Search results

  1. M

    Imenibidi...

    Waache wapoteze nguvu zao, "we dare to talk open", mbona inawauma sasa. Achaneni na mawazo potofu ya nyanya zenu na babu zenu. We are now in the world of dot com. Hivi mnadhani hao wanaowasemehe na wakaka kimya niyakweli...mtakalagagabao hapo hapo. The only cure ni kumwaga mboga baada ya ugali...
  2. M

    Imenibidi...

    Nikweli kabisa, safari moja huanzisha nyingine atiii. Nyie wote wenye midomo midomo merefi kama kenge ndio wa kwanya kuzijaza guest house Friday evening + it´s whole wkend. Midomo juu juu kama break za honda. Kama hii sio dawa kwako kwa mwingine ni dawa. Na bado mtaandika sana ila wembe ni ule ule.
  3. M

    Imenibidi...

    Thanx a million of times, baeleze...miafrika ndivyo tulivyo...unafiki, unafiki, unafiki. Open up kuweni wa wazi na mambo yenu, tena kuanzia kitandani mpaka maofisini na kujenga taifa.
  4. M

    Imenibidi...

    Jamani msinishambulie sana, nilifanya mara moja tuu kutoa kinyongo. Kwa sasa mbona tupo fit kabisa tena tumerudia mapenzi kama yale ya kabla ya ndoa jamani.
  5. M

    I'm going through hell!...should i keep going?

    Ila Mrs mtaba akiwa na bf ni makosa...haha ha aha ha ha JF unafiki unafiki unafiki mtupu. puh!!!!!!!
  6. M

    sumu ya ndoa ni ...

    ...Not revenging mwenzako amegapo/amegwapo nje.
  7. M

    Imenibidi...

    Ha ha ha ha aha aha aaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, you made ma day boy, like me am a JF GHOST!
  8. M

    Imenibidi...

    Poa, vipi mambo dogo. Ndo hivyo siunajua tena mambo ya hawa wadudu...wakishasema wamesema.
  9. M

    Imenibidi...

    Kwa sababu ni demu akeleta basi nongwaaa. Ok kuharibu sasa mimi ni dume na ilikuwa ni chemsha bongo tuu kwa all the topics nilizokuwa naleta humu.
  10. M

    Imenibidi...

    Ndo kama hivi sasa.
  11. M

    Imenibidi...

    Baeleze ndugu yangu.
  12. M

    Imenibidi...

    Asanteni wachangiaji wote, jibu nimeshalipata. All the best and have good life all people.
  13. M

    Imenibidi...

    Yes we can. To my side nadhani ni Mpango wa Mungu kukupa mtoto au sio.
  14. M

    Imenibidi...

    Usijali baba, ndo continuation yake. lol.
  15. M

    Imenibidi...

    Angalia usije ukawa unamuamsha aliye lala! sijaandika hapa iwe kama reference. Fatilia na upate information full, yawezekana naye anajiuliza niwapi anaweza kumegwa bila ya ww kujua akawa hajui...so utakuwa umempa akili mwanangu mwenyewe. Tuliza ball, mambo ya jamvini uayaache humu humu. Hizo ni...
  16. M

    Imenibidi...

    Tena kama ulikuwepo ndanii ya akili yangu dear, akizubaa anabandikiwa tuu. Atakapokuja kundua am already too far. Am cheating i cannot do that...i am a human being too, nanisingependa more problems. Ntazaa tuu na Mr. wangu na tutabanana hapa hapa naye. Pengine awalete hao wanawake ndani...hapo...
  17. M

    Imenibidi...

    It pays alot my dear, ila ukisha haribu ndo hivi tena.
  18. M

    Imenibidi...

    Hivi kwa karne hii kweli kuna mapenzi tena! I doubt it...hii ndo hali halisi sema watu wanapenda kujifanya watakatifu kumbe ni miozo mitupu.
  19. M

    Imenibidi...

    Tena kwa your information ndo zinazopeleka ndoa mbele kwa karne ya sasa. Sema wanawake wenzangu wanaji act kama vile hawafanyi. Hiyo ndio drama sasa ndugu yangu. Unafiki unafiki unafiki tuu ndo uliowatawala. Mbona ufuska umetawala sana kwenye masaloon sasa...ask yourself that question.
  20. M

    Imenibidi...

    Nadhani hilo ukiangalia vizuri ni jibu baada ya swali. Mimi sio mnafiki i speak from my heart ndo maana nikajibu hivyo. Pole kama limekukwaza. Huu sio mchezo ni hali halisi ya maisha tulionayo kwa sasa ndugu yangu. Hata wewe yanaweza kukukuta. Yategemeana na uchambuzi wako ukoje maana huu ndo...
Back
Top Bottom