Search results

  1. ndugu yako

    Nini hatma ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) Zanzibar?

    Nini kitajiri baada ya uchguzi kufanyika na mshindi kuapishwa?!
  2. ndugu yako

    Nini hatma ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) Zanzibar?

    Habari za muda wana jukwaa la siasa! Jana wote tulisikia na kuona tamko la Chama cha Wananchi CUF kuhusu kujitoa rasmi kwenye uchaguzi utakaofanyika Machi 20, 2016. Pia jana ndugu January Makamba akiwa bungeni Dodoma, alitilia msisitizo wa kufanyika kwa uchaguzi huo kama ilivyotangazwa na ZEC...
  3. ndugu yako

    Utafiti wa Synovate: Magufuli aongoza kwa 62%. Yabainika watanzania bado wana imani na CCM

    Nataman hawa watafiti watuelezee sabab za Lowassa kushuka.... coz kwa miaka kadhaa ndye alyekuwa anaongoza
  4. ndugu yako

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    oooohoo!! kumbe!! kama ni hvyo bac hakuna mwenye huo wimbo.... maana hata mimi na wenzangu tuliuimba enzi hzo tukisoma shule ya msingi!!
  5. ndugu yako

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Acha kupotosha umma.... Magufuli ndiye aliyemuiga LOWASSA..... maana LOWASSA ndiye mgombea wa kwanza kuimba "Mchaka mchaka......alinselema...." alipokuwa anatangaza nia kulee Arusha!!
  6. ndugu yako

    Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    hiyo ni ITV ya Mbeya au?!
  7. ndugu yako

    Lissu na Slaa kulamba matapishi yao? Mkakati uliopo ni, Lowassa Mgombea Urais, Slaa Waziri Mkuu

    Tundu Lissu yupi huyo maana tokea alhamisi Tundu Lissu wa CHADEMA yupo jimboni kwake Singida mashariki na ijumaa ilikuwa anapigiwa kura za uteuzi na jana alikuwa kwny mikutano ya kujitambulisha.
  8. ndugu yako

    Baada kukatwa, atatangaza mali zake na kuhamia ACT?

    Mimi mwenyewe nilikuwa nashangaa hawa vijana wanatoa wapi ujasiri huo wakati Mzee anaweza kuwa Rais wa awamu ya tano??!! Ila tokea jana ndo nimeamini.... zile hazikuwa kauli za Nape na Makonda..... kuna mtu alikuwa anazitoa ila Nape na Makonda walikuwa spika zake tu!!
  9. ndugu yako

    Imebainika top 5 ya CCM hii hapa!!

    Just wait and see!!
  10. ndugu yako

    Imebainika top 5 ya CCM hii hapa!!

    Haya ndiyo majina matano yatakayoteuliwa na CC ya CCM kwenda NEC:- 1) Edward Ngoyai Lowassa 2) Dr. Asha Rose Migiro 3) Judge Augustino Ramadhan 4) Prof. Mark Mwandyosya 5) Mizengo Peter Pinda.
  11. ndugu yako

    Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

    Heshima iwe kwenu wadau. Baada ya kumsikiliza mtangaza nia namba 3 kutoka CCM ndugu Mwigulu Nchemba nimeingiwa na wasiwasi kidogo. Kwa wale waliofuatilia na kumsikiliza mh. naibu waziri mtagundua kuwa Mwigulu alikuwa anaongea kama vile yeye si sehemu ya serikali. Lakini cha ajabu zaidi...
  12. ndugu yako

    Arusha Stadium kufurika 30/5/2015, Ni mkutano wa hadhara wa Lowassa

    Ikulu kuna biashara ya kuwatumikia watanzania.
  13. ndugu yako

    Arusha Stadium kufurika 30/5/2015, Ni mkutano wa hadhara wa Lowassa

    Kwa wale wanaoenda Arusha kushuhudia tukio kubwa na la kihistoria la mheshimiwa kutangaza nia. Jaman mimi nimekosa usafiri na nipo mitaa ya Singida njia panda.... kwa ambao hawajapita Singida tuwasiliane inbox (ni pm) ili mnipe msaada wa lift. Ili tuungane pamoja hiyo kesho katika...
  14. ndugu yako

    Arusha Stadium kufurika 30/5/2015, Ni mkutano wa hadhara wa Lowassa

    Kwa wanaoenda Arusha nipitieni hapa Singida njia panda twende wote nikamsupport Rais wetu wa awamu ya 5. Ambaye hajapita Singida aje inbox jaman tuwasiliane.
  15. ndugu yako

    Nitumie njia gani niachane na uzinzi?

    Asante sana ndugu.
  16. ndugu yako

    Nitumie njia gani niachane na uzinzi?

    Asante ndugu kwa ushaur nakuahidi kuufanyia kazi.
  17. ndugu yako

    Nitumie njia gani niachane na uzinzi?

    Asante kwa ushauri ndugu yangu.
  18. ndugu yako

    Nitumie njia gani niachane na uzinzi?

    hahahahahahah!! Prince nalielewa vzr ilo andiko.
  19. ndugu yako

    Nitumie njia gani niachane na uzinzi?

    Natumia sana ila siku moja moja naendaga kavu. Kwa kutotaka kumtesa mtoto wa watu ndio maana naanzisha mapambano ya kuachana nayo.
Back
Top Bottom