Search results

  1. T

    USHAURI WA BURE:Swala Kuhusu Ufugaji wa Mifugo aina yoyote, Uliza hapa utapata Jibu bure

    Mkuu tunashukuru sana kwa msaada huu wa maelezoyakinifu. Mimi nataka fuga nyuki ila sijua a wala b naomba maelekezo ya yaawali .
  2. T

    Nataka Kurudi Tanzania-Ushauri

    Pole sana ndugu, unajua mimi binafsi naelewa kabisa unacho sema kwamba unataka kurudi na unafeel stress. Mimi nilikuwa katika hali kama yako four years back. Kama hiyo hali imekupata najua kabisa itakuwa inakukosesha usingizi, nyumbani ni nyumbani tu. Sasa labda nitoe angalizo. 1. Najua huko...
  3. T

    Engine za 3S ( D4 ) Zina Matatizo Gani

    Unajua ninacho kiona hapa ni kwamba watu hawana magari ya d4 engine ila wanatoa comments zao, ukichunguza vizuri wote wenye magari ya d4 engine wanasema hawajawahi pata tatizo. Mimi nikiwa mmja wao sijawahi pata tatizo la d4 engine huu mwaka wa nne sasa. Na mafuta nimesha jaza ovyo ovyo vituo...
  4. T

    Amazon.com

    Ok kwahiyo haiwezekani kununua from amazoni, inakatisha tamaa sana. Kuna anaye jua website ambayo mtu anaweza tumia kuagizia vitu to nje na vikafika hapa Tz safely.?
  5. T

    Amazon.com

    Hali zenu wanajamvi. Hivi kunamtu yeyote ameshawahi nunua / agiza vitu kwa website ya AMAZON.COM vikawa delivered hapa Tanzania. Naomba kama kuna mtu amesha wahi fanya hivyo anipe experience yake. Enjoy .
  6. T

    Magumu gani umeyapitia/unayapitia katika kutafuta kazi?

    Ndugu KUNA MAGUMU MENGI SANA KWENYE KUTAFUTAKAZI. TENA NI MBAYA SANA KAMA UNAFAMILIA MIMI NILIKUWA SINA KAZI FOR A YEAR MKEWANGU ALIKUWA ANAKAZI BAHATI NILIYO NAYO NI KWAMBA MY WIFE TUNAELEWANA NA KUHESHIMIANA SANA SIKUWAHI KUJISIKIA KUNYANYAPALIWA. ILA IS A VERY BAD EXPERIANCE IN LIFE, NI A...
  7. T

    Boda Boda - SUNLAG

    Labda nikushauri hivi, sun LG, za sasa sio kamzile zilizokuwa toleo la miakamiwiliiliyopita, sasa hivi wanauza tu jina lakini pikipiki hizi za sasa hazina uimara mzuri sana. Tafuta majina mengine ya pikipiki kama SUKIDA ni nzuri mimi niayo, zinapatika alog uhuru road mita kama 150 kama unatoka...
  8. T

    Mch. Mwasapile vs. Mch. Rwakatale

    Ndugu yangu, nadhani umefika njia panda kidogo. Labda nikusaidie kidogo kuhusiana na maandiko juu ya oponyaji na imani. Labda tusome Yohana 5:2 NAHUKO YERUSALEM ( Arusha, Loliondo) PENYE MLANGO WA KONDOO PANA BIRIKA, IITWAYO KWA KIEBRANIA BETHZATHA, NAYO INA MATAO MATANO. 3 NDANI YA HAYO JAMII...
  9. T

    Kwa wanaohitaji software mbalimbali.

    kaka niaje mimi nimekuwa natafuta software ya adobe photo element (photo shop) unayo? kama unayo ntawasiliana nawe.
  10. T

    Natafuta adobe picture editor; photoshop elements 4.0 au version ya juu yake

    Bandugu, Hamjambo, naombeni msaada wenu, kwa mtu anayejua namna ya kupa ta hii software ya adobe photoshop element 4.0 ama version ya juu yake, nimepoteza cd ya camera yangu, so the only way to download pictures kutoka kwa camera yangu ni kwa kutumia hii program. naomba mnisaidia bandugu.
  11. T

    Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    Poleni sana wanyoa ndevu wenzangu. Mimi nilikuwa natatozo hilo lakini niliamua achana na viwembe vya kunyolea including gillete wanavyo sema ni nzuri, kwa sasa natumia mashine ya kunyolea, kwa sasa tatizo hilo limekwisha kabisa. nikitumia mashine sipati kipele hata kimoja.
  12. T

    Volkswagen polo/golf

    Hi Wanajamii Jamani naomba ushauri wenu nataka nunua gari aina ya VOLKSWAGEN POLO/GOLF, naomba ushauri wenu kwa wale wanao yajua magari ya kijerumani. Kaeni imara.
  13. T

    Hizi sherehe X-Mass Tanzania...?

    Huyu bwana naona hakufikiri kabla aandike hii post. Serikali ni kweli haina dini, ila wafayakazi wa serikari wanadini, sasa basi unapoona sherehe hizi za xmass zinashamrashamra nyingi maofisini UJUE KUWA WENGI WALIOMO KWA MAOFISI HAYO NI WAKRISTO, AMBAYO PIA INAMAANISHA NI WASOMI WA KIKRISTO...
  14. T

    The One World Govt/New World Order: Is this thing for real?

    Sasa attempti ya kwanza ya New World Order ilianza kipindi cha Babel, Mungu akaisambaratisha Bilblia (Mwanzo 11:1-8). Kinacho endelea sasa hivi ni muendelezo, ukiweza kuelewa plans za new world order ndio utaweza elewa inavyo endelezwa. Ukisoma, Ufunuo 13, utaelewa end result ya NWO hasa ule...
  15. T

    Mtoto mwenye karama za ajabu aibuka jijini

    Ahaa is one of themones......, Watu wawe waangalifu sana, yule dogo alie tokeaga last time alikuja kwa design hii hii yupowa pi sasa nobody knows, ONLY! ONLY and ONLY JESUS OF NAZARETH HEALS WITHOUT MASHARTI, WHOEVER BELIEVES IN HIM SHALL BE HEALED. Watch out, hata huyu atapotea kama upepo tu.
  16. T

    Kufanya kazi dar ama mkoani/ mtazamo wako ukoje?

    Nahicho ndicho ninacho kiexperiance mimi pia, hakuna taabu nying kama za DAR, FOLENI, MICHANGO, CHAKULA NA MIKANDAMIZO MINGINE MIINGI.
  17. T

    Kufanya kazi dar ama mkoani/ mtazamo wako ukoje?

    Ni kweli maisha popote, lakini maisha gani ? ndio maana kila mtu anamipangilio ya maisha, sio kweli kwama maisha popote, ama maisha ni maisha tu.
  18. T

    Kufanya kazi dar ama mkoani/ mtazamo wako ukoje?

    Katika kuishi kwangu, kuzaliwa kukulia nakusoma NA KUFANYA KAZI katika jiji la DAR,nnaweza kusema ilikuwa jambo la bahati sana, manake kuna watanzania wengi hawajawahi kufika DSM. Lakini mtazamo wangu wa kuishi, kufanya kazi na kujiendeleza katika jiji la DSM ulibadilika ghafla pale nilipo pata...
  19. T

    Msaada: Nataka kuanza uhusiano na kasichana nimekazidi miaka 10...

    Kaka nadhani unataka umia, tu mtaja shindana baadae, tafuta wa age yako wamejaa kibao.
Back
Top Bottom