Search results

  1. Mwitongo

    Other voices against Bagamoyo Port

    Sikubalianani na uamuzi wa kujenga Bandari Bagamoyo, lakini linapokuja suala la kushindana na wabaya zetu-Wakenya-naona ni vema ikajengwa tu. Potelea mbali, hata tukiwa nazo katika kila kijiji cha mwambao.
  2. Mwitongo

    JWTZ wazindua 'Operesheni Tokomeza'

    Jeshi la Wananchi wa Tanzania limezindua Operesheni Tokomeza inayolenga kuwamaliza majangili katika mapori ya akiba, mapori tengefu na hifadhi za taifa. Katika Operesheni hiyo, tayari Mwenyekiti wa CCM Kata ya Makuyuni, Monduli mkoani Arusha, Bakari Salim (Mpemba) amekamatwa akiwa na kilo 40 za...
  3. Mwitongo

    Ajali

    Wakipata ajali wakiwa na wanafunzi ndani nitawapa pole. Humo ndani ukichungulia ni mademu zao tu na watoto wa vigogo.
  4. Mwitongo

    Ajali

    Kodi zetu hizo. Hawana huruma, wanawapita wanafunzi wakitaabika vituoni kama vile wanawapita nguchiro.
  5. Mwitongo

    Ni kiwewe, woga na kutojiamini: CHADEMA kumlalamikia BALOZI na kumwacha SHIBUDA

    Chama Makini na Watu makini hawawezi kuhangaishwa na -------- kama Shibuda. Mwache ahangaike, ajue mwisho wake kisiasa ni mbaya.
  6. Mwitongo

    Tanzania yamkataa Balozi wa Ujerumani

    Moja ya sababu za Balozi kukataliwa Tanzania ni kama anajihusisha na masuala ya ushoga. Inawezekana huyo akawa na hiyo sifa.
  7. Mwitongo

    Rushwa Trafiki Kibamba Hospotali inatisha!!

    Ndugu zangu, trafiki kutoka Kituo cha Kwa Yusuf, na wakati mwingine Kibaha, kila siku yanapotoka maji hapa Kibamba Hospitali. Maji hutoka Jumapili na JUmatano. Hivi leo ni Jumatano,kuanzia sasa hivi wapo hapa wamejaa tele. Kila gari la maji wanachukua Sh 2,000. Kwa siku mapato yao yanazidi Sh...
  8. Mwitongo

    JAMHURI yataja matajiri matapeli Tanzania

    Watutsi utawajua kwa hoja zao!
  9. Mwitongo

    JAMHURI yataja matajiri matapeli Tanzania

    Mkuu ripoti hii ni ndefu sana. Wameandika kurasa nne pamoja na picha za wahusika na vielelezo kibao. Dawa pekee ni kulipata hilo gazeti jamhuri.
  10. Mwitongo

    JAMHURI yataja matajiri matapeli Tanzania

    Gazeti la Jamhuri leo limekuja na orodha ya majina ya matajiri matapeli wa madini Tanzania. Wamo kina Rashid Ntimizi (mtoto wa waziri wa zamami), familia ya Aurora, Roger David Mawelle, Tambwe Moses, Papa Msofe, John ChizumoNaftari Njoree (Mmasai), David Kazibwe na wengine wengi. Wanatapeli...
  11. Mwitongo

    Nyerere alivyoomba kuhusu Omba-Omba

    CHANZO: Gazeti Jamhuri Mwalimu Nyerere alijua ujio wa Obama tangu mwaka 1967 Mwaka huu pekee, Tanzania imepokea marais wa mataifa mawili makubwa yanayoongoza kwa uchumi imara duniani. Rais Xi Jinping wa China alikuwa wa kwanza, na baadaye amefuatiwa na Rais Barack Obama wa Marekani...
  12. Mwitongo

    Ufisadi wa kutisha ujio marais/Obama: Zaidi ya Bilioni 8 zatumika!

    Ufisadi ujio wa marais *Hazina yatumia Shilingi bilioni 8 *‘Wajanja’ watafuna mamilioni *Vifaa vya Obama vyaokoa jahazi *Vinyago vyagharimu Sh milioni 30 *Sare, mikoba, vyagharimu mil. 400/- *Karamu, chupa za kahawa, miavuli mil. 390/- *Burudani ya muziki yatafuna milioni 195 Na Waandishi Wetu...
  13. Mwitongo

    Uhujumu Uchumi: Idd Simba na wenzake waachiwa huru katika kesi ya kuhujumu shirika la UDA

    Hivi hakuna wanasheria binafsi wa kufufua kesi hii? Masikini UDA yetu!! Daa!
  14. Mwitongo

    Uhujumu Uchumi: Idd Simba na wenzake waachiwa huru katika kesi ya kuhujumu shirika la UDA

    Kuna habari kwamba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia kesi Iddi Simba. Ni ile inayohusu ufisadi wa uuzaji UDA akiwa Mwenyekiti wa Bodi. Aliwekewa Shilingi zaidi ya milioni 300 katika akaunti yake. Nasikia imefutwa kwa mkono wa Ofisi Kubwa kuliko zote katika nchi hii kwa sababu mtoto wa...
  15. Mwitongo

    Majangaaaa!

    Wewe kwa tatizo hilo una sifa zote za kuwa mwanachama wa CUF! Kaungane na waliberali wenzako! Huna sifa za ulijali. Yaani nikutane na kitu moto halafu mashine igome! Wewe mliberali
  16. Mwitongo

    Vitalu vya uwindaji: Kagasheki ashitakiwa Mahakama Kuu

    Wadau, hii habari ilishawekwa mtandaoni na katika magazeti. Naileta kwenu baada ya kupata taarifa kwamba leo kampuni 4 zimefungua kesi kutaka kutengua uamuzi wa Serikali wa kugawa vitalu. Kesi imefunguliwa Mahakama Kuu, Dar es Salaam. Imeahirishwa hadi kesho Jumanne. Kagasheki atiwa...
  17. Mwitongo

    Cv ya mkoa wa mara toka mtandaoni

    Usisahau na Mkuu wa sasa wa JKT Meja Jenerali Muhuga! Profesa Meja Jenerali Kohi, na wengine wengi sana.
  18. Mwitongo

    Simbachawene, Tanesco walumbana kuhusu nguzo

    Hivi inawezekana vipi nguzo kutoka China iwe bei chini kuliko inayotoka Iringa? Ina maana nguzo za hapa nchini zinakuzwa kwa kemikali (si maji na mbolea) ghali kuliko wenzetu kama Afrika Kusini?
  19. Mwitongo

    Ushahidi wa CHADEMA kuinyima CCM usingizi ni huu..

    Hivi wewe lini utaacha kumwandama manyerere? Kila mara ujinga wako unapotaka kuuonyesha lazima umtaje manyerere. ngoja aje akujibu maana huwa yumo humu.
Back
Top Bottom