Search results

  1. Verdy CB

    Nyota wa filamu Bollywood aachiwa

    Ninampenda sana Sharukh Khan, hana makuu na mtu na ni mtoaji. Nakumbuka Ra.One ilipofanikiwa aliwanunulia team members wake Bmw Series 7 Sedan cars za maana. Ni halali kwake kuwa anaingiza mapene akikimbizana na akina Tom Cruise. Salman Khan kama sio rushwa angekua anakula kifungo cha maisha...
  2. Verdy CB

    ITV huu sasa ni upendeleo wa wazi wazi kwenye habari zenu

    Ila tusijifanye hatujaona kama Itv pia imekua ikiweka pale ccm inapovuruga mfano watu walipojibu rais lowasa kwenye mkutano wa ccm na pale walipoirusha sera ya kujenga kiwanda cha ndege Tanzania kupitia gesi. Na sehemu ambazo chadema ikiwa inapata shida imekua haiweki sana. So lets cut them some...
  3. Verdy CB

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    1. Why now?? (Siku zote alikuwa wapi?) 2.Kumbe alikubali Lowasa kuja Chadema ila hakutaka tu awe raisi. (Kwa kuwa alikua ashajua ni cheo chake) 3.Slaa wa sasa sio wa zamani. I judge people from their personality to their minds. hivi mmenotice jamaa leo amevaa DESIGNER SUIT?? Na bado anasem ni...
  4. Verdy CB

    Mawazo 65 ya biashara ambazo unaweza kufanya ukiwa nyumbani kwako

    sipo familiar sana na mambo ya graphic designs ila kuna mtu humu ndani LOGORIDDIM alishawahi kutoa ushuhuda wa jinsi zlvyomsaidia online.. mcheki huyu. au ingia hapa TD huyu kijana huwa anatoa hints kibao za mambo yenu hayo.
  5. Verdy CB

    Mawazo 65 ya biashara ambazo unaweza kufanya ukiwa nyumbani kwako

    wengi wetu hatupendi kujaribu kwa matendo.. ni tatzo kubwa
  6. Verdy CB

    Mawazo 65 ya biashara ambazo unaweza kufanya ukiwa nyumbani kwako

    kwenye online stores ni mtu mwenyewe unaamua kuanzisha website yako ya kuuzia vitu.. unaweza kupata guidelines jinsi ya kuianzsha kutoka hii link MyWifeQuitHerJob.com . ni jamaa mmoja Steve Chou anaelezea jinsi yeye na mke wake walivyoacha kazi na kuanzsha online store yao na sasa...
  7. Verdy CB

    Mawazo 65 ya biashara ambazo unaweza kufanya ukiwa nyumbani kwako

    Ahsante sana Zamiluni. Mdogo wako yuko wapi? Mkoa upi? Na ana malengo yapi? Ninao rafiki zangu tz hii hii wanafanya auditing and tax preparations na wana degree moja tu (parttime lakini/freelancing) kwa huyo mwenye hadi CPA ni yupo vizuri zaidi hata katika kupata ajira ya kudumu iwe serikalini...
  8. Verdy CB

    Mawazo 65 ya biashara ambazo unaweza kufanya ukiwa nyumbani kwako

    Kama unatumia accounts zetu nyingi za kibongo hazijawa enhanced kupokea hela kimataifa ila unaweza ukaestablish a means na bank kubwa kama crdb au stanbic bank. ila it z very complicated labda kama una mtu overseas. ila unaweza kujaribu click hapa kupata maelekezo zaidi KAYMU EBAY
  9. Verdy CB

    Mawazo 65 ya biashara ambazo unaweza kufanya ukiwa nyumbani kwako

    Ahsante mkuu kwa kunisaidia kufanya clarification hapo juu. pia kuhusu branding nitaileta soon tatizo huwa kupata muda ndo maana hata skuzielezea points hapo juu.
  10. Verdy CB

    Mawazo 65 ya biashara ambazo unaweza kufanya ukiwa nyumbani kwako

    61. online stores.. hii inakua inafaa zaidi watu wenye majina tayar.. unakua unauza vitu online. kuna watu ambaovyo wamefankiwa kupitia hiki mfano fashionista(nargis mohamed) kupitia instagram na Hollywood shopaholics (Mange Kimambi) kupitia blogging. 62. ebay sales. kwetu hapa bado ni ngumu ila...
  11. Verdy CB

    Mawazo 65 ya biashara ambazo unaweza kufanya ukiwa nyumbani kwako

    Ndo maana nikasema leta za kwako pia tushare.. kwa mazingira yangu kufuga kuku ni kazi ndo maana sikuitaja.
  12. Verdy CB

    Mawazo 65 ya biashara ambazo unaweza kufanya ukiwa nyumbani kwako

    Hii itafaa zaidi kwa watu wenye degree za finance na accountancy. Hasahasa wenye CPA... Makampuni mengi hayapendi kuajiri watu fulltime ila pia yanapata shida sana kwenye kuandaa kafaili yao ya kodi hasahasa mwisho wa mwezi au mwaka wa fedha.. Ndipo opportunity inapokuja kwa wenye ujuzi huu kuwa...
  13. Verdy CB

    Mawazo 65 ya biashara ambazo unaweza kufanya ukiwa nyumbani kwako

    Well I was just speaking my mind. ulivyotaja mazingira imesound kama a challenge... kama nimekosea I stand to be corrected. yes, hakuna guarantee ya a bright future ila kama kila siku utakua hufanyii kazi mawazo yako kwa kuweka IFs and BUTs katika kila jambo. Itakua ni ngumu sana kwako kujitoa...
  14. Verdy CB

    Mawazo 65 ya biashara ambazo unaweza kufanya ukiwa nyumbani kwako

    1.graphics design - hii ni kama una knowledge ya graphic designing au una mpango wa kupiga hata course fupi kwa ajili yake inalipa kwa wastani wake na uvumilivu wako kwenye kupata wateja na kujitengenezea jina. 8. interior designing ni mostly kama you have it in you the love of art.. hii ni...
  15. Verdy CB

    Mawazo 65 ya biashara ambazo unaweza kufanya ukiwa nyumbani kwako

    Seriously??? Badala ya kuona kwanza a bright future.. umewaza kwanza challenges?? kwani talent yako ni ipi au kati ya hayo 65 lipi umependezwa nalo tuone mazingira itakayohitaji
  16. Verdy CB

    Mawazo 65 ya biashara ambazo unaweza kufanya ukiwa nyumbani kwako

    Wengi wetu huwa tuna vipaji ila hatujui kama tunavyo au huwa ni wavivu kufikiria kuhusu jambo gani tunaloweza kufanya tukafanikiwa kwa mtaji mdogo au bila hata mtaji. Hapa nnazungumzia unaweza ukafanya kazi hizi bila kutoka chumbani mwako (kwa waliopanga) na zinalipa vizuri tu ukijitoa...
  17. Verdy CB

    Vitu kumi vya kufanya kama hujaajiriwa

    sio entirely free na cheti unapata..
  18. Verdy CB

    Vitu kumi vya kufanya kama hujaajiriwa

    whats your talent??
  19. Verdy CB

    Vitu kumi vya kufanya kama hujaajiriwa

    kazi nzuri rafiki, nmeipitia blog yako logos zako ziko poa. Tunahitaji vijana wengi kama nyinyi ili Tanzania yetu ikue. Inakua poa sana pale mtu napoweza kupata malipo muda wowote na sio kusubiri mshahara mwisho wa mwezi wenye makato kibao. Bila kubadilika tutazidi kulalamikia serikali. Wakati...
Back
Top Bottom