Search results

  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Nimegugo dalili za zote UKIMWI, ninazo

    Ondosha Hofu wasiwasi utakuuwa
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    Prof. Mbarawa: Treni za SGR ni za mwendo wa kawaida (siyo mwendokasi)

    Mimi huwa siku zote siwaamini wana siasa ni Waongo hata kama angelikuwa ni baba yangu mzazi ni mwana Siasa Nisingelimwamini hata kidogo Walikuw akila siku wanatuambia eti treni ya Mwendo wa kasi kumbe walikuwa wanatuongopea wanatufanya sisi Wananchi kama watoto wa kuwazaa Ahhh kazi kweli...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    Nimegugo dalili za zote UKIMWI, ninazo

    Jioni moja, baba yangu alisema: Mwanangu Ninakufa na hivi karibuni nitaondoka Lakini kabla ya kuaga kwangu mwisho: Nisikilizeni. Na unisikie vizuri Fanya chochote unachotaka kufanya Kuwa na mpango au tembeza kete Lakini jambo moja ni mwiko madhubuti Tafadhali, fuata ushauri wangu Usiwahi google...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    Nimegugo dalili za zote UKIMWI, ninazo

    One evening, my father said: My sonI’m dying and soon I’ll be goneBut before my final farewell:Hear me. And hear me wellDo whatever you want to doHave a plan or roll the diceBut one thing is strictly tabooPlease, follow my adviceNever google your symptomsThat is my only prescriptionYou get a...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    Nimegugo dalili za zote UKIMWI, ninazo

    Kutopima hakusaidii wewe kupona Maradhi yako. Bora kupima ujijuwe unao Huo Ukimwi au hauna na hata kama unao huo ukimwi dawa ya kutibu huo Ugonjwa ipo nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    TANZIA Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu Mtanzania mwezetu Michael a.k.a Mike

    🇿🇦🇿🇦 MZEE BABA🇿🇦🇿🇦 Ndugu watanzania mabaharia watafutaji na wanaharakati....... Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu manzania mwezetu Michael aka Mike...... Mike Tanzania anatokea kinondoni...... Ndugu watanzania mike aliamisha makazi yake kutoka Tanzania na kuelekea...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    TBS: Mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage kutoka Marekani, ni Salama kwa Walaji

    Watoto wetu wa Shule Wakila Maharage ya michele iliyo ongezwa Virutubisho watapata Madhara kama hawa Kuku wa kisasa ona hizo picha hapo juu. Je, kuna madhara yoyote ya kula nyama ya kuku wa kisasa kwa muda mrefu? Madhara yapo mengi kiafya. 1.unapunguza uwezo wako wa kufkiri maana kuku hao...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    TBS: Mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage kutoka Marekani, ni Salama kwa Walaji

    Hao TBS Maboss wao wanakula rushwa tutamkumbuka Hayati Rais Magufuli alivyokuwa akisema kila wakati hataki mchezo na wala Rushwa. Na Rais Magufuli ana waonea huruma Wananchi wake lakini viongozi wetu wengi wao wanajali pesa kuliko Afya za Wananchi Wao. Tutaisoma Namba mpaka Mwisho wa dunia...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    TBS: Mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage kutoka Marekani, ni Salama kwa Walaji

    Fortified foods are foods that have had additional vitamins, minerals or other nutrients added to them. These nutrients are added to help people meet their daily recommended intake of these essential nutrients. However, consuming too much fortified food can have some negative effects on your...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    TBS: Mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage kutoka Marekani, ni Salama kwa Walaji

    Mimi Sikubaliani na uamuzi wa TBS Wameshapewa Pesa na hao walioleta hiyo misaada yenye madhara kwa watoto wetu kwa ajili ya afya zao za baadae kwanza kuna madhara makubwa kabisa kwa hivyo vyakula vilivyo tengenezwa Virutubishi kwa afya ya binadamu Soma hapa chini👇 What are the risks of...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    Shida tunazopata hivi sasa hapa nchini zimesababishwa na mwendazake

    wewe una chuki zako Hayati Rais Wetu Mchapa kazi RIP Magufuli chuki zako hazito kusaidia kitu unazungumza maneno ay pumba . Kidini unapata dhambi na utaingai motoni kwa kumsema maiti Mungu atakutia Motoni na kukuadhibu ahapa hapa duniani kabla ya kifo chako kwa kumsema vibaya Maiti. Ukitaka...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    Can you imagine what Americans and Europeans are teaching their students in school?

    Can you imagine what Americans and Europeans are teaching their students in school? This is Erasmus university in Netherlands. How I wish this will get to the ears of our kids & parents? I wept inside for the future of Africans & the generation unborn when I listen to this.
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ugomvi na ushoga usiwe kigezo cha watoto kukosa mchele wenye virutubisho, tutaonekana majuha

    tetea kampeni za ushoga zinazo endelezwa na Watawala wa nchi za Magharibi kuleta misaada ya pumba ili watu wawe mashoga wasipate kuzaa miaka 50 ijayo.
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ugomvi na ushoga usiwe kigezo cha watoto kukosa mchele wenye virutubisho, tutaonekana majuha

    Pendeleeni kupewa misaada itawaponza sana iko siku wanaotoa misaada nao watataka na nyinyi muwalipe fadhila sijuwi mutawalipa kitu gani? Ukizoea kusaidiwa ipo siku itabidi ulipe fadhila je utalipa kitu gani? jiulize halafu upate jibu.
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ni kitu gani ambacho hauna na wala hakikusumbui kichwa?

    Nikufundishe jinsi ya kuipata Iphone?
Back
Top Bottom