Search results

  1. wamogori

    UCHAMBUZI: Mkuu wa mkoa anapata wapi Tshs. bilioni nne za kutoa msaada? Anatumika?

    mimi pia nilikuwa najiuliza hivi EL anapata wapi pesa za kutoa misaada kila anapoalikwa ili hali ni mtumishi wa umma??
  2. wamogori

    IGP Mangu: Sina taarifa juu ya agizo la Rais kumpandisha cheo askari

    mbona yule mjeda wa kike aliyewadhibiti majambazi kumpora silaha alipandishwa cheo kwa tukio lile bila kwenda mafunzo??? inawezekana kabisa kumpandisha askari cheo kisha baadae akaenda mafunzo. hilo linafanyika sana toka serikali awamu ya kwanza. kauli ya rais ni amri halali. mambo ya...
  3. wamogori

    Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Ben Saanane usitake jeshi lifanye kazi kwa desturi unayotaka wewe. jeshi lina miiko, maadili, utaratibu na utamaduni wake.
  4. wamogori

    Mnyika, Kukimbia sio suluhu ya kuondoa tatizo

    Kama ni hivyo ni kwa nini huwa wanatoa ahadi wanapogombea hizo nafasi?
  5. wamogori

    Mbowe: Slaa anapumzika, msiwe na hofu

    huyu kwa sasa sijui aseme nini nimwamini maana ilishasema siasa ni kubadili gia angani...... "over my dead body cdm haiwezi kumpokea lowasa". sasa hata hiyo kauli yake yaweza kuwa ni yaleyale. nasubiria dr slaa mwenyewe atoe kauli. kwa sasa mbowe nitamwamini tu akisema mama yake mzazi ni mwanamke.
  6. wamogori

    John Francisco azidi kupora pesa za wana U-DOM

    habari ni ya upande mmoja ina hadithi tu bila facts. ni siasa za majitaka.
  7. wamogori

    Nimefanya Maamuzi Sahihi na Makini Niliyoahidi Takribani Saa 72 zilizopita, Naelekea ....

    ukinyimwa hiyo fursa ndani ya chama utaendelea kukijenga chama kiroho safi na kutumikia wananchi kupitia fursa nyingine??
  8. wamogori

    Kwa nini uruhusu mkeo au mumeo kudochwa au kudocha nje?

    ni vema ukawamchukulia kama sahani kwa mama ntilie, huwezi kuwa na sahani yako peke yako kwa mama ntilie. kukubwa kabla hujala hakikisha imeoshwa vizuri kwa sabuni na haina shombo.
  9. wamogori

    Unaweza kupenda kabla ya kutamani???????/

    ndio inawezekana kupenda bila kutamani. fikiria mtu unawasiliana naye na hamjawahi kuonana na unajikuta unampenda kiasi ambacho hata hutamani kumaliza siku bila kuwasiliana naye tena ukizingatia hata hujui yukoje. Inawezekana kupenda bila kuona ndio maana watu wengi wanasema wanampenda Mungu...
  10. wamogori

    BISHOP KAKOBE::Tanganyika Huru Lazima Ipatikane

    Ikiwa ulichoandika ni sahihi, unadhani ni kwa nini ndani ya bunge la kutunga katiba limejuisha maaskofu, mashehe na wachungaji kutoka dini na madhehebu mbalimbali??? kwanini wasingeachwa ili katiba itungwe na wanasiasa pekee????
  11. wamogori

    kwa wenye ndoa na wazoefu tu

    kwa mama mwenye busara hata hawezi kukwambia anakuja kufikia kwako wakati anajua una chumba kimoja.
  12. wamogori

    Ni aibu mbunge kutojua lugha ya kingereza

    Natamani Ifike mahali kila mtanzania ajivunie kuongea lugha yake ya Taifa, yaani tuache kuzitukuza lugha za wenzetu isipokuwa kuswahili tu. si lazima mtu ajue kuongea kingereza ili awe kiongozi kwani wapo wakalimani ambao wataweza kutafsiri ilikwa wasikilizaji hawajui kiswahili, ni nafuu kuiga...
  13. wamogori

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Unadhani ccm ikimnyang'anya jk uanachama wa ccm ataendelea kuwa rais wa nchi? ikiwa ndio basi fahamu kuna uhusiano wa wenye nguvu ni kati ya rais na chama chake, na njia ya kumuadhibu rais ni kukiadhibu chama chake kwani kina wajibika ktk sera na itikadi kwa rais anayeongoza.
  14. wamogori

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Ikiwa ni hivyo au sio hivyo sio hoja cha kufahamu ni kwamba hata simon mchawi wa kwenye biblia aliweza kubadilishwa na Mungu, kumbuka hata Mtume Paulo alikuwa mtesaji wa wakristo kabla Mungu hajaamua kumtumia.
  15. wamogori

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Mara nyingi Mungu hupenda kuwatumia watu dhaifu, Musa kutokana na udhaifu wake wa kuzungumza alihofu kutumiwa na Mungu lakini Mungu aliamua kumtumia, suala sio Kakobe kufananishwa na Moses bali ni kufahamu kuwa Mungu huamua kumtumia yeyote atamtakaye bila kujali ana nini kwani binadamu ni chombo...
  16. wamogori

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Mwenyekiti wa chama ndiye aliyeteua majina, na chama husika ndicho kimempa tiketi ya kukalia ofisi inayolalamikiwa nadhani hiyo ni sehemu ya uhusiano unayoulizia.
  17. wamogori

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Inaaminika kuwa Mungu ni yule yule jana, leo na hata milele. aliyoweza kuyafanya zamani hashindwi kuyafanya hata sasa.
  18. wamogori

    CCM Yamchagua Sitta kuwa mgombea pekee

    Kwa maneno haya maana yake wewe naye uko tayari na ndivyo huwa unafanya, yaani unamchagua shetani bora badala ya kumchagua malaika au kuwa radhi kuharibu kura yako ikiwa wamesimama mashetani watupu.
  19. wamogori

    Kung'ata meno kunaambukiza Ukimwi?

    ni kweli hadi kuwe na michubuko kwani una hakika gani kama hakukuwa na michubuko? eneo lenyewe linafichwa kwenye joto muda wote. ndio maana namalizia kwa kusema kupima ndio kupata uhakika.
Back
Top Bottom