefanya au kama mnapenda tu ku-tag jina lake basi sema serikali anayoiongoza rais SSH lakini kusema Rais kafanya sio sahihi.
Exactly MODs wako wapi kufuta posts kama hizi za kutunga tunga. Bananga hajaandika wala kuongea hayo mapupu ya Lumumba.
Bananga ajitafakari manake he is a weak link. Why Lumumba wamtumie yeye kusambaza propaganda na watu waamini bila hata kuchukua muda kujiridhisha?
Huu mbona uongo? Bananga hajaandika huu upupu mmejitungia UVCCM huko propaganda za kitoto. Lete uthibitisho kuwa haya maandishi ya Bananga? Account yake ya IG hakuna post kama hiyo. Mimi siungani na siasa na misimamo ya Bananga but I’m not the one to fall for these cheap politics.
Kizazi cha laana CCM tatizo hamna akili sasa hujui kwamba kuna tishio la kuua kutoka kwa mwenyekiti mwenza wenu Kamanda uchwara Siro? Unadhani hilo tishio la kupiga na kudhuru wanaotaka kuandamana kwa amani lisingekuwepo hali ingekuwa hivyo? Tatizo hamna akili au hata kama mnazo lakini mmejazwa...
Mkuu kila nikiingiza FORM FOUR index namba yangu inaniletea “ Incorrect Index Number Format”….Nikienda kwenye advanced search by names kwenye vyuo/taasisi vilivyopo ni vya Tanzania tu hakuna vyuo vya nje.
Advise please? Au system ina cut-off ya miaka kwa waliomaliza zamani kidogo haitambui...
Sukuma gang naona mmechanganyikiwa kisa legacy ya mwendazake imeguswa. Kwani uongo mwendazake alikuwa mkabila wa wazi wazi. Tatizo hampendi kuambiwa ukweli na ukweli ukisemwa kila siku mtakuwa mnachanganyikiwa maana huyo mwendazake wenu alifanya mambo mengi sana ya ovyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.