Search results

  1. Transman

    Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    Ww na uyo mwenzako nyote mnahitaj msaada
  2. Transman

    Kisa cha Afisa mikopo na laana alopewa na mteja

    Pamoja mkuu
  3. Transman

    Kisa cha Afisa mikopo na laana alopewa na mteja

    Umefungua channel nyengine
  4. Transman

    Iran yaishambulia Israel, sarafu yake yaporomoka kwa kiwango cha ajabu

    We mwel mbumbumbu unaish dunia ipi? Au kuna vikwazo gan vyengine unavyotaka kumpa
  5. Transman

    The Bee Gees: As long as you're having fun, that's the key, Sehemu ya Kwanza

    Nikajua wanatoka sweden! Lkn naupenda msik wao! Kuna wale wa zee wa soft rocky air supply nawapa 100
  6. Transman

    Filamu: Mwili wa mwanamke aliyekufa kwa sumu, umepotea Mochwari

    Mkuu ungeturejeshea tu Kule telegram na lile group movie na story
  7. Transman

    Kisa cha maiti ya Anna Fritz na vifo vya wanaume waliombaka

    Umerejea mkuu tulikosa vibwagizo
  8. Transman

    Mwekezaji yoyote Mhindi, Mchina, Mwarabu tunapalilia umasikini nchini

    Mtoa maada bado una akil za kizaman sana hata wao wa asia wame akeza ulaya kama bado bado una akil za kizanm sana ww! Kwenye migodi mafuta rasil mal mihim zote kawekeza mzungu! Je umefaidika na nn na wazung zaid ya kuchota rasil mali zenu na kukimbia nazo!
  9. Transman

    Vijana wengi wa kiume from Afrika Magharibi wanatokomea ughaibuni

    Wa Tanzania wanaongea sana ila wanakiwango cha juu cha ushamba hata ikitokea kapata nafas kasepa shida anawaona wengine wote wajinga yeye tu ndo mwenye akili
  10. Transman

    Magaidi wa dola la Kiislamu (Islamic State) wakiri kuhusika kwenye shambulizi la kigaidi Urusi ambalo limeua Warusi 62

    Ngoja nichek chanzo cha habar isije kuwa ndo wale wale wazee wa proba
  11. Transman

    Kwanini watu wana chuki na Uislam na Waislam kwa mabaya ya Waarabu?

    Wazungu walitumi nguv nying na kutuaminisha kua ivo muarab ni mtu mbaya! Na sisi tushajenga kwenye akil yetu picha ya muarabu ipo vp
  12. Transman

    Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa

    Ujinga wetu tunatumia mda mwing kujadili vitu vya ovyo!
  13. Transman

    Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa

    Tukishawafaham itasaidia nn au lengo lako lilikuwa nini.?
  14. Transman

    Ujerumani ina mpango wa kuwarudisha kwao wahamiaji waliotoka nchi za Kiislamu

    Kujipendekeza tu hakuna mzungu anaempenda Mu Afrika! Kila cku tunalia ubaguz wa rangi lkn bdo kujipendekeza kwao
  15. Transman

    Sasa nimegundua, tatizo sio uwekezaji wala Mkataba bali ni Waarabu kuwekeza

    Kuna watu wameshaminishwa watu flan ni watu wa aina gn na watu flan ni watu wa aina gan kwaiyo tayr akil yke ishajenga mazingira ayo ni vigum mtu kama uyo kubadilik ki fikra!
Back
Top Bottom