Search results

  1. tofali

    Wanawake kwanini hamu hofu wala huruma?

    Juu ya kitanda chako mmhh...umewezaje kukilalia tena....mi nahisi ningekua naona mapicha picha hapo daily... Unaweza msamehe but hiko kitanda sijui.mbadili[emoji2357]
  2. tofali

    Kwanini mahusiano mengi yakivunjika huwa ugomvi, kuabishana na kudhalilishana?

    Ana viclip viingi mtandaoni mara anacheza mziki etc...usupa staa alikua anautaman..kaupata
  3. tofali

    Uchaguzi 2020 Makonda azuiwa kukaa Jukwaa Kuu kwenye mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM

    Naomba kujuzwa...hvi yeye sio kada...wasanii nao wamekaa upande gani..mi nilijua makada wote wako jukwaa kuu au..nieleweshen asee
  4. tofali

    Mjane wa aliyekuwa Jaji wa Zanzibar, Marehemu Mkusa Isack Sepetu anatafutwa baada ya kuharibu nyumba ya shirika la nyumba Zanzibar

    Baba yake wema alikua na familia ingine( mama wa kambo wa wema) na ndio alikua mke mkubwa ...hiyo familia ingine ndio marehem Mkusa (anashare baba na wema) alikua mmoja wa watoto .....so mvunja nyumba ni mke wa mkusa ( wifi ya wema)
  5. tofali

    Mwanamke unaweza kuacha kazi ili ulee familia?

    Mimi naweza kwa asilimia 100... Kwangu kuacha kazi ni jambo la kawaida. Nikiona panazingua napiga chini na **** sehem very senstive/potential nishaachaga kazi ..yani na huwa sijutii sababu sikurupuki... ...ss kwa familia yangu ndio kbsa..as for now tumegawana na mr yeye apige kazi za kuajiriwa...
  6. tofali

    TANZIA Profesa Tolly Mbwette afariki dunia

    Jibu ni watu wanapenda udaku..uzi ulijaa uzushi zushi na udaku[emoji1787]
  7. tofali

    Watoto wetu wanakula nini mashuleni?

    I think huo umri angepata kindergarten ya kutoka saa 6 mchana ili apate mlo nyumbani...ni mdgo sana kushinda shule na kusokomezwa unbalanced diet[emoji3526]
  8. tofali

    Hakuna experience ya huzuni kuu kama ya kufiwa na mke/life partner

    Kama yupi nipe mfano..haya mambo yanasiri wewee[emoji1787][emoji1787]
  9. tofali

    Hakuna experience ya huzuni kuu kama ya kufiwa na mke/life partner

    Hapo lzm dildo zitatumika lkn mwsho wa siku 10yrs ngumu lbd km hujawah kbsa kujaribu yale mambo wewe ni mtawa..ila ukianza na ukayazoea weee[emoji1787][emoji1787]
  10. tofali

    Hakuna experience ya huzuni kuu kama ya kufiwa na mke/life partner

    Wanawake tunawez sawa ila ni kwa muda mfupi ht miaka 2 inaweza pita sio milele[emoji1787][emoji1787] kibinadam utajikuta tu mtu kaja kusuuza rungu.....then unaaanza kuhesabu upya
  11. tofali

    Hakuna experience ya huzuni kuu kama ya kufiwa na mke/life partner

    Ni kweli kbs...ila unaweza angukia pua[emoji28][emoji28] itabidi ..maombi ya kufunga na kuomba yatahitajika ili nimpate walau ambaye naweza kummudu
  12. tofali

    Hakuna experience ya huzuni kuu kama ya kufiwa na mke/life partner

    Mimi kila siku huwa nawaza sana ikitokea nimetangulia huyu mume wangu atabaki na hali gani..namuonea huruma sana....ila upande wangu pia nawaza ...akiniacha sioni km nitakuja kuoleewa ni mwanaune pekee aliyenielewa na kunipenda vile mm nilitaman kupendwa...Mwenyezi Mungu ndio ajuaye yote tuombe...
  13. tofali

    Hakuna experience ya huzuni kuu kama ya kufiwa na mke/life partner

    Kwa halii unaweza kufuru na kusema sitaki mtoto nataka mke...toa sadaka ndugu yangu..Mungu kakutendea maajabu
  14. tofali

    Jinsi ya Kuondoa weusi katikati ya mapaja na kwapa

    Makunyanzi sasa ni issue ingine wengi huwa zimechakazwa...ila huo weusi ni kawaida kwa maeneo ya chini ht watt wadogo wanao
  15. tofali

    Mambo gani umewahi kumuomba Mungu na akakujibu papo hapo?

    Asee ni Meeengiii naweza niandike insha na isiishe....nikijaliwa huko mbele nitaandika kitabu tu cha ushuhuda wa makuu ya Mungu
  16. tofali

    TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

    Uko sahihi sana wala usihangaike kujitetea..referal aghakhan...rehency to muhi2 zipooo.
  17. tofali

    Nimeamua kuachana na wasichana wa chini ya miaka 25

    Lol jaman..hivi mpk unavaa chupi chafu sidiria chafu..unanuka jasho hujijui...au ndio kumkomoa mwenzio kuwa atapambana na hali yake
  18. tofali

    Nimeamua kuachana na wasichana wa chini ya miaka 25

    Na kuna watu ukiwaonja huchomoki..utaenda kiruka ruka huko..ukikumbula fulani aah unarudi mwenyewe[emoji28] pamoja 30+ yake
  19. tofali

    Nimeamua kuachana na wasichana wa chini ya miaka 25

    Kuna jamaa mmoja alinambia watoto wa siku hizi wana mabwawa kuliko hata mama zao waliongia labour[emoji849] hawana radhaa kuku wa kizungu hawa...nikashindwa mbishia maana yeye ndio mtumiaji[emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom