Search results

  1. Bibie

    Bloggers: Pengine inakera!!

    I somehow agree to some points in here ila tatizo kubwa lakwetu sis wabongo ni chuki zisizo na msingi mi nadhani mtu kumuelimisha mtu si kitu kibaya ila utakuta kuna watu waingia kwenye mablog ya watu kutukana tu watu all the time je hii ni haki??? Hata kama blog inauhuru sidahni kama ni jambo...
  2. Bibie

    pedeshee hartman back to wife

    I bet she ain't that daftttttttt!!!!!!
  3. Bibie

    pedeshee hartman back to wife

    Acheni uongo kawashugulikia akina nani zaidi ya huyo malaya Aunty Ezekiel???? Please usitudanganye.
  4. Bibie

    Ze Utamu blogger under arrest?

    Hapa kuna kazi mi sijui sheria ipi watatumia ila kasheshe yake ni pale alipoweka picha ya JK tuuuu ndo alijiharibia shame on him kwa kweli. Alitukana mpaka marafiki zake akaona haitoshi, akaingia viongozi and then mzee wa mji mwenywe hapo ilikuwa too much. Na hayo malalamiko 6850 mbona madogo...
  5. Bibie

    Ze Utamu blogger under arrest?

    Hehehehe unajua za mwizi arobaini. Alijisahau akajiona bingwa sasa analao kageuka zeuchungu hehehehehehe.
  6. Bibie

    April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

    Nasikia majambazi yameisha ingilia mbagla na kuaanza kuwaibia watu. Si mambo ya aibu hayo. Umasikini huuu jamani kazi kweli kweli.
  7. Bibie

    Je tuhahitaji tena Ze Utamu?

    Yo yo nasikia una hizo picha za kikwete can u please send me nione. thanks
  8. Bibie

    Je tuhahitaji tena Ze Utamu?

    hiyo picha ya kikwete iko wapi? mbona mi sijaiiona? au ndo wameogopa nakuiondoa???? Naombeni link.
  9. Bibie

    10 Health Habits That Will Help You Live to 100

    You don't need to eat yogurt and live on a mountaintop, but you do need to floss By Deborah Kotz Posted February 20, 2009 The biggest factor that determines how well you age is not your genes but how well you live. Not convinced? A new study published in the British Medical Journal of...
  10. Bibie

    Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

    Mi nashauri huyo jamaa kama siyo owner of zeutamu awahi polisi maana asijeumia bure kwa mabeef yake na mtu ane mpakazia lakini all in all why him?????? Na kama si yeye mwenye picha ajitokeze kukana haya mashtaka ndo tuone.
  11. Bibie

    Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

    Nyie bwana mnachekesha kwikwikwi kwiiiiiiiiiiiiii
  12. Bibie

    Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

    Point point point ni umbea kwa kwenda mbele na hakuna kingine. Kama mtu anapenda ngono zeutamu haiwezi kumstopisha. Na kwanza kwa nini katika watu wote duniani waangukiwe hao wawili tu? Mi Nahisi kuna ukweli ndani yake hao jamaa wanahusika somehow na zeutamu. Wenye kujiheshimu wanajuhesimu...
  13. Bibie

    Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

    Utacheka sana ila tunaendelea kupambana na nyie mafisadi wa kuharibu majina ya watu.:mad: Haijalishi what u think but I think wewe na familia yako yote ndo mafisadi wa ngono. Wewe nahisi ndo mtumaji picha za watu huko maana mtu mwenye akili timamu hawezi kutetea huo upuuzi. Shame on you maana...
  14. Bibie

    Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

    Keep it up but ndo hivyo zeutamu is at the verge of breaking down.
  15. Bibie

    Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

    Kwa nini usiamini??? Au wewe nae ndo mmoja wapo wa supporter wa huyu jamaa?????
  16. Bibie

    Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

    Thats why am asking is this the guy or is it just a spam? Cause the email's going around na hata picha yake inazunguka umeiona hapo juu?? Au ndo wewe Gerald mwenyewe???????
  17. Bibie

    Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

    Alot of people have been innocent victims of this site and alot of people have been researching on this issue for long now. Am not worried at all but its good to know the man behind this stupid thing Ze UTamu.
  18. Bibie

    Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

    KUMEKUWA NA MAMBO MENGI YA KUSIKITISHA YAMEKUWA YAKIFANYWA NA HUYU MTU ANAYEJIITA ZEUTAMU...WE ALL TANZANIA'S LAKINI TUNAFANYIANA MAMBO YASIYOFAA KWA JAMII..WATU WANAFIKIA HATUA MPAKA KUTENGWA KWA KUHOFIWA NI WAATHIRIKA NA KUWA WANANYOOSHEWA VIDOLE MITAANI..NDOA ZA WATU ZIMEVUNJIKA KWA MAMBO...
  19. Bibie

    Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

    I think you need to see a dermatologist for sure. Hiyo Fluconazole si ya vaginal thrush sasa ni nani alikupatia kutibu mba?? Be careful nenda hospitali upate proper prescription. Pole sana
  20. Bibie

    Kagoda: Ni Rostam

    Vigogo waanza kumalizana kimya kimya HOFU imezidi kutawala kwa baadhi ya vigogo wa siasa, hasa kuwepo kwa taarifa za kulishwa sumu kwa baadhi ya vigogo na watu wanaoijua siri ya uanzishwaji wa Kampuni ya Kagoda Agricultural iliyochota sh bilioni 40 katika Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje...
Back
Top Bottom