Search results

  1. B

    Tahadhari watafuta kazi, job scams wanabuni mbinu mpya

    Hahahah afu kama msomi HAKUNA HATA SIKU MOJA barua ya kiofisi isiwe na HEADING PLUS LOGO YA COMPANY JUU, ungejaa ulikua unakula za uso! Ao ndo wa2 wa WestAfrica wamechangamka sana!!
  2. B

    Dhana?/Ukweli?...

    Mi nadhani hiyo ni dhana potofu tu na imejengeka na imekuwa kama ndio imani ya watu, but kiukweli sihisi kama kuna ukweli wowote kuhusu hili Urefu au ufupi wa vidole si kipimo cha.........tafadhali bwana, ebu tutakane radhi!
  3. B

    Ndoa; Kila Mtu Na Uzoefu Wake!

    The great question... which I have not been able to answer... is, 'What does a woman want? Sigmund Freud Man, huyu Sigmund Freud hajui kweli au anatuenjoy.......! To help him, may be atry asking himself, what does he want From a woman, then opposite yake.......
  4. B

    Ndoto za Kichaa...!

    Kichaa: Mi kila nikilala naota manyani yanacheza futbol Daktari: Hamna shida, ntakupa dawa uanze kutumia na kuanzuia leo hutaota tena. Kichaa: Aaa....! sa si bora nianze kutumia kesho maana leo ndo fainali.
  5. B

    Nioe yupi

    we we we, huyo kikongwe ujana wake ale na nani ubabu wake amalizie kwa watoto wa watu, ukiangalia hat interval ya umri almost wote wawili anawazaa Kaka wa shule aende shule, huyo babu wa miaka 42 anajifia muda sio mwingi sana. Hivi vitu na haya mambo yapo jamani sioni sababu ya ako kabinti...
Back
Top Bottom