Search results

  1. E

    Hakubanduka kifuani mpaka majogoo!

    Inabid uende ukajuzwe kidogo manake mpaka kuuliza hivyo ina mana hujui maana ya shughuli nzima hiyo
  2. E

    Hakubanduka kifuani mpaka majogoo!

    asiumie mlaliwaji akaumie mlalaji......
  3. E

    Cabinet mpya: JK kakosea wizara 5 nyeti

    UR VERI RITE NDUGU. Majuz walikuwa wanamponda sasa sijui leo wanashangaa nin na kuzungumza nin
  4. E

    Cabinet mpya: JK kakosea wizara 5 nyeti

    INFLATION imeshuka???? heheheeee. hizo ni namba zinazotolewa na wachumi wa JK ili kuficha ukweli wewe bidhaa ipi umeona ishuka?
  5. E

    Kutoka Ikulu: Baraza la Mawaziri kutangazwa J'tano (kesho)

    Hapo umenena vilivyooo...!!!
  6. E

    Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio

    Aah sana! fata lwako
  7. E

    Jamani SIMU yangu..!

    Mmh hapo inazungumziwa simu.........???
  8. E

    Kwani lazima kuoana?

    Hutaoa vip wakati wewe kutwa kucha unakula vya wenzako? Mungu nae anajua kulipa. Ukioa wewe ndo utajua uchungu wa kula vya wenzako. Kama nakuona utakavyokuwa unalia
  9. E

    Hodi, mjasiliamali mali ndani ya nyumba

    Wamaanisha unataka kuwa Mjasiriamali au jinsi ya kupata clean money?
  10. E

    DECI Tanzania: Ilivyoanza, ilipo na hatma yake

    Mmh mimi hii habari naisikia sikia tu, sijapata ful habari km kuna mtu anaielewa au ana andiko lolote anipe wajamen.......
  11. E

    hajielewi

    Nampa pole huyo dada jamani. la msingi kama kweli hataki mambo ya mahakamani amwachie mungu na kumtulia yote hayo mungu hamtupi mja wake. Aamini anaweza hata bila huyo mwanaume. Asahau na kuendelea na maisha tena kwa kasi ya ajabu hadi jamaa ang'ae sharubu.
  12. E

    Amatus Liyumba: Balaa!

    Sidhani kama kuna haja ya kuwajadili hawa. Cha msingi hapa ni kuendelea kuzuia maambukizi. It begins with you...!!!
Back
Top Bottom