Wabongo mnaboa sana ,mnapenda kutoa madomo yenu kila mahali wewe ulitaka awafungulie account kila mlemavu,mbona juzi yule mdada aliyeokotwa kibamba mmemuanika uchi mpaka kumuingiza kwenye gari mbona hamkulalamika afunikwe hata kanga au hata afunikwe kwa magazeti kama hakuna kanga.mchuuuuuuu
sasa wewe uliyeanza na mil.5 kwahiyo sasa unazo mia moja au? Na pia aliyenunua viwanja vyake 2 Tegeta mwaka 1990 wataka kuniambia kwa sasa anaweza kukinunua au angeshindwa kabisa ?na watu wote Dar hawawezi kujenga O.Bay.Usijekuwa kama watu flani wanafika ulaya na kuwauliza wengine kwanini...
Wakuu salaamaleikum.Naomba msaada wa hili.kwa wanaokaa Dar mwenye uzoefu atusaidie
kipi nafuu Kutengeneza kisima cha maji au kununua Water tanks.Karibuni
Jamani tuseme tu ukweli Bongo wanaiba Airport, wanaiba mahotelini ila tukubali tu waswahili ukweli ukiwekwa wazi hatupendi haka ni kakasoro ketu.Pili kwa upande wa lugha kuongea pia kiswahili sio kuwa kila mtu anakijua hasa kwenye uandishi na hii nimeona ni kwa kila lugha wengi wanakosea kama...
Sema kabisa ndani ya miezi 2 usiporudisha mil.5 kila mwezi unaozidi ni laki 5 unanilipa ,Unasemaje?tena tunawekeana saini ,shahidi mmoja awe polis,niko tayari
mimi napiga boksi zangu ughaibuni,nataka kupata mkopo kama milioni 30 nina nyumba dar
ninauwezo wa kulipa milioni moja kila mwezi licha ya kuweka nyumba.na kama kuna mwenzangu aliyeko ughaibuni keshafanikiwa
kwa jia ya kupata mkopo nyumbani ,karibuni jamvini.
ninazo laptop 2 mija ni Acer.Aspire 7551G,320 GB HDD,4GB Rom,17zoll led,HDMi DuclCore ninaiuza laki 8. ya pili ni Compaq Aesario CQ 56,320 GB HDD,4GB Rom,15,6 zoll ,Dual core. nauza laki 7. tumezitumia miezi 5 tunataka kununua meckbook pia nauza meckbook used mil.2 ukitaka mpya kuna za mil.5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.