Pole zake nyingi mama.
Habari inasikitisha sana. Ni matokeo ya umasikini.
Wewe wazazi wako walifanya jambo la maana sana kukukataza kwenda huko kuchimba mchanga.
Juzi nilikuwa naangalia documentary moja kuhusu watoto waliofukiwa na kifusi kama hivyo huko Congo kwenye machimbo ya Cobalt. Mama...
Tatizo Tanzania kila mtu ana matatizo yake, huyu dhaifu, huyu kichaa, huyu anapenda rushwa.
Yani ni kama vile ile ngazi ya kufika juu kwenye uongozi haiwezi kumuacha mtu salama.
Wanaofaa hawajulikani, wanaojulikana hawafai.
Choose your poison.
Ndiyo maana mimi nimesema katika mfumo ambao watu wanaiba uchaguzi mzima, mfumo wote wa uchaguzi wanauiba, ukijikita kuzuia wizi wa kura tu, unajikita kwenye sehemu ndogo tu ya tatizo, bado kuna sehemu kubwa watakupiga tu.
Ndiyo mjifunze sasa kwamba Makamu wa Rais si pambo tu.
Siyo mtu wa kukata utepe kufungua miradi ya serikali, kuhudhuria sherehe na kupigia kelele habari za muungano na mazingira tu.
Ukimuweka mtu kuwa mgombea mwenza na Makamu wa Rais, umempitisha kuwa Rais muda wowote Rais akifariki.
Yani...
Wale wagombea huwa mara nyingi hawachagui wagombea wenza, huwa wanabambikiwa na chama.
Ukimsikiliza Makonda alivyosema katika vile vikao vya kuzungumzia katiba mpya, ni kama alisema kuwa "Watch this Samia woman, you are going to hear her name a lot".
Alinikumbusha mwaka 1984 kuna Uncle wangu...
Mkuu,
Shukurani kwa hii video ya Ansbert Ngurumo.
Mimi nilisema awali hizi stories za Mabeyo si kuhusu kifo cha Magufuli zaidi ya kuhusu urais wa Samia. Nafurahi kuona Ngurumo kaligusia hili pia.
Kuhusu kifo cha Magufuli Jasusi Chahali alituambia Magufuli kafariki tangu tarehe 12. Kama...
Wafanyakazi wa ndani hususan wahamiaji wanateswa sana Oman.
https://youtu.be/fJTh4Gdn_B8?si=sJujUHXe6Fg_BHVL
https://www.theguardian.com/global-development/2022/sep/07/oman-failing-to-stop-trafficking-and-abuse-of-migrant-domestic-workers...
Uchaguzi mlishafanya 2020 mkamchagua Samia kuwa ndiye Rais wa backup (Makamu wa Rais) na Rais Magufuli akifa muda wowote Samia amrithi bila uchaguzi mwingine.
Au mlifikiri Makamu wa Rais ni muimba hooks wa mapambo tu?
Ndiyo concept nzima ya kuwa na "running mate" na kuipigia kura tiketi ya CCM...
Watawala hawakuondolewa kwa wananchi kupiga kura kwenye mfumo ulioweza kuiba uchaguzi mzima.
Watawala waliondolewa kwa mbinu nyingi sana nyingine.
Na bila ku employ mbinu hizo, ukijikita kwenye kuzuia wizi wa kura, wakati watawala wana control sheria za uchaguzi zinazoruhusu mtu kuwa mbunge...
Unapiga kura wakati mgombea mwenza kwenye tiketi ya urais kashakudharau mpiga kura mpaka anakwambia ukimpigia kura au usipompigia kura yeye ana uhakika wa kushinda, hapo unapiga kura iweje?
Rais wa sasa kashasema yeye ndiye rais mpaka 2030, kama vile 2025 hakuna uchaguzi, kashajihakikishia 2025...
Ndiyo maana mimi nasema kujikita kwenye wizi wa kura wakati huangalii wizi wa uchaguzi ni kuangalia tatizo kwa kina kidogo.
Ni kutaka kutibu dalili za ugonjwa bila kuangalia chanzo cha ugonjwa.
Mada finyu, ukijikita hapo utatawaliwa milele.
Utataka kudhibiti wizi wa kura, wakati wenzako wanaiba uchaguzi.
Kama una nia ya kufanya maigizo, mada ni nzuri.
Kama una nia ya kuleta mabadiliko, mada haikusaidii sana.
Sasa unajadili kura zinaibiwaje wakati watu wanapita bila kupingwa hata kura hawapigiwi?
Unajadili kura zinaibiwaje wakati hata kura zisipoibiwa matokeo yanaweza kubadilishwa?
Kwa nini unaona kujadili kura zinavyoibiwa ni muhimu kuliko kuangalia mfumo unaowezesha kura kuibiwa?
Ukiweza...
Kuna kuiba kura na kuiba uchaguzi.
Ukiwa na ujinga kama kupita bila kupingwa, ukiwa unateua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, ikiwa unachanganya resources za serikali na chama kwenye uchaguzi, hapo unaiba uchaguzi, huibi kura tu.
Baada ya rais ni Makamu wa Rais kwenye uongozi wa nchi.
Ndiyo maana rais akifa, Makamu wa Rais anachukua madaraka.
Hiyo movie yote ya wakuu wa majeshi kuchukua process ya kumuuguza rais ilikuwa unnecessary militarism.
Kwa sababu rais alitamani kuwa IGP tu.
Rais ana daktari wake.
Power struggle watagombea kuwa chawa wa mama, CCM huyo mama kashapita. Hawana utamaduni wa kumuondoa an incumbent president.
Tena mwenyewe kashasema ni yeye mpaka 2030.
As if 2025 hakuna uchaguzi.
Mkuu,
Umeweza kusikiliza kwa umakini yaliyosemwa na ambayo hayajasemwa.
Watu wengi wanafikiri haya maongezi ni historia ya kifo cha Magufuli.
Wakati haya maongezi ni maongezi ya kumsimika Samia na kuonesha jinsi Samia alivyotengwa na kuonewa mpaka ilikuwa kidogo katiba ipindishwe ili asipate...
Siyo nimekwepa swali, nimekuonesha kwamba swali ni irrelevant. Either answer does not change my bigger logic.
Nikifanya immanent critique, hata nikikukubalia nikisema kwamba Magufuli hakuwaita hao wakuu wa majeshi, aliwaita Paroko na Kardinali.
Sasa, kwa nini kawaita Paroko na Kardinali lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.