Search results

  1. M

    Joyce Kiria: Hivi ni nani anampa mamlaka huyu mdada?

    Kisa wanasemwa wanaume ndo watu midomo imewacmama utazani birika nyoooo muwatese wanawake afu mfumviwe macho kisa wanaume kwendeni zenu.joyce mama kama upo humu endelea mama endelea kufukua uovu wao na uwaanike live nani kipata ishu ya ukandamizaji ntakushtua shosti.love u much swty
  2. M

    Joyce Kiria: Hivi ni nani anampa mamlaka huyu mdada?

    Endelea mama endelea big up joyce myanaume yakibongo imezidi kandamiza wanawake utazani wanawake hawana maana yani ningekua naela ningekusponsor walai
  3. M

    Wanandoa Wanajifariji Pasipokujua uhalisia

    Madness thats all i kan say
  4. M

    Mwanamke kucheka wakati wakufanya mapenzi

    Na wanao rusha mate ka nyoka...shame in u kazi uzinz tuu
  5. M

    Prezoo vs Chagga Barbie: Acha movie iendelee

    Mayb kimerefuka duuuu.yani ndo mana unaambiwa hata watu wagombane vpii katka maswala ya mapenz mtu akikuomba ushauri we kua neutral ukianza mpondea mpz wake utaja umbuka mana afta two days ucshangae kuwaona na mapenz teleee
  6. M

    Uji mzuri wa watoto wanaotakiwa kuanza kula, mchanganyiko mzuri ni upi?

    Mhhhh am sorry to differ with u duuuu mtoto wa miez mitano yan hata recommended age yake yakuanza solids haijafka umwekeevvkorokoeo vyote hvo duuu.kwa ushauri wangu msagie donna usichanganye na kitu CHOCHOTEEE then koz tumbo lake bado ni geni kwa chakula uchuje bfore kuupika.ukiiva mwekee na...
  7. M

    Utajuaje mwanamke kala ndoano?

    Itakua karne ya 17 labda.cku hzi utackia bby nimeona vx kwa showroom msasani nimelipendaaa hahaaaa
  8. M

    Hebu nipeni ushauri wanajamvi

    Unaweza ukawa na 40yrs ila jinc unavyobehave ni under 18 aiseee hujakomaa akili na mi watu ka hao nawaita watotooo.
  9. M

    Mwanaume wa kiafrika kupiga magoti wakati wa kumvisha pete ya uchumba mpenzi wako

    Nani kakwambia ukichwa wako wa nyumba unaisha umpigiapo lady goti WAKATI UNA MVISHA PETE??
  10. M

    Mwanaume wa kiafrika kupiga magoti wakati wa kumvisha pete ya uchumba mpenzi wako

    How intelligent.. aisee i love ur reasoning.mhhh utamadun wa kuvishana pete c wakiafrica tumeuchukua from the west sa cha kushangaza ka tumekubali kuuchukua y hatutaki chukua full package eeeee??yani men wakibongo bana....a lady should be treated like a princess/QUEEN no wonder hata kufungulia...
  11. M

    Hebu nipeni ushauri wanajamvi

    Afu anajidai eti alimpenda nyooo unajua maana yakumpenda mtu wewe dogo eeee.afu nahisi huyu ni dogo wa secondary amekula ada sasa shule zimefunguliwa ajarudi kilichobaki uzinzi koz a matured man cant be as silly and stupid as you.shame on you.rudi kwa mshua kamweleze umekula ada akupe urudi...
  12. M

    Hebu nipeni ushauri wanajamvi

    Uyoooooo uyoooo kaumbuliwa anajifanya kujibu majibu yasioelewela nyooo mzinzi mkubwa wee
  13. M

    Hebu nipeni ushauri wanajamvi

    Huyu atakua chini ya miaka 18 hii akili ya kitoto kabisaaa
  14. M

    Hebu nipeni ushauri wanajamvi

    Cjui wafanyiwage nini hawa watu khaaa eti cmwamini koz kanipa papuch haraka angechukua mwaka ungesema ooo kuna washkaji wanansaidia hvi nyie viumbe mnawendawazimu eeee
  15. M

    Wakinadada, pasi za kichwa katika mpira wa pete za nini?

    Hahhha mi nshamsoma ni mambo ya 0713.kama na hapo ujaelewa cna msaada zaidi
  16. M

    Hii dawa ya kimasai vipi?

    Na bado nakwambia hilo dushe litarefuka hadi lifike miguuni kazi kupenda ngono tuu.shame on u
  17. M

    Kujifungua kwa njia ya kawaida na kwa Operation

    Natumai unaongea hvi basi ushawai jifungua kwa operation ukaona amna maumivu mpaka wasema hivii eee.....wakijua kidonda cha operation kinavyouma eee au waropoka tuuu wateseka nacho hadi kije kipone nyota zote umeziona wakati alie jifungua kwa kawaida afta mtoto kutoka kama hajachanika ndo...
  18. M

    Wanawake wa Kihaya.

    Duuuu nimechekaaa daaaa MMU kuna vhoja walai
  19. M

    Baada ya kuwa na wewe nimepata matatzo sana

    Umeona eeeee shoganguuu!!! Mi wanankeraga..
  20. M

    Shemu atamuua sister, nifanyaje?

    Ni heri uone snitch kuliko uone ndugu yako anataka teketea afu we umenyamaza kmya unafurahia ofa za pombe...helll noooo.mijanaume mingne yakera kweli gashhhh
Back
Top Bottom