Search results

  1. M

    Naomba msaada jinsi ya kuactivate Windows7

    Niliinstall window 7 sasa baada ya siku 30 pc yangu ikaniletea black screen na kuna sms inaniambia window is not genuin. Nikapata hyo application kwa ajili ya activation tatizo linakuja hapa kila nikijaribu kuinstall inanigomea kabisa labda kuna njia nyingine kama kuna mtu anaifahamu
  2. M

    CRDB Bank

    hahahahahah!!!!!
  3. M

    International kissing styles

    hahahahahahahahahahahaha!!!!!
  4. M

    Eti kuna madhara ukinyonya uke wa mwanake?

    hahahaha!! Uwiiiiiiiiiii
  5. M

    Mbeya na mambo yao

    kanisa gani?
  6. M

    Jaribu na wewe kwa mpenzi wako

    Mwambie mpenzi wako 'I love u baby'' atakujibu ''I love u too baby'', mwambie '' I miss u baby'' atajibu 'I mic u too baby' sasa mwambie NITAKUTUMIA 100,000 KWENYE MPESSA, AKIJIBU NAMI NITAKUTUMIA PIA NAHAMA TANZANIA
  7. M

    Msaada wa driver audio controller

    poapoa ngoja nijaribu
  8. M

    Msaada wa driver audio controller

    nimeweka window ambayo imecombine window 3 yani kuna vista,xp,na w7 pia computer yangu ni destop dell
  9. M

    Msaada wa driver audio controller

    mi na computer aina ya dell nimepiga window 3 in 1 sasa kinachonisumbua ni driver ya sauti nimejaribu kutumia cd ya driverpack imegoma kuingia nimetumia universar driver inaingia kabla ya kumaliza computer inajizima sasa sijajua tatizo ni nini
  10. M

    msaada wa symbian kudanwload n97

    naombeni msaada wa kunielekeza jinsi ya kudonwload symbian katika simu ya nokia n97 simu yangu imekuwa slow sana
  11. M

    Msaada jinsi ya kupiga window kwenye cmu

    asante mkuu kwa maelezo yako
  12. M

    Msaada jinsi ya kupiga window kwenye cmu

    ni kweli kabisa ila nataka kujua kwani kuna tofauti gani kati ya symbian na window
  13. M

    Msaada jinsi ya kupiga window kwenye cmu

    aahh! Kwani kuna tofauti gani kati ya symbian na window
  14. M

    Msaada jinsi ya kupiga window kwenye cmu

    Nina cmu yangu aina ya nokia n97 haina window naombeni msaada jinsi ya kudanwload na kupiga window
  15. M

    Msaada wa adobe pdf

    website gani naweza tumia kudanwload
  16. M

    Msaada wa adobe pdf

    website gani naweza kutumia?
  17. M

    Msaada wa adobe pdf

    wana jf naombeni msaada na simu yangu ya nokia N97 kila nikijaribu kufungua adobe rider inagoma inaniambia expired naombeni msaada jamani
  18. M

    msaada wandugu jinsi ya kudownload adobe pdf kutumia nokia N97

    naomba msaada kwa yeyote anae jua jinsi ya kudownload adobe pdf niliyo nayo kila nikifungua inaniambia lincence adobe rider expired nisaidieni wana jf
  19. M

    Msaada jinsi ya kudownload pdf kutumia nokia N97

    wandugu naombeni mnisaidie jinsi ya kudownload pdf ambayo ninayo kwenye cmu yangu kila nikifungua inaniambia licence adobe rider expired kwa yeyote anaejua anisaidie jamani
Back
Top Bottom