Search results

  1. Sheghwede

    Kupendwa raha nyi acheni tu

    Haya hongera. Angalia tu asikutie mimba
  2. Sheghwede

    Kwanini Tanzania tunaendeshea gari mkono wa kushoto na si kulia tofauti na nchi nyingi Duniani?

    Asante mkuu. Enzi zetu ukifika darasa la tano unaandika kiswahili sanifu, sijui mdudu gani kaingia hapa kati
  3. Sheghwede

    Kama uliwahi kunywa kikombe cha babu wa Loliondo tupeane mrejesho wa afya

    Hahahhaaaaa, hapo ndo utajua watanzania wote washirikina
  4. Sheghwede

    Kama na mwaka huu hakuoi basi we jua hakuoi tena na utazeekea kwenu

    Hii issue sio nyepesi kama mnavyodhani, wadada wenzangu mnanielewa. Kama ni mwanamke unayejielewa, huwezi kwenda kumtongoza mwanaume, utaolewa naye lakini utajutraa, atakula mpaka machangu. Jambo la msingi tu ni kuondoa nyodo na kuingia kwenye mahusiano na mtu ambaye yuko tayari (able and...
  5. Sheghwede

    Ndoa hizi zina matatizo sana

    Hizi mambo za hausegirls zamani hazikuwepo. Sasa wewe una watoto watatu, means umeanza kuzeeka, alafu unaleta housegirl kigoli. Usimlaumu mumeo kabisaaa. Yaani unamkataza mtoto kulamba sukari alafu unafanya chumbani kwake kuwa stoo ya sukari. Bila aibu asubuhi unalalamika mtoto analamba sukari...
  6. Sheghwede

    Maamuzi ya Serikali ni Shaghala Baghala! No Coordination! Do We Need a System, or Hii ya 1-Man Show inatosha?

    Mimi naangalia tu maigizo. Kanumba keshakufa, tutaangalia movie gani sasa
  7. Sheghwede

    Kwa wanawake ambao hajawahi kufika kileleni karibuni hapa

    Yaani tatizo la dunia nzima, suluhu unayo wewe? Kiruuu
  8. Sheghwede

    Kugegeda mara1 kwa wiki

    Tatizo jina lako
  9. Sheghwede

    Je Unakumbuka Ulimpataje/Mlikutanaje na Mpenzi/mke/mme wako?

    kama umepita shule izo na una mawazo mgando kiasi icho, basi umeikomboa elimu na elimu haijakukomboa. Sisiemu imetuharibia nchi
  10. Sheghwede

    Je Unakumbuka Ulimpataje/Mlikutanaje na Mpenzi/mke/mme wako?

    Hivi wewe Bumija (mwanafunzi wa kata), juzi ulikuwa unaomba ushauri hapa mpenzi kakumbia, leo una mtoto na mpenzi wa kwenye basi. Shule za kata ni sheeedah
  11. Sheghwede

    Ni vigezo gani huchukuliwa kuchagua Miss?

    shule za kata ni shiida
  12. Sheghwede

    Vichwa vya habari magazetini kesho

    Sumaye ainyonga ccm
  13. Sheghwede

    Vichwa vya habari magazetini kesho

    Sumaye ainyonga ccm
  14. Sheghwede

    Michoro maarufu

    yaani mimi mwnyewe sielewi kwanini katuni izo ziuzwe gharama kiasi hicho. mimi naonaga chenga tu
  15. Sheghwede

    Mrejesho: Nimesafiri na BAJA 250 XLR kupitia mbuga ya Mikumi, kwa niliyoyaona sipiti tena

    story ya uongo. 1. kwanza speed 2. pili wanyama uliotaja, hasa simba na chui. eti wana damu mdomoni. eti wawili mmoja huku na mwingine huku. hao hawakaagi karibu na barabara 3. mara umeandika uliondoka moro saa 8 ukafika 9.30, alafu tena unadai ulipita jioni. Full fix. Chai hainunuliki
Back
Top Bottom