Search results

  1. P

    Mtoto Miaka 13 Afanyishwa Mapenzi na Mbwa

    Ok mkuu, thanks. Sipo nyumbani, I just read about the incident hapa kwenye forum na kwenye source post jamaa alim-refer tu kama mtoto, so I was interested to know ni wa jinsia gani!
  2. P

    Mtoto Miaka 13 Afanyishwa Mapenzi na Mbwa

    Mkuu umejuaje ni binti?
  3. P

    Kagoda: Ni Rostam

    18 COMPANY NAME: Meregesi Law Chambers Shareholders and Directors: Johnson Lukaza and Maregesi Related Company: Proin Properties/Kernel Office Location: Plot 73 Kinondoni Road...
  4. P

    Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

    Swala jingine ni kwamba NSSF sio bank na sidhani kuwa ina-qualify kuitwa 'financial institution' (wataalamu mnisahihishe kwenye hili kama siko sahihi). Hivyo sidhani kama kwa nature ya shirika linatakiwa kuwa linatoa mikopo ya ki-bank ama ki-biashara. As a long shot, I could understand labda...
  5. P

    Mange Kimambi amshitaki Wakili Magai wa IMMMA Advocates kwa shambulio

    It eventually comes down tu matusi na kashfa...very very unfortunate!
  6. P

    Mange Kimambi amshitaki Wakili Magai wa IMMMA Advocates kwa shambulio

    Hata wewe ukisoma posts zako utaona matatizo yako vile vile. Kuniita jina lolote sio tatizo kwangu, si ndio lugha unayoijua!
  7. P

    Mange Kimambi amshitaki Wakili Magai wa IMMMA Advocates kwa shambulio

    1. Huna haki ya kuniambia kulikuwa na haja ama hakukuwa na haja ya kuandika chochote kwenye hii forum 2. Wewe huwakilishi kila mtu hapa, so huwezi kusema kila mtu anajua blah blah blah 3. Nawewe vile vile una-miss the point, swala ni kuwa awe ana dini ama hana, awe amepiga picha uchi ama...
  8. P

    Mange Kimambi amshitaki Wakili Magai wa IMMMA Advocates kwa shambulio

    YournameisMINE, with due respect, personally I do not care about her religion, the picture, or anything she does. Whatever she is into is absolutely non of my business! The only thing I did was to point out where the issue came from and from what stand point those who are commenting take their...
  9. P

    Mange Kimambi amshitaki Wakili Magai wa IMMMA Advocates kwa shambulio

    Yo Yo "nakupa tano.......anashangaza huyo feminist....naona kaanza taratibu kukandia dini za watu.... mbona kuna wakristo wengi tu wako kwenye madanguro hatusemi?" Wakuu kabla mada haijahama na kusababisha mihemuko, nadhani swala la kum-refer huyo dada kama muislam limetokana na hii quote...
  10. P

    Andrew Nyerere on Mwalimu humble children!

    Dah, we acha tu ndugu yangu, bado ninayo mpaka leo!
  11. P

    Mukandala calls UDSM Academic Staff 'lazy and money hungry'

    "Wasomi wetu siku hizi wanalipwa vya kutosha si haba. Suala ni kuwa katika dunia hii ya matabaka wasomi nao hawako nyuma katika kutamani kuwa tabaka la juu ama WALA NCHI ama Walala hai wakati wote tunajua kuwa unapochagua kufanya kazi katika sekta ya elimu na haswa katika asasi ya umma hupaswi...
  12. P

    Andrew Nyerere on Mwalimu humble children!

    "bank statement za Salamander" Hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaa, umenikumbusha mbali sana!
  13. P

    Mukandala calls UDSM Academic Staff 'lazy and money hungry'

    I believe Prof. Mukandala's speciality is Public Administration, that combined with his outstanding successes in both career and entrepreneurial endeavors had me expecting so much more from him than the simplistic statements he makes! I expected at least an analysis of the situation from him...
  14. P

    Mukandala calls UDSM Academic Staff 'lazy and money hungry'

    Colleagues, assuming the following article quoted Prof. Mukandala, (the Vice Chancellor in the UDSM) correctly, what are your opinions?
  15. P

    African University Ranking

    Dah, Tanzania...mmh, haya!
  16. P

    African University Ranking

    Yaani hiyo ni moja ya sababu imenifanya niulize vigezo vya hizi ranking ni vipi?
  17. P

    African University Ranking

    Kama sikosei last year UDSM ilikuwa ranked number 13 katika African Universities, ila mwaka huu hawa jamaa wamei-rank number 18 - meaning imeshuka kwa nafasi 5! Visit hii link World Universities' ranking on the Web: Top Africa By the way, huwa ni vigezo gani vinatumika kupima ubora wa...
  18. P

    Mkapa anashitakika - Dk. Slaa

    In this post, I am going to be a little incoherent, naombeni mnisamehe! Unajua kuna watu wanaboa sana, wanakaa kwenye computer zao halafu kazi ni kutoa ushauri na saa nyingine kubwatuka tu - Yaani Dr. Slaa ajitoe mhanga peke yake tu! Wewe unayesema unashauri afungue kesi, toka Dr. Slaa...
  19. P

    Dkt. Mathayo na Ana Kilango: Same "Wachina" wa Tanzania mpaka "VILAZA" wa Kilimanjaro

    Bangusule and all, Kwanza Mkuu Bangusule, samahani siingilii uhuru wako wa kuji-express lakini reference ya Mwalimu kufufuka inaanza kukarahisha...I mean mwalimu angekuwepo, mwalimu alisema, mwalimu akifufuka...mwalimu, mwalimu, mwalimu, nadhani Mwalimu tuendelee kumuenzi, ila pia tumuache...
  20. P

    Tax to MP's and Cabinet Members!

    Just a quick question: "Hivi Wabunge na Cabinet members in Tanzania, wanalipa kodi kutoka kwenye mishahara na marurupu (allowances) yao?"
Back
Top Bottom