Search results

  1. K

    Tovuti ya wizara inaonyesha picha za ngono!!!

    [Nzowa Godat][Haa!? hivi ngono ni uchafu?!! basi watu wazima zaidi ya miaka 18 ni wachafu maana wanaruhusiwa kuoa na kufanya ngono deile] Bandugu NG mavi yakiwa chooni sio uchafu, hizo link hazipo mahala pake ndo mana nadhani jamaa kaiita 'uchafu' !!
  2. K

    Ultimatum: Serikali ina siku 14 kutangaza mahakama ya Kadhi! - Wahadhiri

    Mkuu Andika vitu vya ukweli basi,wacha ushabiki wa kijiweni !Au tuamini maneno ya jamaa kuwa shida kubwa kwenu ni elimu...? Mi mkatoliki na ninayo Biblia. Acha mambo ya kijiwe humu ndani !
  3. K

    Masoud Kipanya is wrong about SUA

    Naomba mnisaidie hivi mtu kufanya kazi Bank anatakiwa asomee nini wajameni???
  4. K

    Padri Karugendo: Spika huyu si bora kwa Bunge la Wananchi!

    Mkuu huenda akawa sio Mkatoliki usilaumu mana Dr Slaa na Karugendo wote ni ma Padre na jamii inajua hivyo,sina uhakika kama wameacha kuandika ktk gazeti makala anazoandika karugendo kuwa ni 'Padre'.
  5. K

    Padri Karugendo: Spika huyu si bora kwa Bunge la Wananchi!

    twi twii twii,kwi kwi kwii !! Kuna watu wana maneno humu ndani
  6. K

    Padri Karugendo: Spika huyu si bora kwa Bunge la Wananchi!

    Bora umeelimisha mapema.Alikuwa pia ni mwandishi wa gazeti lile lililonunuliwa na fisadi,nadhani hayupo huko siku hizi!
  7. K

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Lol....udini umekukaa hata huoni kitu!
  8. K

    'St. Nyerere’s' 18 political miracles

    Dah...Mkuu,nakukubali muno upeo upo juu sana. Jamaa kweli hayupo kujifunza,inasikitisha.Na sidhani kama hata unalazimika kuendelea kumjibu hoja zake(japo umeahidi).Kama hutajali embu ni add ktk messenger(moshi_paka@yahoo.com). Nadhani ni vema tukawasiliana zaidi ya hapa ikikupendeza lakini.
  9. K

    Mufti Simba aagiza Waislamu waikatae CCM

    Ndg embu pitia kidogo kuna post 2 kazitupa Bw.Mkandara Hayo nayosema sio solution na yanaonyesha upeo duni kabisa
  10. K

    Mufti Simba aagiza Waislamu waikatae CCM

    Kazi bado ipo kubwa kweli !
  11. K

    Mufti Simba aagiza Waislamu waikatae CCM

    Nimesoma post zako mbili tu...upo very Intellectual ! Upo juu sana upstairs!
  12. K

    Mufti Simba aagiza Waislamu waikatae CCM

    Ndg Tumain embu tupeni basi hayo wanayokosa ktka mahakama mama nasi tujue mana tupo gizani tuu!
  13. K

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Mkuu embu tupe hiyo sensa ilifanyika lini,ya nini tuandikie mate??tupe idadi waislam tupo milioni ngapi na wakristu tupo milioni ngapi? Huenda wakati wa sensa nilikuwa sipo TZ !
  14. K

    Picha itakayomsuta JK na wabunge wake mamilionea.....

    Ndugu Mtoto,jamaa ameuliza swali !!!Soma vizuri !
  15. K

    'St. Nyerere’s' 18 political miracles

    Dah....hayo maandishi ya 'bold' umemjibu vizuri kweli huyo ndugu aliyekosa unyenyekevu japo kiduchu tu.Nimeyapenda sana ndg X-Paster hayo maneno !
  16. K

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Ndugu Ndahani,huyo ndugu kumjuza itakuwa ngumu sana,sikutegemea kama hajui kuwa Vatican ina status ya nchi kama zilivyo nchi nyingine!! Dokta vipi bwana unatuangusha na status yako ya U-'dokta'.Bora kwanza ungecheza na google,mana majibu yote ungepata kuhusu Vatican,lol... Jamani tusiwe wavivu...
  17. K

    For how long should we....?

    sijaelewa kitu hapa.....hivi mtuma post anamaanisha anayezungumzwa ni male??Mana naona wachangiaji wanachangia upande mmoja tu! Samahani huenda sijaelewa.Au Mwanajamii 1 ni female? Embu ngoja kwanza nisome tena hiyo post ya kwanza...
  18. K

    Anakataa kuzaa, eti mpaka baada ya kumaliza Masters!

    Sina uhakika kama nimesoma vizuri.....si ni wachumba?watazaaje sasa!Wasubiri wafunge ndoa ndo wazae.Si ndo taratibu au? Sorry kama siendi na wakati !
Back
Top Bottom