Mkuu mbona unajitahidi sna kuchambua Mpira umeshindwaje kuona kuwa Jorgino ndio alikuwa weaklink leo?, alipashwa kuwa bench 1st half, Konte kecheza kuziba hayo magap
Kigoma (Lake Tanganyika) inapakana na Uvira na Kalemie, Unajua Congo ina province (Majimbo) So Kalemie ni jimbo la Katanga lenye miji kama Lubumbashi, kolwezi nk, Uvira na Bukavu ni jimbo la Kivu ya Kusini na Goma ni Jimbo la Kivu ya Kaskazini
so Kutokea Kigoma huwezi fika Bukavu au Goma na Pia...
Issue ya Usalama Congo haitabiriki, muda wowote mambo yanaharibika, na pia unaweza kusikia watu wanapigana Goma lakini Bukavu wapo poa kama nchi nyingine,
Goma kuna njia nyingi za kufika huko, kama umefika Bukavu kuna Meli pale Zinaitwa Emmanuel zinaenda Goma (Lake Kivu), au thru Rwanda kwa gari...
Ubalozi wa DRC upo pale Upanga opposite na Scout, kaombe Visa gharama 50$, karushwa lazima kawepo kidogo kama hauna documents toshelezi
1: Usikose Yellow Fever (Vaccination book)
2: kwa ndege Panda RwandaAir mpaka Kigali then ndege ndogo mpaka Kamembe (Ndani ya Rwanda) Huo uwanja wa Kamembe...
Hao ni MaPress Secretaries ambao Nyerere aliwaamini sana, wa kwanza kushoto ni Habib Halahala, Paul Sozigwa, JKN, Bgr. Hashim Mbita na Benjamin Mkapa, wote wametangulia mbele ya Haki, wa kwanza kufariki ni halahala mwenye Suti Nyeusi Kushoto kabisa, na wa Mwisho kufariki ni Mkapa wa mwisho kulia...
Mkuu kuna vitu kadhaa inakupasa kuvielewa
1. IGP alikosea kidogo sana kuwa Padiri, hivyo ukae ukijua bado ana ludha ya kibiblia
2. Kwa hiyo hizo siku tatu za Sirro sio za kibinadamu, maana muda wake umeshapita, hivyo hizo ni za Koroho, hivi unajua siku moja ya kiroho ni sawa miaka mingapi?
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.