Hapa mkuu umeeleza ukweli sana. Tatizo la nchi yetu kila kitu kinafanywa kisiasa zaidi. Hamna haja ya kua na graduates wengi wa kada moja wakati uwezo waliojengewa ni mdogo sana. Binafsi sipendezewi na hii tabia ya duplications ya course wakati wanajua kabisa trainers wazuri na wakutosha hatuna
pole sana ndugu yangu. La msingi kuzidi yote ni kua na self confidence yaani husiogope kitu chochote .We relax tu kua na amani kabisa ukiwa interview. Pia husiwaze zaidi kwamba una uhitaji zaidi wa kazi kwani hiyo inaweza kua inakusababishia ushindwe kujieleza vzuri. Hii situation inaitwa over...
Dah! ndugu yangu nakushauri epuka kilio cha mwanamke juu yako kama unataka kua na maisha yenye nehema. Wapo tena virukanjia wa mjini wanakusubiri uachane na huyu dada ili ukipate cha moto. Hata hivyo nakushangaa kuona hata hufikirii familia yako hapo mbeleni kwani shule lazima umalize na Mungu...
Pamoja na mfumo wetu kua mbovu, bado swala la juhudi binafsi lina nafasi yake tena kubwa tu.Mimi ni Graduate wa kileo na nina uwezo mzuri wa kujieleza na kufanya kazi vizuri ktk profession yangu. Hapa napingana na generalization yako kwamba siku hizi Graduate hamna kitu
Hapo ndo linakuja suala la uwezo binafsi sasa. sio lazima wote wawe na uwezo sasa wa kujieleza. Na ndo maana siku hizi mtu akipata divIII au II anaenda chuo,kitu ambacho hakikuwepo hapo awali kwani wngi wao walikua wanapata div I ndo wanachaguliwa kwenda chuo kikuu. So lazima tofauti ziwepo...
Kulala chuoni inategemeana na ratiba yako ikoje. Mfano mimi nilikua nasoma mpaka usiku wa manane kama najua kesho yake kipindi kinaanza saatatu au nne.Hivyo nilikua nachelewa kuamka. Pia kumbuka kila mtu ana malengo yake awapo chuoni, wengine ili mradi tu asidisco wengine wanatafuta first au...
suala la kuzurura mtaani au kulala sana ni kwa sababu wengi wao hawana kazi. Hapo nyuma waliokuwa wanahitimu chuo kikuu karibia wote walikua wanapata kazi.
Uwezo wa wahadhiri mimi sidhani kama umepungua ,bali pengine ni kukata tamaa na mwenendo mzima wa kazi. Mfano mtu unaanza mwaka wa kwanza...
Yaani umeonge suala ambalo hata mimi najiuliza kulikoni hawa jamaa, mbona anajifanya wao ndo source of good mind yaani wanataka dunia nzima ifuate watakavyo wao,shame on them!!
Yaani umeonge suala ambalo hata mimi najiuliza kulikoni hawa jamaa, mbona anajifanya wao ndo source of good mind yaani wanataka dunia nzima ifuate watakavyo wao,shame on them!!
Binafsi naona huna mume hapo,hilo ni gumegume.Yaani baba mzima analala nje wakati ana mke ndani!!! Analala kwa nani! .Dada yangu jipange sasa wake up time is not your again. Do what you are scared to do. Maamuzi magumu ndo yatanusuru maisha yako na mtoto wako.
La! Nimejikuta nimelog in ghafla. Namuonea wivu mumemo maana kwa busara hizi ni wazi kua wewe ni mke mwema. Yaani kila siku zingekua zinajadiliwa mada kama hizi hapa basi maisha yetu yangebadilika sana na tungepiga hatua kubwa ya ukombozi wa kifikra ambao ungetuletea maendeleo zaidi.
BACK TO...
Mh! NIMESHTUKA NDUGU! Maana niko huku ughaibuni masomoni,sasa GF aliyeko huko nyumbani siku hizi anazingua. Sasa sijui ni wewe!!!?.I need more time for this
Mimi nitachangia kuhusu hiyo elimu. Tangu lini form 6 akajiita yuko juu..!? Watu wameolewa na std 7 wakati wao ni PhD holders. Pia hiyo sio kashfa kwa sababu alisema ukweli japo hakustahili kuusema mahali pale. Kwa hiyo huyu dada aukumimwe kwa kusema vile mahali pasipohusika wala sio kashfa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.