Search results

  1. M

    To Forex Traders 2024

    umeshajaribu kitu ICT strategy,very very nice
  2. M

    Tuko na hii mifumo ya computer(Application systems)

    One time purchase Boss kama itakua on premise. Lakini ukitaka tukuwekee online kuna gharama kdg zitaongezeka kwa ajili ya kuregister domain na kulipia domain yearly.Ni kama laki 2 kwa mwaka .So kwa ambayo itakua kwa cloud utalipa hiyo one time purchase 700,000 + 200,000(recurring yearly)
  3. M

    Tuko na hii mifumo ya computer(Application systems)

    Ni Web based,so ukitaka nikuwekee online kuna éxtra chargés za domain hosting
  4. M

    Tuko na hii mifumo ya computer(Application systems)

    Utakavyoamua tu boss
  5. M

    Sasa unaweza kuangalia mauzo ya duka lako ukiwa popote

    Sawa ,hiyo ntaiwekea post yake tofauti,ujumbe wangu hapa nia yangu ilikua ni kumfahamisha mwenye biashara anaweza kufuatilia mauzo akiwa nyumbani
  6. M

    Sasa unaweza kuangalia mauzo ya duka lako ukiwa popote

    Ujue kama nilivyosema hii system ni maalumu kama unataka kuaccess hata ukiwa nyumbani ,uone mwendendo wa mauzo yako kwa kupitia internet .hapo utakua na kama website yako ndio maana kuna hiyo gharama.lakini pia tuna mfumo huo huo ambao Unaweza kuwekwa kwenye computer bila internet,gharama.yake...
  7. M

    Sasa unaweza kuangalia mauzo ya duka lako ukiwa popote

    Ok ,unaweza kucontrol wizi namna hii. Kwa ligha nyepesi kabisa angalia mfano huu. Umenunua bidhaa 20. Umeuza 5 Umebakiwa na 15 kwenye stock. Muda wowote ukihesabu Mali zako unategemea ziwe 15 na si vinginevyo.lazima hiyo 15 uione kwenye system na ukizihesabu.akiiba ina maana kwenye system...
  8. M

    Sasa unaweza kuangalia mauzo ya duka lako ukiwa popote

    Sasa hapa nimejaribu kufupisha,nimeweka function za system kwa ufupi in summary,ili atakayeona inamfaa tunafanya demo,nakuja na laptop nakuonyesha unavyofanya kazi
  9. M

    Sasa unaweza kuangalia mauzo ya duka lako ukiwa popote

    Bado kijana mdogo,umejiunga 2018 bado unajifanya mjuaji
  10. M

    Sasa unaweza kuangalia mauzo ya duka lako ukiwa popote

    Mfano wa namna gani,hii system ukipenda nikufanyie demostration karibu mkuu.Wengine huwa wanaita point of sale-pOS.
  11. M

    Sasa unaweza kuangalia mauzo ya duka lako ukiwa popote

    Hiyo kuna mwenzetu anafanya,ila nijulishe nikuunganishe nae
  12. M

    Sasa unaweza kuangalia mauzo ya duka lako ukiwa popote

    Boss mkubwa,kitu gan hujaelewa
  13. M

    Sasa unaweza kuangalia mauzo ya duka lako ukiwa popote

    Kijana ndio yukoje,mie nakuzaa ujue
  14. M

    Sasa unaweza kuangalia mauzo ya duka lako ukiwa popote

    Habari za saa hizi wote kwa ujumla. Tumshukuru Mungu kwa uzima . Nakuja kwenu nikiwa nawaletea habari njema wale wenye maduka ,supermarket,pharmacy na kadhalika. Tuna mfumo wa mauzo ambao utakusaidia kuangalia faida,mauzo na manunuzi ya biashara yako ukiwa online sehemu yoyote ile hata kama...
  15. M

    Tuko na hii mifumo ya computer(Application systems)

    Habari wote, Sisi ni wataalam wa kutengeneza mifumo mbalimbali ya computer(Computer Application systems). Na kwa sasa tuna mifumo ifuatayo ambayo inaweza kukusaidia katika kuongeza ufanisi na kupunguza gharama kwa biashara zako. Point of Sale (700,000 Tzs):Hii inatumika kusaidia kuhifadhi...
  16. M

    Tunatengeneza furniture za epoxy na mbao

    Damn serious bro
  17. M

    Tunatengeneza furniture za epoxy na mbao

    Sawa hawa watu wako kwa ajili ya kukatisha watu tamaa ,watu serious wameshanichek na watakuja ofisini niwape maelekezo na waone sample kwa uhalisia,na tutafanya biashara.
  18. M

    Tunatengeneza furniture za epoxy na mbao

    Mtu yoyote anaweza kufanya,wenzetu wanaona kama rocket science ndio maana hawaamini
  19. M

    Tunatengeneza furniture za epoxy na mbao

    Tunavyoongea hapa watu 4 watakuja ofisini
  20. M

    Tunatengeneza furniture za epoxy na mbao

    Mtu anyeharibu biashara yako ni kama mchawi,hana tofauti na muuaji,sasa unipangie niweke design unazotaka wewe Kisha uniite tapeli ,mie naweza design zote zote,tulizotengeneza na zingine zozote za mtandaoni tusipangiane kwa thread yangu
Back
Top Bottom