Search results

  1. More Tiz

    Bunge kurusha matangazo ya vikao vya bunge

    Hakuna live in long run.
  2. More Tiz

    Magufuli fumba macho, kopa haya kutoka kwa Lowassa

    Leo umezinduka, siku zote usiwe unazidiwa na ukereketwa mpaka ukashindwa kuona mazuri ya unayemuita adui yako. Always be objective
  3. More Tiz

    Umeya Dar: CCM waenda tena kortini

    Wameenda Mahakama gani,
  4. More Tiz

    Uchaguzi wa marudio: CCM wanajiandaa kutekeleza utapeli wa karne

    Cku ikifika kila kona ulikofanyika uchaguzi itakuwa wazi kuelezewa nn kilijiri na nani mshindi. Yetu macho na masikio Muda utakapofikia
  5. More Tiz

    HIVI Kweli Kwa Uwezo Huu, Bado Ni Sahihi Kusoma Na Kuandika, Ni Kigezo!!!?

    Watasema ndiooo. Chezea Ugali wewe
  6. More Tiz

    Masikini Dr. Slaa, Nyumba yake yapigwa mnada

    Kama walishindwa kumsaidia Komba aliyekulia chamani akiwa nguo unadhani wataweza kwa huyo aliyetumika kwa miezi mchache tu.
  7. More Tiz

    Yah: Uyoga, Vipepeo na Midoli Bunge la Watanzania

    Pana vitu ambavyo watanzania wanahitaji kuona live na kuoneshwa recorded. Endapo bunge litarekodiwa na ili wananchi waoneshwe matukio yote yaliyojiri, najiuliza kuwa muda utakaotumika kurushwa hiyo recorded utakuwa tofauti na ule wa live? Au hizo recorded lengo lake ni kutuonyesha episode kama...
  8. More Tiz

    Ufafanuzi wa Nape juu ya TBC kubadilisha utaratibu wa kurusha LIVE matangazo ya Bunge

    Tanzania tuna TV stesheni ngapi? Na je zote hizo hakuna iliyo tayar kurusha matangazo ya bunge live bila gharama ya serikali? Bunge lililopita tulishuhudia baadhi ya stesheni zikirusha live, je nazo zilikuwa zinalipwa na serikali kurusha matangazo live? Kama wanalazimisha warekodi na kurusha...
  9. More Tiz

    Mabadiliko Bandari ya Dar: Wafunga CCTV 480

    Bongo ishu sio vifaa bali ni utendaji wa watumishi. Mwakye aliiweka mitambo airport na bado madudu yalijitokeza.
  10. More Tiz

    Wabunge Viti Maalumu ruksa udiwani

    Ufafanuzi huu ni kama kunjwa vidonge vya chloroquine bila maji.
  11. More Tiz

    Mke wangu hatoi penzi, ananipangia ratiba kwa wiki mara 2

    Hahaha, atapelekwa ndani miaka 30
  12. More Tiz

    Waziri Mkuu Majaliwa aitaka TAMISEMI kujieleza kwanini mabasi yaendayo kasi hayajaanza kufanya kazi

    Asiishie kusikiliza maelezo tu, aende mbele zaidi na kuwawajibisha watakaobainika kukwamisha mpango huo.
  13. More Tiz

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Zizi ni lile lile, tofauti ya mnyama haimaniishi uimara wa zizi.
Back
Top Bottom