Kwanini Madoctor wanakubali kazi ya kuwa madoctor? Ni upendo wao kwa binadamu wenzao ndiyo maana wamechagua hii kazi. Madoctors hawatakiwi kuwa na fikra za pesa kwanza. Madoctors wanatakiwa kuwa na Integrity ya kazi yao kwanza baadaye ndiyo maslahi yao.
Madoctors hawatakiwi kuwa na mgomo. Kwa...
Unajua siyo easy kuzungumzia Ukoloni wa Wazungu sasa hivi. JK aliweza kuwaambia ukweli, matatizo yaliyosababishwa na Ukoloni. Mpaka leo tuna surfer kwa sababu hiyo. HATUTASAHAU UKOLONI WA WAZUNGU. Matatizo ya Afrika yamechangiwa sana na utumwa. Ndiyo maana mpaka leo tupo nyuma kimaendeleo.
Na...
Kuna aina nyingi ya kuzungumza. JK kazungumza vile anavyoona yeye, na wewe unapinga kwa sababu unataka azungumze vile unavyoona wewe. Lakini muhimu ni message. Na message imefika hata Mr. Brown alitikisa kichwa kwa huzuni kusikia matatizo yaliyoachwa na Wakoloni. Hiyo inamaanisha message ilifika.
Unaona hapo, unasema ungekuwa wewe. Kila mtu anazungumza kutokana na kipaji chake cha uzungumzaji. Message pale, ilikuwa waakumbushe Wazungu kwa Mabaya yao, halafu ongezea kuwaelezea vikwazo vinavyoikumba Afrika na TZ. Waeleze Wazungu kwanini wanataka kuwekeza Afrika na TZ, kwa maslahi yao tu na...
Sasa wewe unataka azungumze vile unavyoona wewe kwa upande wako. Na wewe ukizungumza hivyo kwenye public kuna mtu mwingine atasema inatakiwa useme hivi.
JK kazungumza kwa kutumia kwa uwezo wake wa kuzungumza. Kila mtu ana kipaji chake, na ujuzi wake ktk kuzungumza. Message aliyokuwa anasema JK...
Usijadili points ya JK kutokana na Kiingereza chake. Point aliyokuwa anaiweka ni tunahitaji Walimu, na jinsi gani tutaweza kutengeneza Walimu kwa maana ya knowledge. Hiyo ni point muhimu lakini wewe unaangalia jinsi alivyotumia hili neno. English ni Second Language kwa MTZ.
Tumpe credit.
Ukoloni wa nchi za Asia na Afrika ni tofauti kubwa sana. Afrika tulikuwa Watumwa!! Ukiongea na Wazungu lazima uwaambie mabaya waliyoyafanya kwa sababu HATUTASAHAU UTUMWA.
Tuangalie points alizozungumza na experience yake. JK anaonekana ni Honest person kwa vile alivyokuwa anazungumza...
JK kazungumza vizuri, ila nyie mnaangalia zaidi uwezo wa kuzungumza, na utumiaji wa maneno ya kiingereza. Point alizokuwa anatoa JK zinamake sense, kazungumzi kwa kutumia uwezo wake binafis, na experience yake aliyokuwa nayo.
Sasa nyie mnapinga hoja gani ambayo JK alizungumza ambayo haina...
Nimefurahishwa na JK speech in Davos. Pamoja na kwamba speech yake haikuwa kama watu wengine wanavyotaka wao; the truth message ilipelekwa.
Haya maoni yangu ya speech.
Rais wa S.Afrika, alizungumza, lakini hakuwa na details, examples kutoka ktk nchi yake. Hakueleza ukweli matatizo ya nchi yake...
Nimesoma hizo comments na hizo comments hazikuandikwa na Wazungu. Hizo comment zimeandikwa na Wakenya na WTZ. Kiingereza kilichotumika ktk hizo comments ni cha KIAFRIKA zaidi.
Jamani, acheni propaganda za kijinga.
Nimesoma hizo comments na hizo comments hazikuandikwa na Wazungu. Hizo comment zimeandikwa na Wakenya na WTZ. Kiingereza kilichotumika ktk hizo comments ni cha KIAFRIKA zaidi.
Jamani, acheni propaganda za kijinga.
U.S. Warns Israel on Strike
WASHINGTONU.S. defense leaders are increasingly concerned that Israel is preparing to take military action against Iran, over U.S. objections, and have stepped up contingency planning to safeguard U.S. facilities in the region in case of a conflict.Associated...
Muslim brothers behind Tim Tebow Movement10:01 PM, Jan 9, 2012 | 12 comments
- A A A +
Written byEric Kahnert
FILED UNDER
Denver Broncos
Home
Local News
Sports
As Seen on 9NEWS
9NEWS Evenings
NFL
Don't Miss
DENVER - A giant electronic billboard that went up off 58th...
Naona sasa Wabunge wote wameshaanza kuelezea ukweli kuhusu jambo hili la kuongezeka kwa nauli. Ukweli unaanza kuja. Mpango maalum wa Serikali kuanza kuhamisha watu maskini Kigamboni umeshajulikana.
Magufuli bora Ujiuzulu kabla ya kashfa yako kusambaa nchi nzima.
Nimeielewa point yako. Even though, CUF ni chama cha ZNZ tu, still, bado is not too late for them, wanaweza kuimplement hii strategy kuchange. Issue siyo kutawala tu, bali ni kujenga misingi bora ya demokrasia kwa nchi yetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.